Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
subutu yako. labda kama hujawahi kuiskia Ilani x3.Kwa upande wangu nipo tayari
Tatizo jiwe alijisahau akaona miaka mitano atakuwa amenunua Act na CDM kama alivyofanya kwa mama Tz na LIpumba.
Kumbe sisi tulikuwa tunamsubiri kwa hamu tumwoneshe who we are
Amani iwe nanyi wadau
Kama mada inavyojieleza hapo juu, hizi ndo sababu za Kwa nini Uchaguzi Mkuu wa Mwaka huu ndo uchaguzi Mgumu zaidi kwa CCM?
1. Mwaka 2015 Chadema walikuwa na mgombea aliyependwa na watu Lowassa Ila hakuwa mgombea makini
CCM waliweza kumchafua sana Lowassa kutokana na kashfa zakena madhaifu yake. Mwaka huu Chadema hawajarudia makosa 2020. Wana mgombea makini sana Tundu Antiphas Lissu mwenye akili sana na uwezo mkubwa sana kama mwanasiasa. Wengikwa uwezo wake wa akili na kujenga hoja wanamfananisha na Mwl Nyerere pamoja na Oscar Kambona ambao ndo wanachukuliwa kama wanasiasa bora zaidi kuwai kutokea Tanzania.
2. Mgombea wa CCM kuyaumiza makundi mengi isivyo kawaida katika kipindi chake cha miaka 5
Ni ukweli ulio dhahili kuwa kila kundi katika nchi hii limeguswa vibaya sana kwenye awamu ya tano, hali ya uchumi na kodi mbaya za TRA zimeathili sana wafanyabiashara, wafanyakazi kutopandishwa mishahara kwa miaka 5, Wakulima wa mazao kama korosho, mbaazi, tumbaku, kahawa na mahindi kuharibiwa masoko yao kwa amri za serikali pamoja na kundi kubwa la vijana kukosa ajira kutokana na uchumi kutokuwa vizuri. Kufunguliwa makesi kwa wanaharakati na watu wanaompinga magufuli pia
3. Awamu ya Tano kutokuwa na mahusiano mazuri na wadau wa maendeleo wa Tanzania wa miaka yote
Hili hata mtu asiye na akili ameliona. Katika awamu ya tano ndo Tanzania imesemwa vibaya zaidi kimataifa na hata kutolewa matamko mbalimbali yasio mazuri na ya tahadhari na balozi za hapa nchini. Hiki ni kiashiria kuwa hata wadau wa kimataifa wamemchoka Magufuli
4. Lissu kuwa Mhanga wa Jaribio la Mauaji
Hii kete ingawa CCM wanaidharau ila hili ni moja ya jambo linalombeba sana Lissu. Watu wengi wanamuona Lissu kama muujiza unaotembea. Shambulio dhidi yake tena kwenye awamu ya Tano linamfanya awe rahisi kueleweka kwa watu na hata watu kumpenda zaidi.
5. Hali ya uchumi
Hali ya uchumi ya Tanzania imekuwa mbaya sana hasa kwa watanzania. Wengi maisha yao yamezidi kuwa magumu zaidi ukiangalia kama wakulima, wafanyakazi na vijana. Hawaoni ahueni mbele na wengi wanaona ni ngumu hali hii Kubadirika kwa aina ya utawala wa magufuli
Nimalize kwa kusema, katika survey yangu Kuna jambo kuu nimeliona. Kuna uwezekano mkubwa sana Watanzania wakaandika historia kuu mwaka huu. Tundu Antiphas Lissu anaenda kuishangaza dunia mwaka huu.
Raisi wa Jamhuri ya Muungano Tanzania 2020-2025 ni Tundu Antiphas Lissu.

Umeanza kufuatilia siasa baada ya Lisu kurudi toka ubelgiji
Nimependa sana uchambuzi wako uko makini kweli kweli.Amani iwe nanyi wadau

