byeyombo
JF-Expert Member
- Sep 3, 2015
- 4,343
- 5,589
nawahi mstari, nataka nitiki mapema!Kwahiyo usiku mzima hutalala?
nawahi mstari, nataka nitiki mapema!Kwahiyo usiku mzima hutalala?
TUNA MAANISHA MKUU. HAYA ACHA SIE TUENDELEEE NA HARAKATI HAPAHmmm hmm hmmm kweli uko serious hujalala😂
Upweke nao ni sehemu tu ya maisha, wala si kitu cha ajabu.Mtoa mada unakaa mtu mpweke mpweke sana
Sawa, all the best.nawahi mstari, nataka nitiki mapema!
Mungu atusaidie huu uchaguzi upite salama, hata mimi nina wasiwasi, na nikiwa anxious siwezi kulala 🙁Thanx sweery,
I have be a very bad feeling! Nahisi kitatokea kitu kibaya sana… Mungu atusaidie🥲
It happens to me too, hugs 🫂🥹babe..Mungu atusaidie huu uchaguzi upite salama, hata mimi nina wasiwasi, na nikiwa anxious siwezi kulala 🙁
Awky… nmemuona yule mzee uliopoa last night kule nimepunguza machungu😆TUNA MAANISHA MKUU. HAYA ACHA SIE TUENDELEEE NA HARAKATI HAPA
Sawa, tunawaombea mmalize harakati salama!Nawasubiri waandamanaji wenzangu
hiyo kali, ila kuwahi ni bora mi nikiona msururu mrefu nageuza!Sawa, all the best.
Kuna uchaguzi mmoja miaka ya nyuma nilifika kituoni saa kumi na moja alfajiri kabla hata wasimamizi hawajafika na bado nikawakuta kama watu watano hivi tayari wanasubiri 😅 🙌
Kabisa, all the best!hiyo kali, ila kuwahi ni bora mi nikiona msururu mrefu nageuza!
Upo sahihiUpweke nao ni sehemu tu ya maisha, wala si kitu cha ajabu.
Jifunze kuukubali, naona wewe unakuhangaisha ila bado uko kwenye denial!
Nipo kwenye bus nakuja daslamuOktoba 29 imekukuta macho bado upo JF na online.
Sababu gani imekufanya hujalala mpaka sasa hivi?
View attachment 3495489
#Uzi tayari!
MhiiOktoba 29 imekukuta macho bado upo JF na online.
Sababu gani imekufanya hujalala mpaka sasa hivi?
View attachment 3495489
#Uzi tayari!
Nimeandika hawalali sijaandika hatulaliNa wewe ni mmoja wao au?
Njoo pm 😎Weka picha kwa faida ya members 😅😅
Mtoswaji Ana Kisirani 😂
Unatoka Marekani na basi 😎?Nipo kwenye bus nakuja daslamu