Ridomil gold
JF-Expert Member
- Aug 22, 2020
- 2,790
- 2,232
Hata huku TABORA IPO PIA SANAMU YA NYERERE OVANyerere mbona ana sanamu yake Arusha? Au nyinyi mnapinga tu! Bila kufanya utafiti!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata huku TABORA IPO PIA SANAMU YA NYERERE OVANyerere mbona ana sanamu yake Arusha? Au nyinyi mnapinga tu! Bila kufanya utafiti!
Mkapa yupo hai..?Hao uliotaja hawajafa bado.. kizazi cha sasa ukifa ndipo unakuwa lulu
Hiyo sanamu ikijengwa itapigwa na radi. Ni matumizi mabaya ya fedha ya umma.Nimeshtushwa Sana na Tangazo la kuwa kuna ujenzi wa sanamu ya Magufuli Uwanja Wa Maonesho ya Sabasaba kwa Gharama ya Tsh. milioni 420.
Sikatai ila nina hoja:
Kwanini Magufuli?
Mwinyi je?
Mkapa je?
Kikwete je?
Hao Wote Walikuwa ni MARAIS wa NCHI na Kuna MAMBO MAKUBWA hata NAO WALIIFANYIA NCHI hii.
Kama Tunataka Kujenga SANAMU ya MAGUFULI Basi TUJENGE na SANAMU za MWINYI, MKAPA na KIKWETE.
Pia soma
- Sanamu la Magufuli na ukarabati wa kumbi za kisasa kujengwa kwa Tsh milioni 420 viwanja vya Sabasaba
Mzee hata mchonga hajafa?Hao uliotaja hawajafa bado.. kizazi cha sasa ukifa ndipo unakuwa lulu
Yaani afadhali JPM na Mkapa wajengewe sanamu kwa sababu angalau kuna kazi waliifanya na imeonekana na walituletea heshima katika Nchi hii, hao Wazee wengine bure kabisa, uswahili swahili mtupu.Nimeshtushwa Sana na Tangazo la kuwa kuna ujenzi wa sanamu ya Magufuli Uwanja Wa Maonesho ya Sabasaba kwa Gharama ya Tsh. milioni 420.
Sikatai ila nina hoja:
Kwanini Magufuli?
Mwinyi je?
Mkapa je?
Kikwete je?
Hao Wote Walikuwa ni MARAIS wa NCHI na Kuna MAMBO MAKUBWA hata NAO WALIIFANYIA NCHI hii.
Kama Tunataka Kujenga SANAMU ya MAGUFULI Basi TUJENGE na SANAMU za MWINYI, MKAPA na KIKWETE.
Pia soma
- Sanamu la Magufuli na ukarabati wa kumbi za kisasa kujengwa kwa Tsh milioni 420 viwanja vya Sabasaba
Jiulize tu kwa kutumia akili zako au hata za kuazima. UkimuondoaMagufuli, hao marais waliopita walifanya nini cha maana hapa nchini zaidi ya kujilimbikizia mali.Nimeshtushwa Sana na Tangazo la kuwa kuna ujenzi wa sanamu ya Magufuli Uwanja Wa Maonesho ya Sabasaba kwa Gharama ya Tsh. milioni 420.
Sikatai ila nina hoja:
Kwanini Magufuli?
Mwinyi je?
Mkapa je?
Kikwete je?
Hao Wote Walikuwa ni MARAIS wa NCHI na Kuna MAMBO MAKUBWA hata NAO WALIIFANYIA NCHI hii.
Kama Tunataka Kujenga SANAMU ya MAGUFULI Basi TUJENGE na SANAMU za MWINYI, MKAPA na KIKWETE.
Pia soma
- Sanamu la Magufuli na ukarabati wa kumbi za kisasa kujengwa kwa Tsh milioni 420 viwanja vya Sabasaba
Hakuna mwenye nia njema watu wanataka kupiga pesa hapo wakae pembeniNimeshtushwa Sana na Tangazo la kuwa kuna ujenzi wa sanamu ya Magufuli Uwanja Wa Maonesho ya Sabasaba kwa Gharama ya Tsh. milioni 420.
Sikatai ila nina hoja:
Kwanini Magufuli?
Mwinyi je?
Mkapa je?
Kikwete je?
Hao Wote Walikuwa ni MARAIS wa NCHI na Kuna MAMBO MAKUBWA hata NAO WALIIFANYIA NCHI hii.
Kama Tunataka Kujenga SANAMU ya MAGUFULI Basi TUJENGE na SANAMU za MWINYI, MKAPA na KIKWETE.
Pia soma
- Sanamu la Magufuli na ukarabati wa kumbi za kisasa kujengwa kwa Tsh milioni 420 viwanja vya Sabasaba
Naomba TANTRADE wafikirie tena uamuzi huo. Kuweka sanamu la DIKTETA Magufuli aliyekufa ni adui wa wafanyabiashara na wawekezaji kutadhoofisha sekta ya uchumi nchini.Nimeshtushwa Sana na Tangazo la kuwa kuna ujenzi wa sanamu ya Magufuli Uwanja Wa Maonesho ya Sabasaba kwa Gharama ya Tsh. milioni 420.
Sikatai ila nina hoja:
Kwanini Magufuli?
Mwinyi je?
Mkapa je?
Kikwete je?
Hao Wote Walikuwa ni MARAIS wa NCHI na Kuna MAMBO MAKUBWA hata NAO WALIIFANYIA NCHI hii.
Kama Tunataka Kujenga SANAMU ya MAGUFULI Basi TUJENGE na SANAMU za MWINYI, MKAPA na KIKWETE.
Pia soma
- Sanamu la Magufuli na ukarabati wa kumbi za kisasa kujengwa kwa Tsh milioni 420 viwanja vya Sabasaba
... usinikumbushe sanamu la Nyerere alilobambikiwa mzee Kigwa Burigi-Chato National park!The good news ni kwamba akina fundi Maiko wameshawahi tenda kwa hiyo tegemea kinyago badala ya sanamu.
Fundi Maiko ni mjanja sana katika kuwahi tenda.... usinikumbushe sanamu la Nyerere alilobambikiwa mzee Kigwa Burigi-Chato National park!
View attachment 1843655
Nyerere si alishajengwa na Magu
Atajengewa na MpangoMkapa je?
Nadhani jawabu yao ni kuwa hao wengine hawakufa wakiwa madarakani. Ni wangapi kati ya hao uliowataja wamefariki wakiwa madarakani? Si kule zanzibar wameweka sanamu la abeid karume ambae alikufa akiwa madarakani?
Kama unaona walikufanyia mema, wajengee!Nimeshtushwa Sana na Tangazo la kuwa kuna ujenzi wa sanamu ya Magufuli Uwanja Wa Maonesho ya Sabasaba kwa Gharama ya Tsh. milioni 420.
Sikatai ila nina hoja:
Kwanini Magufuli?
Mwinyi je?
Mkapa je?
Kikwete je?
Hao Wote Walikuwa ni MARAIS wa NCHI na Kuna MAMBO MAKUBWA hata NAO WALIIFANYIA NCHI hii.
Kama Tunataka Kujenga SANAMU ya MAGUFULI Basi TUJENGE na SANAMU za MWINYI, MKAPA na KIKWETE.
Pia soma
- Sanamu la Magufuli na ukarabati wa kumbi za kisasa kujengwa kwa Tsh milioni 420 viwanja vya Sabasaba
Ulishawahi kujiuliza kwa nini huwa kuna maazimisho ya waziri mkuu Moringe Sokoine tu?
Ili ukumbukwe lazima uwe na outstanding performance