Kwanini Iran na Wafuasi wa Iran, Palestine Duniani kote Wanamuogopa Sana Netanyahu?

Brother Depo

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2026
Posts
593
Reaction score
797
Nimefanya utafiti wa kina nimegundua Iran, Wafuasi wa Iran, Palestine na wote wenye mrengo huo Wanamuogopa Sana Netanyahu.

Mbona namuona mtu wa kawaida sana? Hiyo hofu yenu na kumuogopa inatokea wapi?

Huwa nasomaga page za huko Twitter, Instagram ikiwekwa habari ya Netanyahu utaoma wenye mrengo huo wakisonya na kutukana, wengine walitoa vilio.

Bibi kwa navyomuelewa Hana shida na nyie, yeye shida yake ni viongozi na Makamanda wa vikundi au nchi ambazo ni hasimu. Hapo huwa hana utani, anakutanguliza jehanamu haraka sana.

Netanyahu huwa haongei mara mbili mbili, akikuweka kwenye list basi huchukui muda unaenda jehanamu. Uliza kilichowakuta Khamenei, Larijani, Nasrallah, Haniyeh, Sinwar n.k. Hawa wote aliwashindilia mabomu. Lakini kama hujihusishi na uhalifu dhidi ya Israel, basi Netanyahu ni Rafiki mzuri sana

Ritz
Adiosamigo
THE BIG SHOW
Echolima1
100 others
zitto junior
mdogoee
hip hop uchwara
Mwalimu wa tuisheni
Imeloa
6 Pack
Khanji kapoor
gallow bird
hearly
HIMARS
dem boyz
Screenshot_20260701-213626~2.png
 
Keshaapa kuwamaliza

Kwa ufupi ndo Waziri wa Israel ambaye siku zote kaonesha kupambana na magaidi
Leo nimecheka sana media ya sheikh kishk inaripoti Iran imeshambulia Israel🤣🤣🤣🤣
Kama hili Wanaweza kuongopeana sijui wanaongopeana mangapi
Screenshot_20260702-000108.png
 
Keshaapa kuwamaliza

Kwa ufupi ndo Waziri wa Israel ambaye siku zote kaonesha kupambana na magaidi
Magaidi? Mbona aliwasaidia Al Qaeda chini ya Ahmed Al Sharaa kuchukua urais wa Syria??

Huwa nacheka sana napoona watu mnanadhani US au Israel inapambana na magaidi wakati ndio wafadhili wakubwa.
 
Nje ya mada, unazungumziaje hili suala la media ya sheikh kishk kuandika uongo kama huu?
Screenshot_20260702-000108.png
 
Nimefanya utafiti wa kina nimegundua Iran, Wafuasi wa Iran, Palestine na wote wenye mrengo huo Wanamuogopa Sana Netanyahu.
Wanamuogopa kwa lipi? Bibi si anaondoka oktoba maana chama chake kimeshaporomoka. Sasa Iran itaendelea kuwepo miaka na miaka huyo Netanyahu anapita tu.

Mnachekesha sana, Iran will outlive Bibi and Trump so sioni cha kuwaogopa. Otherwise wasingekua na jeuri kurusha makombora Tel Aviv
 
Nje ya mada, unazungumziaje hili suala la media ya sheikh kishk kuandika uongo kama huu?
View attachment 3620238
Online kuna fake news nyingi tu ndio maana source za taarifa huwa tunatumia mainstream media pekee sio screenshot za insta au twitter.

Alafu kwanini kila mada ya Iran na Israel basi inakua ni sheikh sijui kobazi kwani nani kasema wanaopinga Israel wote ni waislam?

Mimi sio muislam mbona mada zangu zimejaa JF intelligence about Bible? Kuwa mkristo sio kigezo cha kutoona ujinga wa wayahudi
 
Wanamuogopa kwa lipi? Bibi si anaondoka oktoba maana chama chake kimeshaporomoka. Sasa Iran itaendelea kuwepo miaka na miaka huyo Netanyahu anapita tu.

Mnachekesha sana, Iran will outlive Bibi and Trump so sioni cha kuwaogopa. Otherwise wasingekua na jeuri kurusha makombora Tel Aviv
Haya maneno ya kuwapumbaza ndio yamefanya Hadi Leo hii mzee wetu khamenei kashindiliwa mabomu. Huyu Ayatollah wa sasa ni mjanja sana, hata kuonekana hadharani hataki maana anajua Netanyahu huwa hatanii🤣🤣
 
Online kuna fake news nyingi tu ndio maana source za taarifa huwa tunatumia mainstream media pekee sio screenshot za insta au twitter.

Alafu kwanini kila mada ya Iran na Israel basi inakua ni sheikh sijui kobazi kwani nani kasema wanaopinga Israel wote ni waislam?

Mimi sio muislam mbona mada zangu zimejaa JF intelligence about Bible? Kuwa mkristo sio kigezo cha kutoona ujinga wa wayahudi
Sheikh kishk ni sheikh mkubwa anayeaminika na umma. Sasa kama media inaweza kuongopa jambo kama hilo lililowazi vipi kwa mengine?
 
Jana Netanyahu alikua Lebanon, hao Iran wako wapi? Hadi leo ayatollah mpya anaogopa hata kuonekana kwa wenzake huko Iran, hata kumzika baba yake hatokuwepo
Marekani akikaa kando, huyo Israel atachakazwa vibaya mno, nadhani hata wewe unalifahamu hilo.
 
Kuna yule olikua mkuu wa usalama anaitwa larijani, alikua na mikwara sana kule Twitter, kumbe Netanyahu anamlia timing TU. Mwisho wa siku akamshindilia mabomu🤣
Larijani mbona alijitokeza hadharani, na siku anauwawa alikua wazi kwenye mkutano wa hadhara so alijua kabisa ataonekana na atauwawa.

Hiv unadhani kuna watu wanaogopa kifo? Otherwise usingewahi sikia mtu anajilipua kwa kujitoa mhanga uarabuni
 
Haya maneno ya kuwapumbaza ndio yamefanya Hadi Leo hii mzee wetu khamenei kashindiliwa mabomu. Huyu Ayatollah wa sasa ni mjanja sana, hata kuonekana hadharani hataki maana anajua Netanyahu huwa hatanii🤣🤣
Sasa kumuua Khamenei na leo mwanaye ni Ayatollah mmefanya nini sasa? Mlisema mnataka kuondoa utawala wa Ayatollah na pia kuchukua enriched uranium. Hayo mmefeli ila mmebaki kuji console na kifo cha mzee wa miaka 86 as if kifo chake kimebadili chochote!!
 
Mkuu, acha kujibizana na walokole maana unawapotezea muda wao wa kuimba pambio na kusifu 🙏.
 
Back
Top Bottom