bongo dili
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 12,350
- 25,180
Lakini mafuta hayakwepekiKweli na sio kuwa ni ya kwanza bali amevumbua kwa wazo lake lilivyomtuma
Hata ya umeme yalivumbuliwa 1884 lakini waliachana nayo na kutumia mafuta instead
Na leo ndio yanakuja kwa kasi sana mpaka nchi zingine kama 🇬🇧 wamesema mpaka kufikia 2035 hawatakuwa na magari ya mafuta tena na wanamtegemea mchina afyatue haraka ila tatizo wabunge wameanza finisu na kusema kuwa mchina anaweka mitambo ya kunasa vitu na kwa usalama wa hapa sio mzuri na wameomba target yao iongezewe mda kama mataifa mengine
Dunia inaenda kasi sana ila sisi mpaka leo bado mwenge unatumia mafuta ya Taa kwanini tusiingie world record?
Sababu walimuua Haile SelassieNasikia kuna laana fulani walipata hao waethiopia.
Mwenge ni maagizo ya shetani ili kuleta umasikiniSasa watu eti wanakimbiza mwenge hao nao ni watu wa kuwa na akili kweli si watakuwa na akili ya kujitawaza tu.
Tena yataendelea kwa miaka mingi tu mbona ya Taa bado yapo na ndio yalikuwa yanaendesha mitambo zamani ?Lakini mafuta hayakwepeki
Wa Bajaji ya Sola huyu hapaAlikuwa trend hivi karibuni kwa kutengeneza petrol hata Ayo alimuweka kwenye blog yake ila nimeikosa sorry labda kuna wengine watasaidia hili
Yupo na huyo alieibadilisha bajaj na kuwa ya solar powered View attachment 2741258
Haiti ni balaa!Haiti achana nao hao ni mizimu inayotembea
Yaani kila nyumba lazima ukute misanamu
Sokoni bidhaa nyingi na wauzaji wengi sana wanauza bidhaa za ushirikina tu hata magari yao yote wameweka voodoo
Wanaamini uchawi sana kuliko dini
Laana tupu!Hiati kiboko aisee yaani huwaambii kitu kwa uchawi na shirk
Umeona, yaani watabaki masikini maisha yao yoteLaana tupu!
Aisee hebu angalia wanavyohangaika na maisha ya ujimaLaana tupu!
Iondoe Liberia Kwa sababu ni nchi iliyonunuliwa na Wamarekani Kwa AJILI ya watumwaZote, hasa Ethiopia na Iran, ni nchi kongwe. Zimekuwepo tokea kipindi Biblia inaandikwa.
Nchi zote tatu hazikuwahi kutawaliwa na Wazungu.
Lakini Iran imezipita zote kwa mambo mengi.
Kwa ubabe, imo! Inatunishiana misuli na mataifa makubwa kama Israel na Marekani.
Kama ni nguvu ya kiuchumi, imo.
Nguvu ya kijeshi, imo.
Kisayansi, imo. Hivi Sasa ipo katika harakati za kutengeneza mabomu ya nyuklia.
Ingawa inadaiwa kutokuwa na Demokrasia, lakini ni wazi kuwa imepiga hatua kubwa sana kiuchumi na Kisayansi kuzidi Ethiopia na Liberia.
Nini kimewakwamisha ndugu zetu, Ethiopia na Liberia?
Wakizipindua fikra zao watageuka na kuwa watu wengine.Umeona, yaani watabaki masikini maisha yao yote
Point yangu nikuwa wakati mmoja anawaza kulima mwingine huwa anawaza kutengeneza mashine yakuvunia yale mazao ya mtu anayewaza kulima,Sijawahi kuwa na muda wa aina hiyo mkuu! Mara nyingi nimelazimika kuahirisha mambo mengine kwa sababu ya kutokuwa na muda wa kuyafanya.
Labda, muda pekee ambao naweza nikasema nipo huru, ni kipindi nikiwa safarini. Nyakati kama hizo nazitumia kusoma vitabu. Nina kawaida ya kutembea na kitabu bila kujali kama ni safari ndefu au fupi.
