stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 7,134
- 4,556
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
CCM wanatumia umaskini na ujinga wa watanzania kupata kura,Ila shule za kata zimesaidia kufutwa ujinga kiasi kikubwa. Sasa kulingana na kuongezewa kwa umaskini mwaka huu CCM itakuwa KANU
Aliwafukuza wafanyakazi wenye vyeti feki na waziwazi mchana kweupe akasema hata kama makonda ana cheti feki hawezi kumuondoa kwa sababu ni mchapa kazi!Naomba kuelezewa na wewe
Magufuli kafanya kitu gani mpaka unasema sio mtu wa haki? Nijibu hapa kwanza. Eleza kinaga ubaga, take your time
"Hawa walinipa kura msiwabomolee nyumba zao"Naomba kuelezewa na wewe
Magufuli kafanya kitu gani mpaka unasema sio mtu wa haki? Nijibu hapa kwanza. Eleza kinaga ubaga, take your time
Unaelewa gharama ya kulinda kura? Upo tayari kupoteza miguu, kama unayo lknLazima nipige kura na nitaungana na watu watakaokuwa wanazilinda kura
Nipo tayariUnaelewa gharama ya kulinda kura? Upo tayari kupoteza miguu, kama unayo lkn
The Hague, notice walishapokea Sasa Kuna kitu inakuja kuwa mpoleNipo tayari
Dodoma, Tabora na Pwani kuna nini? kwanini ni kama wamelala sana?Uliyoyaandika na kutabiri ni kweli kabisa, nilitegemea ngome ya Geita na CHato jamaa asingekuwa na ufuasi mkubwa, ila kwa niliyoyaona hizo sehemu ni wazi kuwa Lissu hana mpinzani. Magufuli atamshinda Lissu mikoa michache sana (Dodoma, Tabora, Pwani), mikoa kama Mwanza, Geita, Shinyanga watagawana 50/50, ila kwa mikoa iliyobakia pamoja na znz sioni wa kumshinda Lissu.
Tabora wameanza kuamka sana. Mwaka huu kuna matokeo mazuri kule tutaanza kuyaona. Pwani kwa majibu ya juzi kwa bwege kule lazima mwaka huu tutaanza kuona majibu mazuri bila kusahau kibaha.Dodoma, Tabora na Pwani kuna nini? kwanini ni kama wamelala sana?
Pasco atakujibu kwa niabaAmani iwe nanyi wadau
Kama mada inavyojieleza hapo juu, hizi ndo sababu za Kwa nini Uchaguzi Mkuu wa Mwaka huu ndo uchaguzi Mgumu zaidi kwa CCM?
1. Mwaka 2015 Chadema walikuwa na mgombea aliyependwa na watu Lowassa Ila hakuwa mgombea makini
CCM waliweza kumchafua sana Lowassa kutokana na kashfa zakena madhaifu yake. Mwaka huu Chadema hawajarudia makosa 2020. Wana mgombea makini sana Tundu Antiphas Lissu mwenye akili sana na uwezo mkubwa sana kama mwanasiasa. Wengikwa uwezo wake wa akili na kujenga hoja wanamfananisha na Mwl Nyerere pamoja na Oscar Kambona ambao ndo wanachukuliwa kama wanasiasa bora zaidi kuwai kutokea Tanzania.
2. Mgombea wa CCM kuyaumiza makundi mengi isivyo kawaida katika kipindi chake cha miaka 5
Ni ukweli ulio dhahili kuwa kila kundi katika nchi hii limeguswa vibaya sana kwenye awamu ya tano, hali ya uchumi na kodi mbaya za TRA zimeathili sana wafanyabiashara, wafanyakazi kutopandishwa mishahara kwa miaka 5, Wakulima wa mazao kama korosho, mbaazi, tumbaku, kahawa na mahindi kuharibiwa masoko yao kwa amri za serikali pamoja na kundi kubwa la vijana kukosa ajira kutokana na uchumi kutokuwa vizuri. Kufunguliwa makesi kwa wanaharakati na watu wanaompinga magufuli pia
3. Awamu ya Tano kutokuwa na mahusiano mazuri na wadau wa maendeleo wa Tanzania wa miaka yote
Hili hata mtu asiye na akili ameliona. Katika awamu ya tano ndo Tanzania imesemwa vibaya zaidi kimataifa na hata kutolewa matamko mbalimbali yasio mazuri na ya tahadhari na balozi za hapa nchini. Hiki ni kiashiria kuwa hata wadau wa kimataifa wamemchoka Magufuli
4. Lissu kuwa Mhanga wa Jaribio la Mauaji
Hii kete ingawa CCM wanaidharau ila hili ni moja ya jambo linalombeba sana Lissu. Watu wengi wanamuona Lissu kama muujiza unaotembea. Shambulio dhidi yake tena kwenye awamu ya Tano linamfanya awe rahisi kueleweka kwa watu na hata watu kumpenda zaidi.
5. Hali ya uchumi
Hali ya uchumi ya Tanzania imekuwa mbaya sana hasa kwa watanzania. Wengi maisha yao yamezidi kuwa magumu zaidi ukiangalia kama wakulima, wafanyakazi na vijana. Hawaoni ahueni mbele na wengi wanaona ni ngumu hali hii Kubadirika kwa aina ya utawala wa magufuli
Nimalize kwa kusema, katika survey yangu Kuna jambo kuu nimeliona. Kuna uwezekano mkubwa sana Watanzania wakaandika historia kuu mwaka huu. Tundu Antiphas Lissu anaenda kuishangaza dunia mwaka huu.
