Kwanini huyu Msanii aliruhusiwa kuingia Ubalozini?




Utumwa wa kifikra unawasumbua watu weusi

Mavazi ni Kama cover ya simu tu wala hayana impact yoyote .

Diamond anafanya baishara ya muziki na msaniii yeye ndo biashara

Ikiwa utamzuia kuvaa hivyo hakikisha pia unamzuia kusuka kuvaa hereni kuchora tatoo n.k you have to Escape from that cage .

Diamond na kairuki (Balozi) nani ambaye amekuwa na impact katika jamii kwa kuzingati kutoa ajira , kulipa kodi ,

Tukiendelea hivi tutakuwa na Taifa la watu wajinga Sana
 
Du nondo hii
 
Malezi ya kulelewa na mwanamke peke yake ni shida, unakosa maadili...na unakuwa hujui kama kipi hakifai na kipi kinafaa 😄
Watu wanaiba pesa CAG anawataja na wanavaa suti na kuapa kwa kutumia Biblia na Quruan.

Utumwa wa kifikra ndo unawatesa watu weusi.

MTU ambaye amatengeneza ajira , na kuleta mapinduzi katika sanaa ndo unasema hana maadili

Nyie maadili ni kuvaa suti

Hapo Bungeni kuna Mbunge ambaye amewahi hata kuanzisha Project yeyote ya kusaidia jamii na kutengeneza ajira
 
Sikubaliani na yanayofanywa na serikali na ni muumini wa NRNE, lakini kuingiliana suala la mavazi ni u$enge na ushamba tu...
Mambo ya kizamani yaliyopitwa na wakati, kila kizazi huja na style zao, wale wale wazee wa zamani walifuga afro, shati linabana kiunoni, suruali inabana juu chini inamwagika, chini wanavaa viatu virefu hapo unazungumziaje ulikuwa ni uhuni?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…