Kwanini Instagram na Facebook bado wanamlilia Magufuli?

Kwanini Instagram na Facebook bado wanamlilia Magufuli?

Kikubwa alichofaulu hayati JPM ni kuzuia kabisa habari zote negative zinazoihusu serikali,unafikiri kwa wale aliokuwa akiwaita wanyonge wanachekelea watakuwa na mtazamo gani?
 
Kikubwa alichofaulu hayati JPM ni kuzuia kabisa habari zote negative zinazoihusu serikali,unafikiri kwa wale aliokuwa akiwaita wanyonge wanachekelea watakuwa na mtazamo gani?
Sio Hilo tu mkuu, yapo mengi Sana, kuwa mkweli..
 
Si ndiyo hao hao majority ambao wakipewa kanga na kofia na ubwabwa basi wanakumwagia kura. Hata ukiwaibia hawaelewi. Ukiwatajia flani kaiba tilioni hawawezi kuelewa. Na ndiyo mtaji wa ccm na wanafurahi kuitwa wanyonge. Kwahiyo CAG kadanganya😂😂😂
Ila Tanzania kwakweli ni nchi ya ajabu sana.
Hivi Ni Twaweza au taasisi gani ilibaini kuwa CCM inapendwa na watu wenye elimu na ufahamu mdogo Ana wapinzani wanapendwa na watu wenye elimu na unatahamu mkubwa ?
If inaweza kuwa inawatumiaji wachache lakini making
FB wengi lakini sio making
Mfano bodaboda,
Machinga
Dada wa kazi nyumbani
Mama zetu mama ntilie,
Na kada nyingine Kama hizo.
Ukweli propaganda za Jiwe ziliwaongia .
Hivi Kama ulivyosema kweli CAG anaweza kuwa epika Facts?
Haya je CAG Assad Musaa nae alipika ile 1.5 T?
Je ndege kweli zilinunuliwa kufuatasheria za manunuzi?

Je kweli matumizi ya fedha yote yalifuata utaratibu Kama idhini ya bunge?

Je Ujenzi wa uwanja wa Ndege chato ulipitishwa na bunge na je Ni kipaumbele Cha taifa?
Je matokeo ya uchaguzi wa mwaka Jana na serikali za mitaa Ni halisi?

Ukijiuliza hao jamaa wa FB Kama wanaona hayo machache tu niliyoandika. Hapo Ni sawa,basi kunatatizo juu ya watumiaji wa FB na IG.
 
Kaishashin
[emoji3][emoji3]hamna jipya labda ujinyonge mkuu. K ni sifa kuu ya mwanamke isingekuwa hyo k tahira ka wewe usingezaliwa. So njoo na jipya[emoji3][emoji3][emoji3]
Kaishashindwa kwa hojahuyo,ingekua Ni uso kwa uso risasi zingekuhusu.

Nimezikubali hoja zako zote.
Mimi Siamini Kama CAG anaweza kumsingizia Jiwe,vitu vinajionesha vyenyewe.
Huko FB Kuna tatizo la uelewa aisee.

Alichokifanya CAG huyu Leo ndio alichojaribu kufanya Mussa Assad akafukuzwa kihuni tu.

CAG huyu angekuwepo Jiwe leo asingeripoti Kama alivyoripoti Leo hii baada ya kufa Jiwe.
Jiwe alikua Mkandamizaji.

Sehemu kubwa ya wachangiaaji wa masuala ya Siasa wa FB Ni watu wenye uelewa finyu na elimu ndogo na ndio wanaoikubali CCM Kama utafiti wa Twaweza ulivyobaini.
 
C o insta na fb tuu ht mm hp bora uninyime maji ya kunywa na chakula lkn ucmseme vby Jembe magu na nahic anaejaribu kuharibu image ya magufuri kwa wananchi anajichimbia kaburi lake mwenyewe. RIP Jpm
 
Kaishashin
Kaishashindwa kwa hojahuyo,ingekua Ni uso kwa uso risasi zingekuhusu.

Nimezikubali hoja zako zote.
Mimi Siamini Kama CAG anaweza kumsingizia Jiwe,vitu vinajionesha vyenyewe.
Huko FB Kuna tatizo la uelewa aisee.

Alichokifanya CAG huyu Leo ndio alichojaribu kufanya Mussa Assad akafukuzwa kihuni tu.

CAG huyu angekuwepo Jiwe leo asingeripoti Kama alivyoripoti Leo hii baada ya kufa Jiwe.
Jiwe alikua Mkandamizaji.

Sehemu kubwa ya wachangiaaji wa masuala ya Siasa wa FB Ni watu wenye uelewa finyu na elimu ndogo na ndio wanaoikubali CCM Kama utafiti wa Twaweza ulivyobaini.
Ujue watu wengi huko FB hawajui hata CAG na majukumu yake ni yapi, na wamesahau kuwa CAG tangu enzi za kikwete walikuwa wanatoa hizi report na Assad alivoendeleza hvo akafanyiwa zengwe la kuitwa Hadi bungeni, ingawa alikuja kusoma report kwa wananchi ikawa mwisho wake, jiwe mwenyewe alimchagua kichere ili amuendeshe and I do believe alikuwa anapelekewa report then inafanyiwa editing ije kwenye umma ili kumuonyesha yeye msafi. Na kamwe report ya CAG sio ya kisiasa useme inataka kufuta legacy ya mtu maana office u report Hali halisi.
Mie nikisema huko FB wanaojua hata CAG ni Nini watu wananishambulia tu bila sababu
 
C kweli km ww ni great thinker umefanya nn zaidi mpk asaiv unakaa kwenu au kwa shemeji yako
Unaweza ukawa unaishi pangoni au popote na ukawa great thinker vile vile loh
 
Back
Top Bottom