Kwanini Iran imezipita Ethiopia na Liberia?

Kwanini Iran imezipita Ethiopia na Liberia?

Kweli na sio kuwa ni ya kwanza bali amevumbua kwa wazo lake lilivyomtuma
Hata ya umeme yalivumbuliwa 1884 lakini waliachana nayo na kutumia mafuta instead

Na leo ndio yanakuja kwa kasi sana mpaka nchi zingine kama 🇬🇧 wamesema mpaka kufikia 2035 hawatakuwa na magari ya mafuta tena na wanamtegemea mchina afyatue haraka ila tatizo wabunge wameanza finisu na kusema kuwa mchina anaweka mitambo ya kunasa vitu na kwa usalama wa hapa sio mzuri na wameomba target yao iongezewe mda kama mataifa mengine

Dunia inaenda kasi sana ila sisi mpaka leo bado mwenge unatumia mafuta ya Taa kwanini tusiingie world record?
Lakini mafuta hayakwepeki
 
Alikuwa trend hivi karibuni kwa kutengeneza petrol hata Ayo alimuweka kwenye blog yake ila nimeikosa sorry labda kuna wengine watasaidia hili

Yupo na huyo alieibadilisha bajaj na kuwa ya solar powered View attachment 2741258
Wa Bajaji ya Sola huyu hapa
 
Attachments

  • MTANZANIA_WAKWANZA_KUTENGENEZA_BAJAJI_YA_KUTUMIA_NISHATI_YA_JUA__SOLA___JOEL_MWAKYOKOLA_(360p).mp4
    8.9 MB
Haiti achana nao hao ni mizimu inayotembea
Yaani kila nyumba lazima ukute misanamu
Sokoni bidhaa nyingi na wauzaji wengi sana wanauza bidhaa za ushirikina tu hata magari yao yote wameweka voodoo
Wanaamini uchawi sana kuliko dini
Haiti ni balaa!
 
Attachments

  • Annual_voodoo_festival_at_the_Saut_d'Eau_waterfalls(144p).mp4
    4 MB
  • Voodoo_Market_in_Port-au-Prince,_Haiti_🇭🇹(144p).mp4
    29.1 MB

Attachments

  • Annual_voodoo_festival_at_the_Saut_d'Eau_waterfalls(144p).mp4
    4 MB
  • Voodoo_Market_in_Port-au-Prince,_Haiti_🇭🇹(144p).mp4
    29.1 MB
  • Inside_Haiti_s_Voodoo_Ceremonies___Developing_News(144p).mp4
    7.2 MB
  • Haitian_Voodoo___National_Geographic(144p).mp4
    7.7 MB
Zote, hasa Ethiopia na Iran, ni nchi kongwe. Zimekuwepo tokea kipindi Biblia inaandikwa.

Nchi zote tatu hazikuwahi kutawaliwa na Wazungu.

Lakini Iran imezipita zote kwa mambo mengi.

Kwa ubabe, imo! Inatunishiana misuli na mataifa makubwa kama Israel na Marekani.

Kama ni nguvu ya kiuchumi, imo.
Nguvu ya kijeshi, imo.

Kisayansi, imo. Hivi Sasa ipo katika harakati za kutengeneza mabomu ya nyuklia.

Ingawa inadaiwa kutokuwa na Demokrasia, lakini ni wazi kuwa imepiga hatua kubwa sana kiuchumi na Kisayansi kuzidi Ethiopia na Liberia.

Nini kimewakwamisha ndugu zetu, Ethiopia na Liberia?
Iondoe Liberia Kwa sababu ni nchi iliyonunuliwa na Wamarekani Kwa AJILI ya watumwa
 
Sijawahi kuwa na muda wa aina hiyo mkuu! Mara nyingi nimelazimika kuahirisha mambo mengine kwa sababu ya kutokuwa na muda wa kuyafanya.

Labda, muda pekee ambao naweza nikasema nipo huru, ni kipindi nikiwa safarini. Nyakati kama hizo nazitumia kusoma vitabu. Nina kawaida ya kutembea na kitabu bila kujali kama ni safari ndefu au fupi.
Point yangu nikuwa wakati mmoja anawaza kulima mwingine huwa anawaza kutengeneza mashine yakuvunia yale mazao ya mtu anayewaza kulima,
 
Aisee hebu angalia wanavyohangaika na maisha ya ujima
Yaani huo ni utumwa wa kifikra na mwili kabisa
Laana kubwa sana na huwaambii kitu
Hivi kwa nini walipewa uhuru? Wangeendelea kutawaliwa na Wazungu inawezekana wasingekuwa katika hali mbaya kama waliyo nayo kwa sasa. Wangekuwa na ahueni.
 
