Kwanini huyu anayesemekana kuwa ni mwanajeshi anayetuhumiwa kubaka alikuwa hajafungwa pingu? Na hao waliokuwa wanaongozana naye ni akina nani?

Bwana Nyundo hapo yupo na KM wawili
KM ni askari kikosi maalaum wa Magereza ambao wanakazi ya kudeal na wahalifu wakubwa
KM iliasisiwa kikosi cha Ukonga Miaka mingi iliopita chini ya Mwasisi wake Late SACP Conrad Tesha
Kikosi kiliundwa baada ya ongezeko la wafungwa watukutu walokua wakipiga askari wa lindo magerezani ( wardens & corporals)

KIKOSI MAALUM ( Raia wanaita Makomando wa Magereza )
Ni moja ya vikosi imara ambavyo Askari hupitia mafunzo mbalimbali ya utimamu wa mwili na mapigano
Askari mara nyingi atakua na sifa kama hizi
5.5 ft+
Well physical body
Sharp Decision making

JWTZ na Urefu
Kua na angalau 5ft ni advantage lakini sio kigezo cha lazima
Askari wafupi zaidi ni special na wanapendelewa zaidi kama Inflantry

UTUKUTU NA COMMANDO COURSE
Kwenye medani kuna dhana kwamba a good soldier cant be a commando cant be a warrior

Kwa maana so called GOOD SOLDIER hawa ni wale ambao wako obedient sana nidhamu ya kijeshi ni A+ hawawezi kua askari watendaji wazuri hususani kwenye Uwanja wa Vita
Askari ambaye anaharibu sana kazi anafaa kwenda SF kwa sababu SF inahitaji zaidi utendaji kuliko uongozi

No wonder Dogo walimbakiza kama Instructor RTS MSATA
 
Mara ghafla papaaaa wanaachiwa huru ..... hamna mlalamikaji na jamhuri imeamua kuachana na mashtaka hayo
Ndo maana Polisi huwa wanasema bado wanakamilisha ushahidi japo watu huwa wanauliza ushahidi gani wakati video ipo, kumtia mtu hatiani siyo rahisi rahisi hivyo video pekee haitoshi ukizingatia huwenda na ushahidi wa daktari haupo maana binti alibakwa tangu mwezi wa 5, kwahiyo huwezi kuwapeleka na ushahidi wa video peke yake wanakushinda mahakamani mchana kweupe, ni lazima utafutwe ushahidi mwingine unaohusiana na tukio ikiwa na kwenda huko tukio lilipofanyika.

Laa sivyo mahakama inaawaachia huru kweli.
 
Hao ni polisi siyo KMKM, bado walikua wapo kwenye mahabusu ya polisi hawawezi kukutana na KMKM kabla ya kupelekwa magereza ila baada ya kusomewa kesi zao na kupata CC No ndo hakimu anaandika rumande warrant ili bwana jela awapokee na awape ulinzi hapo sasa ndo wanatoka kwenye mikono ya polisi wanaenda kukutana na askari magereza wanakaa mahabusu ya magereza hadi siku waliyopangiwa tarehe ya kesi
 
Tatizo ni mind set za ukoloni mambo leo.
Pingu unafungwa ili kuzuia usitoroke lakini Polisi wa leo pingu ni kitisho na zinafungwa hata katika mazingira ambayo siyo salama.Pia kuwekwa mahabusu malengo yake ni kuweza kukupata kwa wakati ili kusaidia upelelezi au kufikishwa mahakamani lkn kwetu mahabusu ni eneo la Kukomoa watu. Lengo afikishwe mahakamani na kama amefikishwa si juu yetu kujua amefikishwa vipi maana hao wafikishaji wamesomea kazi yao
 
Umechanganya siongelei KMKM nmeongelea KM wanahusika kuserve High criminal suspects
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…