OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ukiyahifadhi tumboni unaruhusiwa kuingia nayo.
Hukuwahi kutaka kujua kwa hao waliokuwa wanakuzuia? Ni imani yangu mitihani ya kitaifa ulianza darasa 4,7,10,12 ukaenda 14, haya baada ya hapo ukaingia chuo, umefanya mitihani yote ukiwa Undegraduate, umekuja mitihani ya bodi bado huna uwezo wa kujenga hoja na kuhoji jambo dogo kama maji?Wasalaam.
Tangu nikiwa chuo ilikuwa hairuhusiwi. Nikaja kwenye professional examination ilikuwa hivyo. Hata wakati nafanya CPA na ACPB na kisha CPSP niliona wakikataza.
Swali linajieleza lenyewe. Sababu hasa ya kukatazwa ni nini?
Tatizo la JF ndilo hili, watu wanajadili serious issues mtu analeta mambo ya ajabu!Siyo maji tu hata bia hairuhusiwi kwenye chumba cha mtihani.
Water is not a bevarage Perce, it is just a healthy bevarage hivo naamini una haki ya kunywa maji ukiwa kwenye chumba cha mtihani. Mnapaswa argue na hizi sheria za kikoloni vyuoni.Foods and beverage are unauthorized in UE
hasibu naona naona π€£Wasalaam.
Tangu nikiwa chuo ilikuwa hairuhusiwi. Nikaja kwenye professional examination ilikuwa hivyo. Hata wakati nafanya CPA na ACPB na kisha CPSP niliona wakikataza.
Swali linajieleza lenyewe. Sababu hasa ya kukatazwa ni nini?
CPA (T) OKW BOBAN SUNZUsema Nia yako sio maji tujue umefika kote huko
'Per se' ni neno sahihi hapo kwenye 'Perce'.Water is not a bevarage Perce, it is just a healthy bevarage hivo naamini una haki ya kunywa maji ukiwa kwenye chumba cha mtihani. Mnapaswa argue na hizi sheria za kikoloni vyuoni.
boss mi siko kwenye kufanya mtihani wa kiingereza, hivo jikite kwenye mada zaidi'Per se' ni neno sahihi hapo kwenye 'Perce'.
It seems wewe ni msomi and therefore one would expect quite reasoned presentation on JF, kuna muda mwingine huwa unanichanganya! π π π π π πWasalaam.
Tangu nikiwa chuo ilikuwa hairuhusiwi. Nikaja kwenye professional examination ilikuwa hivyo. Hata wakati nafanya CPA na ACPB na kisha CPSP niliona wakikataza.
Swali linajieleza lenyewe. Sababu hasa ya kukatazwa ni nini?
Imetusaidia sisi wengine kuelimika. Kubali kuelimika kwa manufaa yako ya baadaeboss mi siko kwenye kufanya mtihani wa kiingereza, hivo jikite kwenye mada zaidi
Tofautisha kati ya beverage na healthy beverage? Una kichwa kigumu sanaWater is not a bevarage Perce, it is just a healthy bevarage hivo naamini una haki ya kunywa maji ukiwa kwenye chumba cha mtihani. Mnapaswa argue na hizi sheria za kikoloni vyuoni.
Mkuu wewe ulijuaje? Si uliuliza tu au kujuzwa kama nilivyofanya mimi hapa? Siwezi kuficha ignorance kwa sababu eti nitaonekana vipi!Hukuwahi kutaka kujua kwa hao waliokuwa wanakuzuia? Ni imani yangu mitihani ya kitaifa ulianza darasa 4,7,10,12 ukaenda 14, haya baada ya hapo ukaingia chuo, umefanya mitihani yote ukiwa Undegraduate, umekuja mitihani ya bodi bado huna uwezo wa kujenga hoja na kuhoji jambo dogo kama maji?
Kama taifa tunahitaji rehabilitation ya self Awareness
π€£π€£π€£π€£π€£ππΏSiyo maji tu hata bia hairuhusiwi kwenye chumba cha mtihani.