Kwanini hotuba za Wanasiasa wa Tanzania (wa Upinzani na Chama Tawala) ni za kiwango cha chini mno? Nimewawekea mifano ili wajiongeze

Hivi tatizo ni nini?

Hatuna waandishi wazuri wa hotuba?

Au viongozi wetu wamepungukiwa kiuwezo?

Hebu angalieni hotuba hii hapa chini jinsi ilivyotulia.

Though hii hotuba ipo kwa kiingereza but naomba aione magufuli,wasaidizi wake I believe watamtafasilia
 
Mkuu Americans speak about people,watu,utu,maisha bora ya mtu,Uhuru wa mtu ndiyo priority yake,Huyu magufuli anasema pale singida kuwa uchumi wetu ni zaidi ya kitu chochote including uhai wetu, miundombinu ni bora kuliko watanzania,Kama watanzania tungekuwa watu,tungekuwa na akili .it was a good time to say no to Magufuli.
Hata hao wamarekani wanaongea upupu mwingi tu. Hao ndio mabingwa wa uteteaji utoaji mimba, ushoga na ubinyaji wa mawazo wasiyo kubaliana nayo. Kwanza Democrats hawaipendi nchi yao ndio maana wako busy wanaangusha sanamu za waasisi wa nchi yao. Na huyo Obama wenu ni Rais wa hovyo kuwahi kutokea.
 
Kila kitu ni uchumi wa maendeleo
Kama wao walivyo endelea kila nyanjaa, basi na hotuba lazima iwe ya kushiba.

Vice versa is true
 
Mkuu Americans speak about people,watu,utu,maisha bora ya mtu,Uhuru wa mtu ndiyo priority yake,Huyu magufuli anasema pale singida kuwa uchumi wetu ni zaidi ya kitu chochote including uhai wetu, miundombinu ni bora kuliko watanzania,Kama watanzania tungekuwa watu,tungekuwa na akili .it was a good time to say no to Magufuli.
kiongozi
tukirudi Darasani kidogo
Hotuba anayotoa Raisi wa Ulimwengu wa kwanza ambao watu wake wengi kiuchumi wapo kwenye Self actualization haiwezi fanana kabisa na Rais wa Nchi za Ulimwengu wa tatu ambao watu wake hawawezi hata kulipa ada ya shule ya msingi au pengine kujipatia mlo, hawana maji, barabara , nk

Maisha tunayo pitia sasa wenzetu walipita something like 50yrs ago
Usione magorofa hapa mjini na magari barabarani ukajiona sasa umesha kuwa sawa na wao
Think out of the Box brother !!!!!!!
 
Hata hao wamarekani wanaongea upupu mwingi tu. Hao ndio mabingwa wa uteteaji utoaji mimba, ushoga na ubinyaji wa mawazo wasiyo kubaliana nayo. Kwanza Democrats hawaipendi nchi yao ndio maana wako busy wanaangusha sanamu za waasisi wa nchi yao. Na huyo Obama wenu ni Rais wa hovyo kuwahi kutokea.
Sina hakika Kama wanaongea shit Kama za akina magu,kuhusu hayo Mambo mengine uliyoyataja ujinga wako wa kushindwa kuusema ukweli ndo unakufanya uwaone hivyo
 
kiongozi
tukirudi Darasani kidogo
Hotuba anayotoa Raisi wa Ulimwengu wa kwanza ambao watu wake wengi kiuchumi wapo kwenye Self actualization haiwezi fanana kabisa na Rais wa Nchi za Ulimwengu wa tatu ambao watu wake hawawezi hata kulipa ada ya shule ya msingi au pengine kujipatia mlo, hawana maji, barabara , nk

