Uchaguzi 2020 Kwanini huu ndio Uchaguzi Mgumu zaidi kwa CCM?

Uliyoyaandika na kutabiri ni kweli kabisa, nilitegemea ngome ya Geita na CHato jamaa asingekuwa na ufuasi mkubwa, ila kwa niliyoyaona hizo sehemu ni wazi kuwa Lissu hana mpinzani.

Magufuli atamshinda Lissu mikoa michache sana (Dodoma, Tabora, Pwani), mikoa kama Mwanza, Geita, Shinyanga watagawana 50/50, ila kwa mikoa iliyobakia pamoja na znz sioni wa kumshinda Lissu.

Kiwango kikubwa cha ushabiki, ila kila mmoja ana muono wake, Mikoa ya kuangalia sana na ambayo CCM ina nguvu zaidi ni, Mara, Simiyu, Shinyanga, Mwanza, Geita, Kagera, Tabora, Katavi na Rukwa, Songwe, Njombe, Iringa, Mbeya, Dodoma, Ruvuma, Mtwara na Lindi.

Kwingine kama Dar es salaam, Morogoro, Pwani ndio maeneo ya vita ya ushindi kwa upande wowote. Kazi ipo.
 
Namba 6.Lissu ndio binadamu pekee Tanzania aliyempinga Magu hadharani na kumpa jina jipya Dictator Uchwara
 
Amani iwe nanyi wadau

Kama mada inavyojieleza hapo juu, hizi ndo sababu za Kwa nini Uchaguzi Mkuu wa Mwaka huu ndo uchaguzi Mgumu zaidi kwa CCM?

1. Mwaka 2015 Chadema walikuwa na mgombea aliyependwa na watu Lowassa Ila hakuwa mgombea makini
CCM waliweza kumchafua sana Lowassa kutokana na kashfa zakena madhaifu yake. Mwaka huu Chadema hawajarudia makosa 2020. Wana mgombea makini sana Tundu Antiphas Lissu mwenye akili sana na uwezo mkubwa sana kama mwanasiasa. Wengikwa uwezo wake wa akili na kujenga hoja wanamfananisha na Mwl Nyerere pamoja na Oscar Kambona ambao ndo wanachukuliwa kama wanasiasa bora zaidi kuwai kutokea Tanzania.

2. Mgombea wa CCM kuyaumiza makundi mengi isivyo kawaida katika kipindi chake cha miaka 5
Ni ukweli ulio dhahili kuwa kila kundi katika nchi hii limeguswa vibaya sana kwenye awamu ya tano, hali ya uchumi na kodi mbaya za TRA zimeathili sana wafanyabiashara, wafanyakazi kutopandishwa mishahara kwa miaka 5, Wakulima wa mazao kama korosho, mbaazi, tumbaku, kahawa na mahindi kuharibiwa masoko yao kwa amri za serikali pamoja na kundi kubwa la vijana kukosa ajira kutokana na uchumi kutokuwa vizuri. Kufunguliwa makesi kwa wanaharakati na watu wanaompinga magufuli pia

3. Awamu ya Tano kutokuwa na mahusiano mazuri na wadau wa maendeleo wa Tanzania wa miaka yote
Hili hata mtu asiye na akili ameliona. Katika awamu ya tano ndo Tanzania imesemwa vibaya zaidi kimataifa na hata kutolewa matamko mbalimbali yasio mazuri na ya tahadhari na balozi za hapa nchini. Hiki ni kiashiria kuwa hata wadau wa kimataifa wamemchoka Magufuli

4. Lissu kuwa Mhanga wa Jaribio la Mauaji
Hii kete ingawa CCM wanaidharau ila hili ni moja ya jambo linalombeba sana Lissu. Watu wengi wanamuona Lissu kama muujiza unaotembea. Shambulio dhidi yake tena kwenye awamu ya Tano linamfanya awe rahisi kueleweka kwa watu na hata watu kumpenda zaidi.

5. Hali ya uchumi
Hali ya uchumi ya Tanzania imekuwa mbaya sana hasa kwa watanzania. Wengi maisha yao yamezidi kuwa magumu zaidi ukiangalia kama wakulima, wafanyakazi na vijana. Hawaoni ahueni mbele na wengi wanaona ni ngumu hali hii Kubadirika kwa aina ya utawala wa magufuli

Nimalize kwa kusema, katika survey yangu Kuna jambo kuu nimeliona. Kuna uwezekano mkubwa sana Watanzania wakaandika historia kuu mwaka huu. Tundu Antiphas Lissu anaenda kuishangaza dunia mwaka huu.

