Kwanini inakatazwa kuingia na maji kwenye chumba cha mtihani?

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
Wasalaam.
Tangu nikiwa chuo ilikuwa hairuhusiwi. Nikaja kwenye professional examination ilikuwa hivyo. Hata wakati nafanya CPA na ACPB na kisha CPSP niliona wakikataza.

Swali linajieleza lenyewe. Sababu hasa ya kukatazwa ni nini?
 
Hukuwahi kutaka kujua kwa hao waliokuwa wanakuzuia? Ni imani yangu mitihani ya kitaifa ulianza darasa 4,7,10,12 ukaenda 14, haya baada ya hapo ukaingia chuo, umefanya mitihani yote ukiwa Undegraduate, umekuja mitihani ya bodi bado huna uwezo wa kujenga hoja na kuhoji jambo dogo kama maji?

Kama taifa tunahitaji rehabilitation ya self Awareness
 
It seems wewe ni msomi and therefore one would expect quite reasoned presentation on JF, kuna muda mwingine huwa unanichanganya! 😀 😀 😀 😀 😀 😀
Certified Procurement and Supply. Professional (CPSP)
Associated Certified Public Accountancy (ACPA)
Certified public Accountancy (CPA)

Hukuwahi kutaka kujua kwa hao waliokuwa wanakuzuia? Ni imani yangu mitihani ya kitaifa ulianza darasa 4,7,10,12 ukaenda 14, haya baada ya hapo ukaingia chuo, umefanya mitihani yote ukiwa Undegraduate, umekuja mitihani ya bodi bado huna uwezo wa kujenga hoja na kuhoji jambo dogo kama maji?

Kama taifa tunahitaji rehabilitation ya self Awareness
Mkuu wewe ulijuaje? Si uliuliza tu au kujuzwa kama nilivyofanya mimi hapa? Siwezi kuficha ignorance kwa sababu eti nitaonekana vipi!
Ingekuwa kitu cha kijinga JF wangefuta. Punguza ujuaji kwa sababu hata wewe hujui kila kitu
 
Back
Top Bottom