Raisi wa Jamhuri ya Muungano Tanzania 2020-2025 ni Tundu Antiphas Lissu.
Ameishiwa hojaPasco atakujibu kwa niaba
Mm mpaka lisu atangulie mbele ndio nitalinda kura, sio yeye yupo beljiamu alafu mm nivunjwe miguu bongoNipo tayari
Ok nimekupata, Dodoma kwa Ndugai bado wamelala!Tabora wameanza kuamka sana. Mwaka huu kuna matokeo mazuri kule tutaanza kuyaona. Pwani kwa majibu ya juzi kwa bwege kule lazima mwaka huu tutaanza kuona majibu mazuri bila kusahau kibaha.
Shida iko Dodoma, ila sio shida pamoja na akili kuchelewa kufunguka ila maendeleo ya Chadema yatawanufaisha sana
Nina amini una uelewa wa kutosha. Lakini ukiamua kuishi maisha ya kusadikika rukhsa.Hakuna chuki ila huu ndo uhalisia. Tanzania ndio ilikuwepo tangu enzi ila Kuna mambo watanzania hawakuyaona miaka ya nyuma wameyaona kwa nguvu sana katika awamu hii ya 5.
Magufuli alishauriwa sana ila kwa kebehi alijibu unapomshauri ndo unaharibu zaidi. Hakuna namna tumuache mwaka huu avune alichopanda kwa miaka yake 5.
Kuhusu miradi hata wewe na mimi tukiwa viongozi tutajenga tu miradi.Vile sio hisani wala fadhila ni wajibu kwa sababu nchi inakusanya kodi!
umeona mbaliAmani iwe nanyi wadau
Kama mada inavyojieleza hapo juu, hizi ndo sababu za Kwa nini Uchaguzi Mkuu wa Mwaka huu ndo uchaguzi Mgumu zaidi kwa CCM?
1. Mwaka 2015 Chadema walikuwa na mgombea aliyependwa na watu Lowassa Ila hakuwa mgombea makini
CCM waliweza kumchafua sana Lowassa kutokana na kashfa zakena madhaifu yake. Mwaka huu Chadema hawajarudia makosa 2020. Wana mgombea makini sana Tundu Antiphas Lissu mwenye akili sana na uwezo mkubwa sana kama mwanasiasa. Wengikwa uwezo wake wa akili na kujenga hoja wanamfananisha na Mwl Nyerere pamoja na Oscar Kambona ambao ndo wanachukuliwa kama wanasiasa bora zaidi kuwai kutokea Tanzania.
2. Mgombea wa CCM kuyaumiza makundi mengi isivyo kawaida katika kipindi chake cha miaka 5
Ni ukweli ulio dhahili kuwa kila kundi katika nchi hii limeguswa vibaya sana kwenye awamu ya tano, hali ya uchumi na kodi mbaya za TRA zimeathili sana wafanyabiashara, wafanyakazi kutopandishwa mishahara kwa miaka 5, Wakulima wa mazao kama korosho, mbaazi, tumbaku, kahawa na mahindi kuharibiwa masoko yao kwa amri za serikali pamoja na kundi kubwa la vijana kukosa ajira kutokana na uchumi kutokuwa vizuri. Kufunguliwa makesi kwa wanaharakati na watu wanaompinga magufuli pia
3. Awamu ya Tano kutokuwa na mahusiano mazuri na wadau wa maendeleo wa Tanzania wa miaka yote
Hili hata mtu asiye na akili ameliona. Katika awamu ya tano ndo Tanzania imesemwa vibaya zaidi kimataifa na hata kutolewa matamko mbalimbali yasio mazuri na ya tahadhari na balozi za hapa nchini. Hiki ni kiashiria kuwa hata wadau wa kimataifa wamemchoka Magufuli
4. Lissu kuwa Mhanga wa Jaribio la Mauaji
Hii kete ingawa CCM wanaidharau ila hili ni moja ya jambo linalombeba sana Lissu. Watu wengi wanamuona Lissu kama muujiza unaotembea. Shambulio dhidi yake tena kwenye awamu ya Tano linamfanya awe rahisi kueleweka kwa watu na hata watu kumpenda zaidi.
5. Hali ya uchumi
Hali ya uchumi ya Tanzania imekuwa mbaya sana hasa kwa watanzania. Wengi maisha yao yamezidi kuwa magumu zaidi ukiangalia kama wakulima, wafanyakazi na vijana. Hawaoni ahueni mbele na wengi wanaona ni ngumu hali hii Kubadirika kwa aina ya utawala wa magufuli
Nimalize kwa kusema, katika survey yangu Kuna jambo kuu nimeliona. Kuna uwezekano mkubwa sana Watanzania wakaandika historia kuu mwaka huu. Tundu Antiphas Lissu anaenda kuishangaza dunia mwaka huu.
Raisi wa Jamhuri ya Muungano Tanzania 2020-2025 ni Tundu Antiphas Lissu.
Kwa upande wangu nipo tayariUnaelewa gharama ya kulinda kura? Upo tayari kupoteza miguu, kama unayo lkn