Raisi wa Jamhuri ya Muungano Tanzania 2020-2025 ni Tundu Antiphas Lissu.
Mzee Yusuph makamba aliwahi kusema" Ajaye atatubatiza kwa Moto" ndicho kilichotokea tangu 2015 Hadi Sasa. Sasa watanzania bila kuja vyama na itikafi zetu tujitokeze kwa wingi kwenda kumbatiza JPM kwa moto Oct 28.
 
CCM wanatumia umaskini na ujinga wa watanzania kupata kura,Ila shule za kata zimesaidia kufutwa ujinga kiasi kikubwa. Sasa kulingana na kuongezewa kwa umaskini mwaka huu CCM itakuwa KANU
Baada ya uchaguzi usibadili ID
 
Amani iwe nanyi wadau

Kama mada inavyojieleza hapo juu, hizi ndo sababu za Kwa nini Uchaguzi Mkuu wa Mwaka huu ndo uchaguzi Mgumu zaidi kwa CCM?

1. Mwaka 2015 Chadema walikuwa na mgombea aliyependwa na watu Lowassa Ila hakuwa mgombea makini
CCM waliweza kumchafua sana Lowassa kutokana na kashfa zakena madhaifu yake. Mwaka huu Chadema hawajarudia makosa 2020. Wana mgombea makini sana Tundu Antiphas Lissu mwenye akili sana na uwezo mkubwa sana kama mwanasiasa. Wengikwa uwezo wake wa akili na kujenga hoja wanamfananisha na Mwl Nyerere pamoja na Oscar Kambona ambao ndo wanachukuliwa kama wanasiasa bora zaidi kuwai kutokea Tanzania.

2. Mgombea wa CCM kuyaumiza makundi mengi isivyo kawaida katika kipindi chake cha miaka 5
Ni ukweli ulio dhahili kuwa kila kundi katika nchi hii limeguswa vibaya sana kwenye awamu ya tano, hali ya uchumi na kodi mbaya za TRA zimeathili sana wafanyabiashara, wafanyakazi kutopandishwa mishahara kwa miaka 5, Wakulima wa mazao kama korosho, mbaazi, tumbaku, kahawa na mahindi kuharibiwa masoko yao kwa amri za serikali pamoja na kundi kubwa la vijana kukosa ajira kutokana na uchumi kutokuwa vizuri. Kufunguliwa makesi kwa wanaharakati na watu wanaompinga magufuli pia

3. Awamu ya Tano kutokuwa na mahusiano mazuri na wadau wa maendeleo wa Tanzania wa miaka yote
Hili hata mtu asiye na akili ameliona. Katika awamu ya tano ndo Tanzania imesemwa vibaya zaidi kimataifa na hata kutolewa matamko mbalimbali yasio mazuri na ya tahadhari na balozi za hapa nchini. Hiki ni kiashiria kuwa hata wadau wa kimataifa wamemchoka Magufuli

4. Lissu kuwa Mhanga wa Jaribio la Mauaji
Hii kete ingawa CCM wanaidharau ila hili ni moja ya jambo linalombeba sana Lissu. Watu wengi wanamuona Lissu kama muujiza unaotembea. Shambulio dhidi yake tena kwenye awamu ya Tano linamfanya awe rahisi kueleweka kwa watu na hata watu kumpenda zaidi.

5. Hali ya uchumi
Hali ya uchumi ya Tanzania imekuwa mbaya sana hasa kwa watanzania. Wengi maisha yao yamezidi kuwa magumu zaidi ukiangalia kama wakulima, wafanyakazi na vijana. Hawaoni ahueni mbele na wengi wanaona ni ngumu hali hii Kubadirika kwa aina ya utawala wa magufuli

Nimalize kwa kusema, katika survey yangu Kuna jambo kuu nimeliona. Kuna uwezekano mkubwa sana Watanzania wakaandika historia kuu mwaka huu. Tundu Antiphas Lissu anaenda kuishangaza dunia mwaka huu.

