zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 24,661
- 40,890
Jihad ipi hiyo? Hata hujui unachoongea.Kumuua ayatollah si lolote? Mbona walitangaza jihad Dunia nzima?
Jihad ipi hiyo? Hata hujui unachoongea.Kumuua ayatollah si lolote? Mbona walitangaza jihad Dunia nzima?
Kama ukiua adui Yako mkubwa wengine haiwezi shindikana ni huruma TU ya Netanyahu ndio inaanya hao wengine unawaona Hadi sasa. NitakuelezaKama hakuna mbona mmeshindwa kuondoa serikali? Nchi ina watu million 100 kwamba ukiua viongozi 20 ndio iporomoke? Watu mnaota ndoto za mchana eeh Iran sio Iraq au Afghanistan.
Kwa hiyo Aliuwawa hiyo siku? Surveillance drone zinamuona vipi au unataka kusema Iran hawana mifumo ya ulinzi judetect drone za kichunguzi?Punguzu ujuaji mbona thread nilipandisha siku ya maandamano ambayo larijani na Pezeshkian walihudhuria? Kwani hakujua surveillance planes na drones hazimuoni? Iran hawana uoga
![]()
Rais wa Iran akitembea huru na kuhudhuria maandamano makubwa huko Tehran leo 13/03/2026
Kumekuwepo na propaganda nyingi sana Jamii forums 1. Serikali ya Iran haipendwi 2. Viongozi wamejificha kwa kuogopa USA. 3. Hakuna air defense wala chochote cha kulinda nchi dhidi ya mashambulizi. 4. Uongozi sio tu umeparaganyika bali haupo kabisa na wachache waliobaki wamekimbia nchi au...www.jamiiforums.ke
Anauguza majeraha ya bomu? 🤣🤣🤣🤣Mbona Pezeshkian alisema Ayatollah yupo Qom na alikua anauguza majeraha ya bomu iliyomuua baba yake!! In fact alisema alimfanyia operation yeye mwenyewe.
Aogope nini sasa? Kwani si hata akifa anachaguliwa mwingine au shida iko wapi
Nazani kati ya Commando kiongozi aliyebaki dunian ambaye Hana utani ni NETANYAHU... nawaambiaga waislamu mnaweza kututukana wa akristo lakini wayahudi hawataki zarau na dhihaka wapo haraka sana kujibu mwisho wa yote UNAWEZA KUGUNDUA MUNGU WA UKWELI YUPO WAPINimefanya utafiti wa kina nimegundua Iran, Wafuasi wa Iran, Palestine na wote wenye mrengo huo Wanamuogopa Sana Netanyahu.
Mbona namuona mtu wa kawaida sana? Hiyo hofu yenu na kumuogopa inatokea wapi?
Huwa nasomaga page za huko Twitter, Instagram ikiwekwa habari ya Netanyahu utaoma wenye mrengo huo wakisonya na kutukana, wengine walitoa vilio.
Bibi kwa navyomuelewa Hana shida na nyie, yeye shida yake ni viongozi na Makamanda wa vikundi au nchi ambazo ni hasimu. Hapo huwa hana utani, anakutanguliza jehanamu haraka sana.
Netanyahu huwa haongei mara mbili mbili, akikuweka kwenye list basi huchukui muda unaenda jehanamu. Uliza kilichowakuta Khamenei, Larijani, Nasrallah, Haniyeh, Sinwar n.k. Hawa wote aliwashindilia mabomu. Lakini kama hujihusishi na uhalifu dhidi ya Israel, basi Netanyahu ni Rafiki mzuri sana
Ritz
Adiosamigo
THE BIG SHOW
Echolima1
100 others
zitto junior
mdogoee
hip hop uchwara
Mwalimu wa tuisheni
Imeloa
6 Pack
Khanji kapoor
gallow bird
hearly
HIMARS
dem boyz
View attachment 3620155
Huelewi maana ya jihad? Walisema watatangaxa jihad, wakatangaza lakini bado wakala kipondo🤣Jihad ipi hiyo? Hata hujui unachoongea.
Netanyahu huwa anaongea mara Moja TU🤣Nazani kati ya Commando kiongozi aliyebaki dunian ambaye Hana utani ni NETANYAHU... nawaambiaga waislamu mnaweza kututukana wa akristo lakini wayahudi hawataki zarau na dhihaka wapo haraka sana kujibu mwisho wa yote UNAWEZA KUGUNDUA MUNGU WA UKWELI YUPO WAPI
Je lengo la Israel na shosto yake Marekani kuivamia Iran ilikuwa kuua tu viongozi?Huko Iran si waliua Ayatollah na viongozi wengine kibao ndani ya muda mfupi TU siku ya kwanza. Au ushasahau?
