Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
Nasubiri.... Uhm... Yeah nasubiri kituMie namsubiri baba mjengo aje kunilaza, wewe je?
Siku ya leo wazee wa kazi wangevujisha connection moja ya maana mada zingebadilika siku nzima sijui wanafeli najaribu kuwaza tuπ€π€
Naamini leo hata itoke connection ya Tunda watu hawatoki kwenye lineπSiku ya leo wazee wa kazi wangevujisha connection moja ya maana mada zingebadilika siku nzima sijui wanafeli najaribu kuwaza tuπ€π€
ππππHahaha tena wanatafuta ya waandaa maandamano
So kwa nchi hii trust meNaamini leo hata itoke connection ya Tunda watu hawatoki kwenye lineπ
Haijui nchi yake vizuri πSo kwa nchi hii trust me
Kitu au mtu?Nasubiri.... Uhm... Yeah nasubiri kitu
So kwa mateso haya trust meSo kwa nchi hii trust me
Haaa haaa, wawatoe kwenye focus na mnavyopenda mambo hayo sasa πSiku ya leo wazee wa kazi wangevujisha connection moja ya maana mada zingebadilika siku nzima sijui wanafeli najaribu kuwaza tuπ€π€
Wanatoka na mtandaoni kote huo ndiyo utakua mjadalaNaamini leo hata itoke connection ya Tunda watu hawatoki kwenye lineπ
ATASAAAA ATASAAAA ATASAAAAKuna kikosi tulipanga tuanze kaz usiku ila mpaka sasa hawapatikan kwenye simu
*****
Kuukwe mnazi leo kumekwama kukulaza au?Mm sijalala kwa sababu bado sijalala
Mnazi nshaupanda, Niko nao hapa unapigwa na upepo ili nipige tatu ndo nilale.Kuukwe mnazi leo kumekwama kukulaza au?