Kuna Wakati Huwa Nawaza Wapiga Deal Walivyonyooshwa na Magufuli hahaha yanii hata Angesimamishwa Mpoki Bado Mngesema Uchaguzi Mgumu kwa CCM kwa mtazami wangu Huu uchguzi ni Mwepesi Kwa Sababu moja Tu Anachokifanya Magufuli kinaoNekana Kwa wazelendo na watu Wenye Akili Timamu Anachokihubili Lissu kinatamaniwa na Wapiga deal na Wavivu Wa Kufikili Sasa Tupige hesabu Wapuga deal na Wazelendo nchii wapi ni wengi Tusisahau Huwezi Kupima Uchaguzi Wa nchi hii Kutumia MITANDAO YA KIJAMII maana kuna watu wanafananisha Tanzania na Marekani poor you, Kura za nchi hii zipo vijivjini je CHADEMA MMEWAFIKIA HAWA, Shida ni moja tu Mashabiki Wa Chadema wengi wamejazana mitandaoni Me niwaombe Tu tarehe 28 Mkae karibu na Hospital maana mtanyookaa mtapepesuka hamtaamini Ushindi Wa Kishondo Wa MAGUFULiAmani iwe nanyi wadau
Kama mada inavyojieleza hapo juu, hizi ndo sababu za Kwa nini Uchaguzi Mkuu wa Mwaka huu ndo uchaguzi Mgumu zaidi kwa CCM?
1. Mwaka 2015 Chadema walikuwa na mgombea aliyependwa na watu Lowassa Ila hakuwa mgombea makini
CCM waliweza kumchafua sana Lowassa kutokana na kashfa zakena madhaifu yake. Mwaka huu Chadema hawajarudia makosa 2020. Wana mgombea makini sana Tundu Antiphas Lissu mwenye akili sana na uwezo mkubwa sana kama mwanasiasa. Wengikwa uwezo wake wa akili na kujenga hoja wanamfananisha na Mwl Nyerere pamoja na Oscar Kambona ambao ndo wanachukuliwa kama wanasiasa bora zaidi kuwai kutokea Tanzania.
2. Mgombea wa CCM kuyaumiza makundi mengi isivyo kawaida katika kipindi chake cha miaka 5
Ni ukweli ulio dhahili kuwa kila kundi katika nchi hii limeguswa vibaya sana kwenye awamu ya tano, hali ya uchumi na kodi mbaya za TRA zimeathili sana wafanyabiashara, wafanyakazi kutopandishwa mishahara kwa miaka 5, Wakulima wa mazao kama korosho, mbaazi, tumbaku, kahawa na mahindi kuharibiwa masoko yao kwa amri za serikali pamoja na kundi kubwa la vijana kukosa ajira kutokana na uchumi kutokuwa vizuri. Kufunguliwa makesi kwa wanaharakati na watu wanaompinga magufuli pia
3. Awamu ya Tano kutokuwa na mahusiano mazuri na wadau wa maendeleo wa Tanzania wa miaka yote
Hili hata mtu asiye na akili ameliona. Katika awamu ya tano ndo Tanzania imesemwa vibaya zaidi kimataifa na hata kutolewa matamko mbalimbali yasio mazuri na ya tahadhari na balozi za hapa nchini. Hiki ni kiashiria kuwa hata wadau wa kimataifa wamemchoka Magufuli
4. Lissu kuwa Mhanga wa Jaribio la Mauaji
Hii kete ingawa CCM wanaidharau ila hili ni moja ya jambo linalombeba sana Lissu. Watu wengi wanamuona Lissu kama muujiza unaotembea. Shambulio dhidi yake tena kwenye awamu ya Tano linamfanya awe rahisi kueleweka kwa watu na hata watu kumpenda zaidi.
5. Hali ya uchumi
Hali ya uchumi ya Tanzania imekuwa mbaya sana hasa kwa watanzania. Wengi maisha yao yamezidi kuwa magumu zaidi ukiangalia kama wakulima, wafanyakazi na vijana. Hawaoni ahueni mbele na wengi wanaona ni ngumu hali hii Kubadirika kwa aina ya utawala wa magufuli
Nimalize kwa kusema, katika survey yangu Kuna jambo kuu nimeliona. Kuna uwezekano mkubwa sana Watanzania wakaandika historia kuu mwaka huu. Tundu Antiphas Lissu anaenda kuishangaza dunia mwaka huu.
Raisi wa Jamhuri ya Muungano Tanzania 2020-2025 ni Tundu Antiphas Lissu.
Another shithole assumptionTatizo jiwe alijisahau akaona miaka mitano atakuwa amenunua Act na CDM kama alivyofanya kwa mama Tz na LIpumba.
Kumbe sisi tulikuwa tunamsubiri kwa hamu tumwoneshe who we are
Kwanini wanao view hii thread ni wengi kuliko wana comment ?Amani iwe nanyi wadau

Kwanni wanaochangia uzi wako ni wachache kuliko wanao view ?Amani iwe nanyi wadau

Umesahau double standard aliyoifanya kwa Bashite, na madudu aliyofanya bashite kwa kuwaumiza watu wasio na hatia, pia kauli za dharau za Bashite kwa wakuu wake wa kazi kama PM, makamu wa rais na mawaziriNa Hii ni moja ya nguzo kuu ya kuanguka kwa Magufuli mwaka huu
Magufuli ana weakness ya kutokuwa loyal kwa wateule wake Ila yeye anataka wawe loyal kwake.
Kuanzia kwenye vyombo vya ulinzi na usalama hadi kwingine korte hakuna mwenye uhakika na ajira yake hivyo hata wao hawataona shida kumgeuka mwishoni.
Plan ya Bashiru na Polepole zimefail vibaya. Walijua 2020 upinzani utakuwa kwishney na ndiomana jiwe hakujishugirisha kabisa na maumivu ya wananchi zaido ya kuendeleza kiburi, jeuri na kauli za mauzi kila aliposimama kuwahutubia watanzania.Tatizo jiwe alijisahau akaona miaka mitano atakuwa amenunua Act na CDM kama alivyofanya kwa mama Tz na LIpumba.
Kumbe sisi tulikuwa tunamsubiri kwa hamu tumwoneshe who we are
Point!!Tatizo jiwe alijisahau akaona miaka mitano atakuwa amenunua Act na CDM kama alivyofanya kwa mama Tz na LIpumba.
Kumbe sisi tulikuwa tunamsubiri kwa hamu tumwoneshe who we are
Umesahau MoroUliyoyaandika na kutabiri ni kweli kabisa, nilitegemea ngome ya Geita na CHato jamaa asingekuwa na ufuasi mkubwa, ila kwa niliyoyaona hizo sehemu ni wazi kuwa Lissu hana mpinzani.
Magufuli atamshinda Lissu mikoa michache sana (Dodoma, Tabora, Pwani), mikoa kama Mwanza, Geita, Shinyanga watagawana 50/50, ila kwa mikoa iliyobakia pamoja na znz sioni wa kumshinda Lissu.
Ww una mamlaka gani mbwa wewesubutu yako. labda kama hujawahi kuiskia Ilani x3.
kwa mamlaka ntuliyopewa na jamhuri
jaribu basiWw una mamlaka gani mbwa wewe
HahhahahahahahahahChadema ina nguvu sana, we hujui?View attachment 1580163