Maisha tunayo pitia sasa wenzetu walipita something like 50yrs ago
Usione magorofa hapa mjini na magari barabarani ukajiona sasa umesha kuwa sawa na wao
Think out of the Box brother !!!!!!!
Kwa sababu tunapita walipopita wao maana yake hakuna challenge mpya and so tulipaswa kwenda faster,Ila utopolo wa viongozi wetu ndo umetufanya tuendelee kuwa masikini
 
kiongozi
tukirudi Darasani kidogo
Hotuba anayotoa Raisi wa Ulimwengu wa kwanza ambao watu wake wengi kiuchumi wapo kwenye Self actualization haiwezi fanana kabisa na Rais wa Nchi za Ulimwengu wa tatu ambao watu wake hawawezi hata kulipa ada ya shule ya msingi au pengine kujipatia mlo, hawana maji, barabara , nk

Maisha tunayo pitia sasa wenzetu walipita something like 50yrs ago
Usione magorofa hapa mjini na magari barabarani ukajiona sasa umesha kuwa sawa na wao
Think out of the Box brother !!!!!!!
Kiongozi asiyependa kupingwa mahakamani,kukosolea,au kuwepo kwa Uhuru wa mawazo,kiongozi anayetumia vyombo vyetu vya dola kujinufaisha yeye Ni kiongozi huyu?
 
USIBADILI MADA; tulikuwa tunaongelea tofauti ya Hotuba za Viongozi wa Ulimwengu wa Kwanza na Viongozi wetu wa kiafrika
Ulicho uliza ni mada tofauti hivyo inaweza kujadiliwa tofauti kama utaipost ili watu wachangie
 
Huo utofauti unaozunguzia ni kwenye lugha? Flow au content.? Please nifafanulie hilo kwanza
 
Ni kweli kabisa. Hotuba nyingi za Obama zinazungumza kuhusu watu na utu na namna ya kuifanya dunia kuwa mahali salama kwa kila mtu.

Na ili kuzungumza hayo lazima uwe na uelewa mpana sana wa jamii na maisha ya watu.

Hii sio kitu rahisi kabisa kwa hawa waswahili wapiga blah blah!

Kuiakisi jamii nzima na kuizungumzia kwa mapana na marefu yake inahitaji mtu mwenye tafakuri na utulivu mkubwa sana wa akili.

Hawa akina magufuli sijui kama wanaweza hilo. Wazee wa mabarakoa!

Mradi tu wamebwatuka basi siku imeisha wanasubiri siku nyingine!
Huwa nawashangaa watanzania wenzetu wanaopeteza muda wao na raslimali za nchi hii kulinda watu wasio na faida kwa nchi hii eti tu kwa kuwa wameupata uongozi
 
Ni kweli kabisa. Hotuba nyingi za Obama zinazungumza kuhusu watu na utu na namna ya kuifanya dunia kuwa mahali salama kwa kila mtu.

Na ili kuzungumza hayo lazima uwe na uelewa mpana sana wa jamii na maisha ya watu.

Hii sio kitu rahisi kabisa kwa hawa waswahili wapiga blah blah!

Kuiakisi jamii nzima na kuizungumzia kwa mapana na marefu yake inahitaji mtu mwenye tafakuri na utulivu mkubwa sana wa akili.

Hawa akina magufuli sijui kama wanaweza hilo. Wazee wa mabarakoa!

Mradi tu wamebwatuka basi siku imeisha wanasubiri siku nyingine!

..na siku hizi wanasiasa wetu hapa Tz wamejificha kwenye "kichaka" cha UDINI.

..wengi hawawezi kutetea hoja zao bila kutumia vibaya maandiko toka ktk misahafu.
 
kiongozi
tukirudi Darasani kidogo
Hotuba anayotoa Raisi wa Ulimwengu wa kwanza ambao watu wake wengi kiuchumi wapo kwenye Self actualization haiwezi fanana kabisa na Rais wa Nchi za Ulimwengu wa tatu ambao watu wake hawawezi hata kulipa ada ya shule ya msingi au pengine kujipatia mlo, hawana maji, barabara , nk

Maisha tunayo pitia sasa wenzetu walipita something like 50yrs ago
Usione magorofa hapa mjini na magari barabarani ukajiona sasa umesha kuwa sawa na wao
Think out of the Box brother !!!!!!!

