Kwanini Instagram na Facebook bado wanamlilia Magufuli?

Kwanini Instagram na Facebook bado wanamlilia Magufuli?

Yeeees !!!!!
Great thinker huyo,.....
Acheni kujikweza,
Kazi tu kuwadharau wenzenu kwamba hawana akili.
Tatizo Ni hivyo vielimu vyenu vidogo vidogo.
Wenye mashule yao makubwa Wala hawanaga mambo hayo..
Kujikweza ni hisia zako tu ila hyo haiondoi ukweli wa Mambo na jinsi kulivo na utofauti wa watu na majadiliano
 
Kwa haya mabadiko mengi yenye maneno ya kashfa nadhani hao great thinker hawavuki asilimia kumi ya members
Lakini hao 10% wanaleta impacts kubwa kwa nchi kuliko majority wasioelewa duniani inaendaje
 
Mitandao ya wenye akili ndogo hyo huwezi kuta great thinker anaitumia hyo

Unaowasema akili ndogo, ndio hawa hawa tunaoshindanao jamiiforum isipokua hawajulikani/wanatumia ID tofauti ngumu kuwajua.
Kwamba mtu akitumia FB sio great thinker? Hizi ni akili za wapi jamani? Haya mambo ya kuiga maneno just for the sake of it sio poa hata.

Ndio hapo sasa, hajui kuwa jamiiforum wengi wanaotumia ni wazawa na kidogo kenya na uganda,,,, lakini Instagram na Facebook inafuatiliwa/tumiwa na watu duniani kote
 
Lakini hao 10% wanaleta impacts kubwa kwa nchi kuliko majority wasioelewa duniani inaendaje
Sawa hata huko kwenye mitandao mingine kama facebook , insta, &co kuna great thinkers pia.
 
Sawa hata huko kwenye mitandao mingine kama facebook , insta, &co kuna great thinkers pia.
Walioko ni 10% but majority ni Kama nyumbu hivi. Bongo fb na IG ni udaku kuliko Mambo ya msingi
 
Unaowasema akili ndogo, ndio hawa hawa tunaoshindanao jamiiforum isipokua hawajulikani/wanatumia ID tofauti ngumu kuwajua.

Ndio hapo sasa, hajui kuwa jamiiforum wengi wanaotumia ni wazawa na kidogo kenya na uganda,,,, lakini Instagram na Facebook inafuatiliwa/tumiwa na watu duniani kote
Humu wote twatumia fake identity but majority ya fb na IG huwezi linganisha na humu, fb kubwa huwa kupost mapicha picha, IG huwa ni mwendo wa udaku tu asilimia kubwa tofauti hata na Raia wa nchi nyingine ukisoma page una learn Sana sio huko bongo
 
Mitandao ya wenye akili ndogo hyo huwezi kuta great thinker anaitumia hyo

wamejaa mahausigeli na mashamba boy, maignorants na illiterate karibia wote wapo huko yan tuyasikilize majitu ya porini huko ? Kambo moja la msingi ni kuwa mtu pori mwenda zake kazimika, Tulisema apa atatuacha mjini , kitu cha msingi kabisa mtu pori haji kukanyaga daslama tena mwenda zake alituvuruga sana
 
Sawa endeleeni na matusi yenu nyinyi si mnajua kuongea sana. Ila mjue wananchi sio wajinga wanamjua mbaya kwao na mzuri kwao. Magufuli kawafanyia mengi mazuri haya matusi ya kumuita fisadi yatawahukumu siku moja.

hatujasema sisi kasema CAG aliemweka yeye mwenyewe kwa kumuondoa Asad akisema Asad hafai, kwanini mnamwona Magufuli Mungu ? Yule ni Mtu pori na kasahazima hakuna jipya, Juz ndugai nae kasema kuwa mikataba haikuwa mizuri sasa tunataka tuwekewe tuisome. Mkuu report ya CAG umeisoma au umeona tu watu wanaongea huko kwne facebook yenu ?
 
Hao hao wenye akili ndogo ndiyo huwa wanawaadhibu wakati wa Uchaguzi. Hivi kuwa mtumiaji wa JF ndiyo kuwa na akili nyingi kumbe[emoji3][emoji3][emoji3]

View attachment 1748162

Oprah tajiri lakin kichwan hamna kitu kivile major ya speech communication and performing arts ndio anayo na aliisoma kuanzia mwaka 1975-1987 miaka 12 anasoma tu bachelor degree we jamaa leta mwingine sio huyu mkuu...
 
miaka ya hivi karibuni facebook kwa hapa tz umebaki kuwa mtandao wa watu wajinga ambao ni less informed kuhusu masuala mbalimbali yanayoendelea ndani ya nchi yao.

kule instagram majority ni millennials, hawa interest yao ni kufatilia page za udaku na ubuyu zimepost nini kuhusu scandal/drama za mastaa wa bongofleva na bongo muvi.

kwa muktadha huo usitegemee kijana wa instagram aandike paragraph tatu au zaidi kuchambua utawala wa jiwe. wengi huishia kuweka picha tu.

well said
 
Walioko ni 10% but majority ni Kama nyumbu hivi. Bongo fb na IG ni udaku kuliko Mambo ya msingi
Wamezaliwa na nani hao nyumbus? Kwa faida ya nani na ya nini? Lakini “never underestimate the power of f**ls”
 
Humu wote twatumia fake identity but majority ya fb na IG huwezi linganisha na humu, fb kubwa huwa kupost mapicha picha, IG huwa ni mwendo wa udaku tu asilimia kubwa tofauti hata na Raia wa nchi nyingine ukisoma page una learn Sana sio huko bongo
We utakuwa great thinker mwenye sura mbaya,wenye sura zao nzuri za kike akina Jokate wamo IG na FB wanatoa madini.
 
We utakuwa great thinker mwenye sura mbaya,wenye sura zao nzuri za kike akina Jokate wamo IG na FB wanatoa madini.
Unaishi kwa ku cremisha jf sio beauty pageant useme sura ndo zinazokuwa great thinker, hafu joketi kwako ka ni mrembo utakuwa na shida umetoka huko usukumani na roli la ng'ombe Basi na akili yako iko king'ombe ng'ombe tu
 
Back
Top Bottom