Kwanini Iran imezipita Ethiopia na Liberia?

Iran wanajitahidi kwa demokrasia uchaguzi mtu anashinda kwa haki kabisa!!
 
Aisee! Mwenye gunduzi zilizofanywa na weusi atuwekee hapa alau na sisi tujipongeze.
Wapo wengi sana na kwa haraka tu watu weusi wamevumbua vitu au bidhaa 50,000 ndio elfu hamsini popote walipo wengi wakiwa watumwa au wafanyabiashara huko 🇺🇸

Kuna alievumbua Traffic light na hata alievunbua refrigerator za malori ni mtu mweusi

Tumo kwenye historia ila tatizo la mtu mweusi anapovumbua kitu haendelezi kama mtu mweupe anakuwa na patent na kuwa na shirika endelevu na kurithishana kama wazungu.

Hapa ni baadhi ya bidhaa tulizovumbua weusi
Ukosoma zote utashangaa sana ila ndio hivyo tena

Wamevumbua na mzungu akaendeleza huko huko kwao ila sio UK wala Germany ni USA.

 
Asante kwa elimu mkuu

Sent from my SM-A536E using JamiiForums mobile app
 
Nashukuru mkuu. Ngoja niangalie google nione kama nitapata cha kusema.
 
Iran wanajitahidi kwa demokrasia uchaguzi mtu anashinda kwa haki kabisa!!
Inasemekana hakuna uhuru wa kujieleza! Kwamba, utawala wake ni wa kidikteta, kwa mujibu wa wakosoaji wake.
 
Iran ina historia ya kuongoza dunia kupitia wafalme wake miaka hiyo na pale ndio iliasisiwa intelligence team ya assasin aka hashashin duniani wote wamecopy na muanzilishi hassan i sabah kizee cha mlimani pale mlima Alamut mountain aka ya mlima "eagle nest" pia kwa sasa wao ni matajiri sana wa mafuta wanayo mengi na pia inawatu mchanganyiko iranian jews ,persian ,arabs ,afghans ,armenia etc ,etc pia tukumbuke ustaarabu wa dunia ulianzia mesopotamia iran ikiwemo.
 
Mkuu, unaweza ukafafanua kidogo maana ya INTELLIGENCE BRANCH YA ASSASIN?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…