..nimeleta hotuba ya John Kennedy ya mwaka 1962 bado unaona kuna tofauti kubwa kati yake na viongozi wetu hata ktk uwasilishaji tu.

..hata hotuba za kiswahili za viongozi wetu hoja wanazozijenga ni ndogo-ndogo mno, na siyo zile zinazoweza kuliinua na kuliunganisha taifa.

..pia ukiangalia uwezo wa viongozi wetu kuitawala lugha ya Kiswahili, na uwezo wa viongozi wa nchi za wenzetu kuzitawala lugha zao za taifa, utaona tofauti kubwa sana.

..ni kweli kwamba nchi za wenzetu wamepiga hatua kubwa kimaendeleo, hivyo hotuba zinazotolewa huko maudhui yake yatakuwa tofauti na maudhui ya hapa nyumbani.

..ninachoangalia ni CONTENT ya hotuba zinazotolewa hapa nchini kwa kiwango chetu cha maisha, nikilinganisha CONTENT ya hotuba za viongozi wa nchi za wenzetu na viwango vyao vya maisha.
 
I beg to differ! Maisha tunayopitia sasa wao waliyapitia zaidi ya miaka 100 iliyopita sio 50!
 
..nimeleta hotuba ya John Kennedy ya mwaka 1962 bado unaona kuna tofauti kubwa kati yake na viongozi wetu hata ktk uwasilishaji tu.

..hata hotuba za kiswahili za viongozi wetu hoja wanazozijenga ni ndogo-ndogo mno, na siyo zile zinazoweza kuliinua na kuliunganisha taifa.

..pia ukiangalia uwezo wa viongozi wetu kuitawala lugha ya Kiswahili, na uwezo wa viongozi wa nchi za wenzetu kuzitawala lugha zao za taifa, utaona tofauti kubwa sana.

..ni kweli kwamba nchi za wenzetu wamepiga hatua kubwa kimaendeleo, hivyo hotuba zinazotolewa huko maudhui yake yatakuwa tofauti na maudhui ya hapa nyumbani.

..ninachoangalia ni CONTENT ya hotuba zinazotolewa hapa nchini kwa kiwango chetu cha maisha, nikilinganisha CONTENT ya hotuba za viongozi wa nchi za wenzetu na viwango vyao vya maisha.
Ccm imeasisi siasa chafu,Magu nae kaja na siasa uchwara,so siasa chafu plus siasa uchwara,hiyo mixer unapata utopolo wa kiwango Cha SGR hivyo watu wenye akili hawawezi na wameamua kuachana na siasa na wale wachache walioamua kujitoa muhanga,wako upinzania Ila siasa uchwara zimeerode akili za watu walioko kwenye vyombo vyetu vya serikali ndo maana unakuta mtu ni jaji au ana master degree lakini anaamini mshahara wake analipwa na Magu na si watanzania.Katika mazingira hayo,tegemea kuongozwa na viongozi vilaza hadi tutakaposhikana mashati ili kubadirisha huu upepo
 
Miongoni mwa hotuba boraaa kabisa kutoka kwa Dr. Jakaya.

Hapa mwandishi wake wa Hotuba Premi Kabanga aliitendea haki sana nafasi yake.

Pamoja na ubora wa uuandishi wa Hotuba lakini muwasilishaji nae ana nafasi ya kuifanya nzuri ama mbaya hotuba.
Hotuba inaweza kuwa nzuri kiundishi ila msoma hotuba anaweza kuwa mbaya na kupelekea hotuba kuonekana mbaya na lawama ikaenda kwa mwandishi badala ya muwasilishaji.

Nchi yetu imewahi kuwa na waandishi wengi wa hotuba za Rais kama

1.Balozi Ombeni Sefui(Rais Ally Hassan Mwinyi na Benjamin Mkapa)
2.January Makamba, Premi Kabanga na Balozi Mbelwa kairuki(Rais Jakaya Kikwete)

Ila Balozi Sefui ndio Mwandishi boraa wa hotuba za Rais.
 
Back
Top Bottom