Uchaguzi 2020 Kwanini huu ndio Uchaguzi Mgumu zaidi kwa CCM?

Lord denning, salaam.

Hakika umeandika hoja nyuma yake yakijirudia yaleyale ya shutuma za kubuni...
CCM wanatumia umaskini na ujinga wa watanzania kupata kura,Ila shule za kata zimesaidia kufutwa ujinga kiasi kikubwa. Sasa kulingana na kuongezewa kwa umaskini mwaka huu CCM itakuwa KANU
 
Naomba kuelezewa na wewe

Magufuli kafanya kitu gani mpaka unasema sio mtu wa haki? Nijibu hapa kwanza. Eleza kinaga ubaga, take your time
Aliwafukuza wafanyakazi wenye vyeti feki na waziwazi mchana kweupe akasema hata kama makonda ana cheti feki hawezi kumuondoa kwa sababu ni mchapa kazi!

Una swali lingine???
 
Dodoma, Tabora na Pwani kuna nini? kwanini ni kama wamelala sana?
 
Nilikua nimekata tamaa ya kuto kupiga kura makusudi ila lisu amenishawishi nitapiga kura 28 /10 na kura yangu nitaipatia chadema japo mgombea wao ninae mjua ni lisu diwani simjui mbunge pia Ila initaipigia chadema japo ninae mjua ni lisu
 
Dodoma, Tabora na Pwani kuna nini? kwanini ni kama wamelala sana?
Tabora wameanza kuamka sana. Mwaka huu kuna matokeo mazuri kule tutaanza kuyaona. Pwani kwa majibu ya juzi kwa bwege kule lazima mwaka huu tutaanza kuona majibu mazuri bila kusahau kibaha.

Shida iko Dodoma, ila sio shida pamoja na akili kuchelewa kufunguka ila maendeleo ya Chadema yatawanufaisha sana
 
Pasco atakujibu kwa niaba
 
Kwa maonao yako kama wewe,lakini wengine hafafikrii hayo wanaona 2010 ndo ilikua ngoma ya ukweli hii ni part 4 tu
 
Ok nimekupata, Dodoma kwa Ndugai bado wamelala!
 
Nina amini una uelewa wa kutosha. Lakini ukiamua kuishi maisha ya kusadikika rukhsa.
 
Um
umeona mbali
 
Hakuna wakati Watanzania wamuemizwa sana kwa kuminywa minywa na maisha kuwa magumu kama wakati wa Jiwe. Hii ndio sababu kuu. Watanzania hawataki kabisa kusikia nyimbo yoyote zaidi ya ‘mabadiliko’. Na Tundu Lissu ndiye wa kutuvusha kwenye wakati huu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…