Iran ni Persians, wako vizuri sana tatizo uzombi wa kidini ndio uliwakwamisha, IQ zao ziko vizuri sana sio kama Waarabu na Waafrika.
 
Zote, hasa Ethiopia na Iran, ni nchi kongwe. Zimekuwepo tokea kipindi Biblia inaandikwa.

Nchi zote tatu hazikuwahi kutawaliwa na Wazungu.

Lakini Iran imezipita zote kwa mambo mengi.

Kwa ubabe, imo! Inatunishiana misuli na mataifa makubwa kama Israel na Marekani.

Kama ni nguvu ya kiuchumi, imo.
Nguvu ya kijeshi, imo.

Kisayansi, imo. Hivi Sasa ipo katika harakati za kutengeneza mabomu ya nyuklia.

Ingawa inadaiwa kutokuwa na Demokrasia, lakini ni wazi kuwa imepiga hatua kubwa sana kiuchumi na Kisayansi kuzidi Ethiopia na Liberia.

Nini kimewakwamisha ndugu zetu, Ethiopia na Liberia?
Nikujibu kwaufupi:
Ni sawa kulinganisha nchi tajiri kwa mafuta na gesi-Iran na nchi kama Liberia na Ethkopia?
Unajua asili ya Liberia, kiasi cha eneo na population yake ukilinganusha na Iran?
"Liberia haijakuwa koloni", si bora ukoloni kuliko utumwa?
Unasema Iran Iko katika harakati za kutengeneza mabom ya nyuklia. Hapo unakariri propaganda za Israeli, wala hutawapedeza Iran.
Omboleza hiyo arobaini, bila kukashifu Uafrika wetu, hata Iran hawatafurahia tabia hiyo.
 
Ipi sahihi: kuilinganisha Iran na Liberia au Ethiopia, ama
kuilinganisha South Korea au Singapore na Tanzania? Kumbuka Tanzania ni nchi yenye utajiri mkubwa wa madini, gesi, n.k.

Ni kosa kuisifia Iran kuwa imefikia hatua ya kujaribu kutengeneza bomu la nyuklia? Unafikiri Wairan hawana uwezo huo?

Kuna ubaya wowote kutaka kujua chanzo kilichozikwamisha nchi za Kiafrika?

Kama nitakuwa nimekuelewa, umemaanisha mada husika inakejeli, jambo ambalo si kweli hata kidogo. Mada ililenga kudadisi, na kwa bahati njema, wengi wa waliochangia wametoa mawazo elimishi. Fuatilia uone.
 
Katika nchi zaidi ya 180 za Dunia umelinganisha Iran na nchi mbili tu - zote 2 toka Afrika. Hapo kuna "bias".
Kuunda silaha za nyuklia sio maendeleo. Hizo ni silaha za maangamizi ( Weapons of Mass Destruction). Zinapingwa na dunia nzima, kuna Nuclear Non Prolification Treaty.
Je, nikilinganisha kiwango cha weledi kuhusu rushwa cha Iran 25 na Rwanda 51 (kwa msingi 100 ni bora zaidi) nitakuwa nimeitendea haki Iran bila kuchukuwa sampuli kubwa zaidi?
[Data za Transparency International za 2022]
 
Nimeilinganisha na nchi za Afrika kwa sababu kuu mbili:

Ya kwanza, inawezekana tatizo lililozikwamisha hizo nchi ndilo lililozikwamisha na nchi yetu ya Tanzania. Chanzo cha tatizo kikifahamika huweza kuwa hatua ya kuelekea kwenye ufumbuzi.

Pili, ni kwa sababu sikubaliani na tulichofundishwa tulipokuwa Sekondari kuwa sababu mojawapo ya umaskini barani Afrika ni ukoloni. Kama tatizo lilikuwa ukoloni, Ethiopia na Liberia zisingepaswa kuwa tajiri kwa sababu hazikutawaliwa.
 
Back
Top Bottom