Hivi kwa nini walipewa uhuru? Wangeendelea kutawaliwa na Wazungu inawezekana wasingekuwa katika hali mbaya kama waliyo nayo kwa sasa. Wangekuwa na ahueni.Aisee hebu angalia wanavyohangaika na maisha ya ujima
Yaani huo ni utumwa wa kifikra na mwili kabisa
Laana kubwa sana na huwaambii kitu
Hapana sio hiyo, Haile Selassie aliuawa na Mengistu na genge lake na wala sio waethiopia.Sababu walimuua Haile Selassie
Nikujibu kwaufupi:Zote, hasa Ethiopia na Iran, ni nchi kongwe. Zimekuwepo tokea kipindi Biblia inaandikwa.
Nchi zote tatu hazikuwahi kutawaliwa na Wazungu.
Lakini Iran imezipita zote kwa mambo mengi.
Kwa ubabe, imo! Inatunishiana misuli na mataifa makubwa kama Israel na Marekani.
Kama ni nguvu ya kiuchumi, imo.
Nguvu ya kijeshi, imo.
Kisayansi, imo. Hivi Sasa ipo katika harakati za kutengeneza mabomu ya nyuklia.
Ingawa inadaiwa kutokuwa na Demokrasia, lakini ni wazi kuwa imepiga hatua kubwa sana kiuchumi na Kisayansi kuzidi Ethiopia na Liberia.
Nini kimewakwamisha ndugu zetu, Ethiopia na Liberia?
Ipi sahihi: kuilinganisha Iran na Liberia au Ethiopia, amaNikujibu kwaufupi:
Ni sawa kulinganisha nchi tajiri kwa mafuta na gesi-Iran na nchi kama Liberia na Ethkopia?
Unajua asili ya Liberia, kiasi cha eneo na population yake ukilinganusha na Iran?
"Liberia haijakuwa koloni", si bora ukoloni kuliko utumwa?
Unasema Iran Iko katika harakati za kutengeneza mabom ya nyuklia. Hapo unakariri propaganda za Israeli, wala hutawapedeza Iran.
Omboleza hiyo arobaini, bila kukashifu Uafrika wetu, hata Iran hawatafurahia tabia hiyo.
Katika nchi zaidi ya 180 za Dunia umelinganisha Iran na nchi mbili tu - zote 2 toka Afrika. Hapo kuna "bias".Ipi sahihi: kuilinganisha Iran na Liberia au Ethiopia, ama
kuilinganisha South Korea au Singapore na Tanzania? Kumbuka Tanzania ni nchi yenye utajiri mkubwa wa madini, gesi, n.k.
Ni kosa kuisifia Iran kuwa imefikia hatua ya kujaribu kutengeneza bomu la nyuklia? Unafikiri Wairan hawana uwezo huo?
Kuna ubaya wowote kutaka kujua chanzo kilichozikwamisha nchi za Kiafrika?
Kama nitakuwa nimekuelewa, umemaanisha mada husika inakejeli, jambo ambalo si kweli hata kidogo. Mada ililenga kudadisi, na kwa bahati njema, wengi wa waliochangia wametoa mawazo elimishi. Fuatilia uone.
Nimeilinganisha na nchi za Afrika kwa sababu kuu mbili:Katika nchi zaidi ya 180 za Dunia umelinganisha Iran na nchi mbili tu - zote 2 toka Afrika. Hapo kuna "bias".
Kuunda silaha za nyuklia sio maendeleo. Hizo ni silaha za maangamizi ( Weapons of Mass Destruction). Zinapingwa na dunia nzima, kuna Nuclear Non Prolification Treaty.
Je, nikilinganisha kiwango cha weledi kuhusu rushwa cha Iran 25 na Rwanda 51 (kwa msingi 100 ni bora zaidi) nitakuwa nimeitendea haki Iran bila kuchukuwa sampuli kubwa zaidi?
[Data za Transparency International za 2022]