Uchaguzi 2020 Kwanini huu ndio Uchaguzi Mgumu zaidi kwa CCM?

mim zamani nilkua kuipenda peoles ila ilan yetu kwa sasa hailewek.Hoja zake ni intangibles.hazionekan
 
Tatizo jiwe alijisahau akaona miaka mitano atakuwa amenunua Act na CDM kama alivyofanya kwa mama Tz na LIpumba.
Kumbe sisi tulikuwa tunamsubiri kwa hamu tumwoneshe who we are

Wajeruman wana say Yao moja kuwa sio kila kitu unaamini kutoka kwa wafanya research

Sasa naona mzee baba alikuwa anaambiwa Sana kuwa hakuna Kama yy,

Mara kaletwa na mungu na mambo kibao
 

Kwa nchi yetu kushinda uchaguzi na kutangazwa mshindi ni vitu viwili tofauti. Mfano mzuri ni Kakoloni ketu mwaka 2015 sultani kiuhakika alishinda uchaguzi lakini hakutangazwa. Inawezekana TAL akashinda uchaguzi lkn atatangazwa mshindi MARK MY WORD!
 
Uxhaguzi mgumu ulikuwa wa Mrema na Lowassa....

Viva Magu 2020 to 2030
 
Nimependa sana uchambuzi wako uko makini kweli kweli.
Ila umekosea kitu kimoja. Ungewaacha watu hapo mwisho wa conclude wenyewe Raisi ni nani maana kwa ulivyoweka unakua umetoa nondo za nguvu halafu mwisho unaweka mapenzi yako binafsi. Mwandishi hapo ndio umeharibu. Other than that points zako zote ni valid.
 
Kwa bahati mbaya sana mgombea wa CCM hata wale wanaomzunguka na aliowapa ulaji hawapo naye zaidi ya kuwa wanafiki ili wasife njaa. Wanafanyakazi kwa hofu kuu Kwa sababu hawajui kesho Yao itakuwaje. Kutumbuliwa ni nje nje. Hao wapi wengi Sana, tunawasikia huku mtaani, wana lao la siri mioyoni mwao. Hii ni hatari sana.
 
Kuna Wakati Huwa Nawaza Wapiga Deal Walivyonyooshwa na Magufuli hahaha yanii hata Angesimamishwa Mpoki Bado Mngesema Uchaguzi Mgumu kwa CCM kwa mtazami wangu Huu uchguzi ni Mwepesi Kwa Sababu moja Tu Anachokifanya Magufuli kinaoNekana Kwa wazelendo na watu Wenye Akili Timamu Anachokihubili Lissu kinatamaniwa na Wapiga deal na Wavivu Wa Kufikili Sasa Tupige hesabu Wapuga deal na Wazelendo nchii wapi ni wengi Tusisahau Huwezi Kupima Uchaguzi Wa nchi hii Kutumia MITANDAO YA KIJAMII maana kuna watu wanafananisha Tanzania na Marekani poor you, Kura za nchi hii zipo vijivjini je CHADEMA MMEWAFIKIA HAWA, Shida ni moja tu Mashabiki Wa Chadema wengi wamejazana mitandaoni Me niwaombe Tu tarehe 28 Mkae karibu na Hospital maana mtanyookaa mtapepesuka hamtaamini Ushindi Wa Kishondo Wa MAGUFULi
 
Tatizo jiwe alijisahau akaona miaka mitano atakuwa amenunua Act na CDM kama alivyofanya kwa mama Tz na LIpumba.
Kumbe sisi tulikuwa tunamsubiri kwa hamu tumwoneshe who we are
Another shithole assumption
 
Kwanini wanao view hii thread ni wengi kuliko wana comment ?
 
Kwanni wanaochangia uzi wako ni wachache kuliko wanao view ?
 
Umesahau double standard aliyoifanya kwa Bashite, na madudu aliyofanya bashite kwa kuwaumiza watu wasio na hatia, pia kauli za dharau za Bashite kwa wakuu wake wa kazi kama PM, makamu wa rais na mawaziri
 
Tatizo jiwe alijisahau akaona miaka mitano atakuwa amenunua Act na CDM kama alivyofanya kwa mama Tz na LIpumba.
Kumbe sisi tulikuwa tunamsubiri kwa hamu tumwoneshe who we are
Plan ya Bashiru na Polepole zimefail vibaya. Walijua 2020 upinzani utakuwa kwishney na ndiomana jiwe hakujishugirisha kabisa na maumivu ya wananchi zaido ya kuendeleza kiburi, jeuri na kauli za mauzi kila aliposimama kuwahutubia watanzania.
Sasa tunasikia kauli za ahadi alizozitoa 1015 na hakuzitekeleza miaka yote hii 5
WANANCHI WAMESHTUKA😂😂😂
 
Umesahau Moro
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…