The Interpreter
Member
- Mar 14, 2019
- 87
- 60
K Kama Ya Mama Yako Mzazi... Kahaba Wewe[emoji3][emoji3][emoji3]kweli ka k ya Bibi yako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
K Kama Ya Mama Yako Mzazi... Kahaba Wewe[emoji3][emoji3][emoji3]kweli ka k ya Bibi yako
FACTMitandao ya wenye akili ndogo hyo huwezi kuta great thinker anaitumia hyo
Ni kundi dogo Sana la wananchi,Hayo ya wananchi mbona wako kila corner Ina maana humu jf sio wananchi?
Sio Hilo tu mkuu, yapo mengi Sana, kuwa mkweli..Kikubwa alichofaulu hayati JPM ni kuzuia kabisa habari zote negative zinazoihusu serikali,unafikiri kwa wale aliokuwa akiwaita wanyonge wanachekelea watakuwa na mtazamo gani?
Vilaza wapo na hawatakaa waishe humu dunianiNi kundi dogo Sana la wananchi,
Wanaothubutu kuwaita wenzao walio wengi kwamba Ni vilaza.
Wakati huo huo wakipiga kelele kuhusu demokrasia ambayo haitambui tofauti ya vilaza na viamza..
[emoji3][emoji3]hamna jipya labda ujinyonge mkuu. K ni sifa kuu ya mwanamke isingekuwa hyo k tahira ka wewe usingezaliwa. So njoo na jipya[emoji3][emoji3][emoji3]K Kama Ya Mama Yako Mzazi... Kahaba Wewe
Hivi Ni Twaweza au taasisi gani ilibaini kuwa CCM inapendwa na watu wenye elimu na ufahamu mdogo Ana wapinzani wanapendwa na watu wenye elimu na unatahamu mkubwa ?Si ndiyo hao hao majority ambao wakipewa kanga na kofia na ubwabwa basi wanakumwagia kura. Hata ukiwaibia hawaelewi. Ukiwatajia flani kaiba tilioni hawawezi kuelewa. Na ndiyo mtaji wa ccm na wanafurahi kuitwa wanyonge. Kwahiyo CAG kadanganya😂😂😂
Ila Tanzania kwakweli ni nchi ya ajabu sana.
Kaishashindwa kwa hojahuyo,ingekua Ni uso kwa uso risasi zingekuhusu.[emoji3][emoji3]hamna jipya labda ujinyonge mkuu. K ni sifa kuu ya mwanamke isingekuwa hyo k tahira ka wewe usingezaliwa. So njoo na jipya[emoji3][emoji3][emoji3]
Huko kumejaa familia za Makada walioshiba upigaji na baadhi ni wabeba boksi wenye homesick na wengine ni Wahanga wa propaganda za ccm.
Mitandao ya wenye akili ndogo hyo huwezi kuta great thinker anaitumia hyo
Kwan hujui Facebook na Instagram ndio mitandao ambayo asilimia kubwa waliomo humo ni vilaza? Kwanza mm msichana akiniambia nina account Facebook nam delete kabisa
Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
Ujue watu wengi huko FB hawajui hata CAG na majukumu yake ni yapi, na wamesahau kuwa CAG tangu enzi za kikwete walikuwa wanatoa hizi report na Assad alivoendeleza hvo akafanyiwa zengwe la kuitwa Hadi bungeni, ingawa alikuja kusoma report kwa wananchi ikawa mwisho wake, jiwe mwenyewe alimchagua kichere ili amuendeshe and I do believe alikuwa anapelekewa report then inafanyiwa editing ije kwenye umma ili kumuonyesha yeye msafi. Na kamwe report ya CAG sio ya kisiasa useme inataka kufuta legacy ya mtu maana office u report Hali halisi.Kaishashin
Kaishashindwa kwa hojahuyo,ingekua Ni uso kwa uso risasi zingekuhusu.
Nimezikubali hoja zako zote.
Mimi Siamini Kama CAG anaweza kumsingizia Jiwe,vitu vinajionesha vyenyewe.
Huko FB Kuna tatizo la uelewa aisee.
Alichokifanya CAG huyu Leo ndio alichojaribu kufanya Mussa Assad akafukuzwa kihuni tu.
CAG huyu angekuwepo Jiwe leo asingeripoti Kama alivyoripoti Leo hii baada ya kufa Jiwe.
Jiwe alikua Mkandamizaji.
Sehemu kubwa ya wachangiaaji wa masuala ya Siasa wa FB Ni watu wenye uelewa finyu na elimu ndogo na ndio wanaoikubali CCM Kama utafiti wa Twaweza ulivyobaini.
Unaweza ukawa unaishi pangoni au popote na ukawa great thinker vile vile lohC kweli km ww ni great thinker umefanya nn zaidi mpk asaiv unakaa kwenu au kwa shemeji yako