Raisi wa Jamhuri ya Muungano Tanzania 2020-2025 ni Tundu Antiphas Lissu.
Sawa...unaonaje ukitoa tathimini. Pia baada ya Oktoba 28?!
 
Post yangu ya kwanza baada ya Lissu kushinda uchaguzi wa mwaka huu itakuwa ni kumpongeza na kumshauri juu ya Baraza lake la mawaziri la kwanza!!
 
Bashite umeshakuwa baba chupa 3 jaribu kubehave chadema ilimbeba lowassa jiandae kibamia ruanda manake wewe ndio uliongoza mauaji yaliyoshindwa
 
Post yangu ya kwanza baada ya Lissu kushinda uchaguzi wa mwaka huu itakuwa ni kumpongeza na kumshauri juu ya Baraza lake la mawaziri la kwanza!!
Akishindwa post yako Kama inavyotarajiwa itakuwaje?
 
Hapa wenye akili wameshajua Rais ni nan na mlevi ni yupi, hata hivyo huyu mlevi anatoka chama kilee ambacho Mwenyekiti wao anaeganda madarakan alilewa akaanguka kwenye ngaz mguu ukateguka then akasingizia amevamiwa. Shame upon him.
IMG-20201010-WA0017.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uliyoyaandika na kutabiri ni kweli kabisa, nilitegemea ngome ya Geita na CHato jamaa asingekuwa na ufuasi mkubwa, ila kwa niliyoyaona hizo sehemu ni wazi kuwa Lissu hana mpinzani.

Magufuli atamshinda Lissu mikoa michache sana (Dodoma, Tabora, Pwani), mikoa kama Mwanza, Geita, Shinyanga watagawana 50/50, ila kwa mikoa iliyobakia pamoja na znz sioni wa kumshinda Lissu.
Hapa Geita CCM maana chao yaani tumeifuta kabisa Kanyasu ajiandae kulikalia benchi
 
Maccm yamechokwa, yanachukiwa, hayapendwi, wahuni, majizi, mauaji na uchafu mwingine chungu nzima. Watanzania tunaojitambua hatuwezi kuwapigia kura hawa waovu.
Amani iwe nanyi wadau

Kama mada inavyojieleza hapo juu, hizi ndo sababu za Kwa nini Uchaguzi Mkuu wa Mwaka huu ndo uchaguzi Mgumu zaidi kwa CCM?

1. Mwaka 2015 Chadema walikuwa na mgombea aliyependwa na watu Lowassa Ila hakuwa mgombea makini
CCM waliweza kumchafua sana Lowassa kutokana na kashfa zakena madhaifu yake. Mwaka huu Chadema hawajarudia makosa 2020. Wana mgombea makini sana Tundu Antiphas Lissu mwenye akili sana na uwezo mkubwa sana kama mwanasiasa. Wengikwa uwezo wake wa akili na kujenga hoja wanamfananisha na Mwl Nyerere pamoja na Oscar Kambona ambao ndo wanachukuliwa kama wanasiasa bora zaidi kuwai kutokea Tanzania.

2. Mgombea wa CCM kuyaumiza makundi mengi isivyo kawaida katika kipindi chake cha miaka 5
Ni ukweli ulio dhahili kuwa kila kundi katika nchi hii limeguswa vibaya sana kwenye awamu ya tano, hali ya uchumi na kodi mbaya za TRA zimeathili sana wafanyabiashara, wafanyakazi kutopandishwa mishahara kwa miaka 5, Wakulima wa mazao kama korosho, mbaazi, tumbaku, kahawa na mahindi kuharibiwa masoko yao kwa amri za serikali pamoja na kundi kubwa la vijana kukosa ajira kutokana na uchumi kutokuwa vizuri. Kufunguliwa makesi kwa wanaharakati na watu wanaompinga magufuli pia

3. Awamu ya Tano kutokuwa na mahusiano mazuri na wadau wa maendeleo wa Tanzania wa miaka yote
Hili hata mtu asiye na akili ameliona. Katika awamu ya tano ndo Tanzania imesemwa vibaya zaidi kimataifa na hata kutolewa matamko mbalimbali yasio mazuri na ya tahadhari na balozi za hapa nchini. Hiki ni kiashiria kuwa hata wadau wa kimataifa wamemchoka Magufuli

4. Lissu kuwa Mhanga wa Jaribio la Mauaji
Hii kete ingawa CCM wanaidharau ila hili ni moja ya jambo linalombeba sana Lissu. Watu wengi wanamuona Lissu kama muujiza unaotembea. Shambulio dhidi yake tena kwenye awamu ya Tano linamfanya awe rahisi kueleweka kwa watu na hata watu kumpenda zaidi.

