Kwanini ijengwe Sanamu ya Hayati Rais Magufuli peke yake na si Marais wengine?

Hiyo sanamu ikijengwa itapigwa na radi. Ni matumizi mabaya ya fedha ya umma.
 
Dah laiti gharama az sanamu wachetoa kwenye malipo ya marehemu ingekuwa poa sana AU wangechangishana wanasisiemu wangemaliaz mapema sana na bila wizi wowote.

Mtazamo tu na matumizi ya kodi yanavoenda.
 
Yaani afadhali JPM na Mkapa wajengewe sanamu kwa sababu angalau kuna kazi waliifanya na imeonekana na walituletea heshima katika Nchi hii, hao Wazee wengine bure kabisa, uswahili swahili mtupu.
 
Jiulize tu kwa kutumia akili zako au hata za kuazima. UkimuondoaMagufuli, hao marais waliopita walifanya nini cha maana hapa nchini zaidi ya kujilimbikizia mali.
 
Wezi, mashoga,wakwepa kodi, wala rushwa hawakumpenda kabisa Magufuli,

Na hii ni sifa ya kiongozi anayezingatia maslahi ya wananchi wasioweza kujitetea

Sanamu linajengwa kumkumbuka huyu mtu.
 
Wivu mbaya sana,mtakufa masikini hata sanamu inawatesa
 
Hakuna mwenye nia njema watu wanataka kupiga pesa hapo wakae pembeni
 
Naomba TANTRADE wafikirie tena uamuzi huo. Kuweka sanamu la DIKTETA Magufuli aliyekufa ni adui wa wafanyabiashara na wawekezaji kutadhoofisha sekta ya uchumi nchini.

Kwa nini uweke SANAMU la kutisha kwa watu unaotaka kufanya nao biashara?
 
BS
Nadhani jawabu yao ni kuwa hao wengine hawakufa wakiwa madarakani. Ni wangapi kati ya hao uliowataja wamefariki wakiwa madarakani? Si kule zanzibar wameweka sanamu la abeid karume ambae alikufa akiwa madarakani?
 
Kama unaona walikufanyia mema, wajengee!
 
CCM ni wasengelema kujenga sanamu 420m tukiikomboa nchi yetu tutalibomoa Hilo sanamu
 
SASA meko ana outstanding ya nyo.ko???
Ulishawahi kujiuliza kwa nini huwa kuna maazimisho ya waziri mkuu Moringe Sokoine tu?

Ili ukumbukwe lazima uwe na outstanding performance
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…