Mme Mwenza
JF-Expert Member
- Feb 6, 2025
- 2,950
- 4,285
Unaangalia movie gani?Sijalala kwasababu leo sio siku ya kazi
Nipo zangu naangalia movie
Unafunga duka au?Napiga mahesabu.
😏 Ningekua karibu ingekuwaje?Ila Wew dada unapenda uchokoz afu uko mbali, bahat yako.
Confidence queenUnaangalia movie gani?
Ngoja niitafute 😊Confidence queen
Pole na kazi!Niko site kazini. 😂😂😂
Kwahiyo usiku mzima hutalala?Nasubiri kutiki
Nimeota wasiojulikana wametoa vitu vyangu vyote nje 😞Oktoba 29 imekukuta macho bado upo JF na online.
Sababu gani imekufanya hujalala mpaka sasa hivi?
View attachment 3495489
#Uzi tayari!
Ushaanza kupata nightmares mapema hivi 😅Nimeota wasiojulikana wametoa vitu vyangu vyote nje 😞
Hapa Illinois US muda badoOktoba 29 imekukuta macho bado upo JF na online.
Sababu gani imekufanya hujalala mpaka sasa hivi?
View attachment 3495489
#Uzi tayari!
Sawa mkuuHapa Illinois US muda bado
Duuh pole sana jamani!Ndio nasikia food poisoning pia nitahara sio muda😰
Thanx sweery,Duuh pole sana jamani!
UAIOGOPE MBWEHA HAO TUTAWASHUGHLIKIA VIZURI SANANimeota wasiojulikana wametoa vitu vyangu vyote nje 😞
JIKAZE MTOTO WA KIKE TENA SHUPAVU. Rocket 🚀 hairudi nyumaThanx sweery,
I have be a very bad feeling! Nahisi kitatokea kitu kibaya sana… Mungu atusaidie🥲
Hmmm hmm hmmm kweli uko serious hujalala😂JIKAZE MTOTO WA SHUPAVU. Rocket 🚀 hairudi nyuma