5. Hali ya uchumi
Hali ya uchumi ya Tanzania imekuwa mbaya sana hasa kwa watanzania. Wengi maisha yao yamezidi kuwa magumu zaidi ukiangalia kama wakulima, wafanyakazi na vijana. Hawaoni ahueni mbele na wengi wanaona ni ngumu hali hii Kubadirika kwa aina ya utawala wa magufuli

Nimalize kwa kusema, katika survey yangu Kuna jambo kuu nimeliona. Kuna uwezekano mkubwa sana Watanzania wakaandika historia kuu mwaka huu. Tundu Antiphas Lissu anaenda kuishangaza dunia mwaka huu.

Raisi wa Jamhuri ya Muungano Tanzania 2020-2025 ni Tundu Antiphas Lissu.
 
Hakuna uchaguzi mgumu kwa ccm labda kama umeongea kinyume chake, ila ni Uchaguzi mgumu kwa pingapinga maana wabunge wengi wa pingapinga hawatarudi bungeni
 
Hapa wenye akili wameshajua Rais ni nan na mlevi ni yupi, hata hivyo huyu mlevi anatoka chama kilee ambacho Mwenyekiti wao anaeganda madarakan alilewa akaanguka kwenye ngaz mguu ukateguka then akasingizia amevamiwa. Shame upon him.View attachment 1596238

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna siku nilikaa na Mzimbabwe mmoja hivi akawa ananipa story za Zimbabwe sana sana sapota wa Mugabe, jamaa anasema Mugabe alIkuwa na wapambe wengi sana siku za mwanzo za yeye kuanza kushughulikia Wazungu.

Mugabe aliungwa mkono na Maaskofu, Wasomi na wasio kuwa wasomi, masikini hohehahe kabisa, matajiri ambao wao walikuwa wanufaika moja kwa moja, Jeshi na kadhalika.

Wakati vikwazo vinawekwa wapambe waliendelea kumsapoti kwa nguvu sana na kwamba tutawashinda maadui wetu.

Ila vikwazo vilipo pamba moto wale wapambe wakaanza kupungua mmoja baada ya mwingine,

Walianza watu wa Dini, wakaja wafanya biashara, wakaja mátajiri kwa masikini, Wakaja chama chake na mwisho wana Jeshi.

Kwa kifupi hadi Dakika ya Mwisho Mugabe alijikuta anaungwa mkono na Familia yake pekee.

Tunajifunza hata Tanzania kuna siku tu mtu atajikuta yuko na Familia yake pekee ndio inauo msapoti bado.

Hawa wote wanao shangilia sasa, wapambe wakuu huenda wakaja kuwa wa kwanza kugeuka mtu.
 
Lord denning,

..nadhani uchaguzi huu ni mgumu kwa ccm kutokana na mabadiliko ktk RIKA / UMRI WA WAPIGA KURA.

..sasa hivi Watanzania wengi zaidi wana mazoea na mfumo wa vyama vingi vya siasa, na wana mtizamo chanya kuliko hapo awali kuhusu vyama mbadala wa CCM.

..Watanzania wengi zaidi wamevizoea vyama mbadala pamoja na viongozi wa vyama hivyo, na hawatishiki navyo tena. Hivyo basi wako tayari kuviunga mkono, na kuwapigia kura wagombea toka vyama hivyo.

..Chaguzi zilizopita, na haswa kabla ya mwaka 2010, wapigakura wengi walikuwa na mashaka, na mtizamo hasi, kuhusu vyama vya upinzani na wagombea wa vyama hivyo.

..Uchaguzi huu pia unaweza kupelekea kwa upande wa TANGANYIKA tukabakiwa na vyama vikuu viwili vya siasa, kama ilivyo kwa ndugu zetu wa Zanzibar.
 
Back
Top Bottom