Kwanini hujalala mpaka sasa hivi na ni siku ya uchaguzi?

Kwanini hujalala mpaka sasa hivi na ni siku ya uchaguzi?

Kuna kikosi tulipanga tuanze kaz usiku ila mpaka sasa hawapatikan kwenye simu

*****
😂😂 kaka simu yangu nilikuwa sioni ndio nimeipata sasa hivi😁
Wewe ukawaamini akina dosho12 kabisa 😅😅😅 imekula kwako hiyo!
😂😂 tuhuma nzito sana hizi, nilipanga kuwa mstafi wa mbele sema leo asubuhi nikiwa najiandaa nimedondoka bafuni na mguu umeteguka siwezi hata kutembea, polisi wana bahati 😁
 
😂😂 tuhuma nzito sana hizi, nilipanga kuwa mstafi wa mbele sema leo asubuhi nikiwa najiandaa nimedondoka bafuni na mguu umeteguka siwezi hata kutembea, polisi wana bahati 😁
😆😆😆 Njoo huku lounge unisimulie vizuri ilikuwaje - Oktoba 29 😅 isije kua ulikua unaji-MbagaJr bafuni ukateleza.
 
Back
Top Bottom