Hilo Mbona walishasema kabisa, walitoa na list. Huyo khamenei alionywa toka mwaka Jana kuwa awe na adabu la sivyo watammaliza kwa aibu. Akahisi utani, mwaka huu wakamvamia wakambamiza na kumshindilia mabomu 20 ya tomahawk 🤣Je lengo la Israel na shosto yake Marekani kuivamia Iran ilikuwa kuua tu viongozi?
Nimefanya utafiti wa kina nimegundua Iran, Wafuasi wa Iran, Palestine na wote wenye mrengo huo Wanamuogopa Sana Netanyahu.
Mbona namuona mtu wa kawaida sana? Hiyo hofu yenu na kumuogopa inatokea wapi?
Huwa nasomaga page za huko Twitter, Instagram ikiwekwa habari ya Netanyahu utaoma wenye mrengo huo wakisonya na kutukana, wengine walitoa vilio.
Bibi kwa navyomuelewa Hana shida na nyie, yeye shida yake ni viongozi na Makamanda wa vikundi au nchi ambazo ni hasimu. Hapo huwa hana utani, anakutanguliza jehanamu haraka sana.
Netanyahu huwa haongei mara mbili mbili, akikuweka kwenye list basi huchukui muda unaenda jehanamu. Uliza kilichowakuta Khamenei, Larijani, Nasrallah, Haniyeh, Sinwar n.k. Hawa wote aliwashindilia mabomu. Lakini kama hujihusishi na uhalifu dhidi ya Israel, basi Netanyahu ni Rafiki mzuri sana
Ritz
Adiosamigo
THE BIG SHOW
Echolima1
100 others
zitto junior
mdogoee
hip hop uchwara
Mwalimu wa tuisheni
Imeloa
6 Pack
Khanji kapoor
gallow bird
hearly
HIMARS
dem boyz
View attachment 3620155
Lengo hasa la USA na shosti yake Israel kuichokoza Iran ni lipi?Hilo Mbona walishasema kabisa, walitoa na list. Huyo khamenei alionywa toka mwaka Jana kuwa awe na adabu la sivyo watammaliza kwa aibu. Akahisi utani, mwaka huu wakamvamia wakambamiza na kumshindilia mabomu 20 ya tomahawk 🤣
Iran walivyo wajinga walisema akiuliwa watatangaza jihad Dunia nzima. Mbona hakuna cha jihad wala lolote🤣🤣
View attachment 3620602
Kwani malengo ya vita ni kumuua Ayatollah au kuondosha utawala wa IRGC? kwahiyo kama Rais Trump angeuwawa kwenye kampeni ina maana Marekani ilikua dhaifu au ingeweza pinduliwa muda wowote? Hivi unajua waziri mkuu wa Israel Yitzak Rabin aliuwawa kwa kupigwa risasi 1995, je ina maana Israel ilikua dhaifu?Kama ukiua adui Yako mkubwa wengine haiwezi shindikana ni huruma TU ya Netanyahu ndio inaanya hao wengine unawaona Hadi sasa. Nitakueleza
Ile vita ya siku 12 Israel walisema Wana uwezo wa kumuua ayatollah muda wowote maana wanajua Kila hatua anayopiga, anapolala na anapojificha ila wanampa second chance. Mkabweka kuwa hawana uwezo huo na wakitaka wajaribu kumuua waone jihad itavyotangazwa....
Waisrael mwaka huu wakamuua, hakuna lolote ambalo limefanywa. Sasa wametoa second chance kwa Hawa walipo sasa, suburi maana wanarudi Tena mara ya 3 humo Iran, utaona vichwa watavyopita navyo🤣🤣
Ayatollah mpya bado anatibiwa, kuja hadharani ukiwa bado hujapona ni risky.Kwa hiyo Aliuwawa hiyo siku? Surveillance drone zinamuona vipi au unataka kusema Iran hawana mifumo ya ulinzi judetect drone za kichunguzi?
Hawana uoga? Mbona Hadi Leo ayatollah mpya anaogopa kujitokeza hadharani, kajichimbia mashimoni huko hata kwenda kumzika baba yake anaogopa🤣🤣
Ndio anauguza majeraha hata Mossad na CIA zime confirm hajafa ila yupo na majeraha machache na walisema yupo Qom wala hakuna siri ya alipoAnauguza majeraha ya bomu? 🤣🤣🤣🤣
Wewe na pezeshkian ni macomedian?
Wasijichanganye kivupi wakati Iran walisema wataishambulia Israel endapo Israel itashambulia Lebanon na Gaza, Mbona Iran Wameufyata?Uwanja wenu kwasasa Walokole mjidai na mipasho ya kila namna!! Muhimu tu Israel isijichanganye tn kwa Iranian
Lengo ni kumbamiza bamiza TU kwa kadri wanavyotaka, ndio maana pamoja na kuwepo mazungumzo lakini majuzi marekani kaingia tena kuishambulia IranLengo hasa la USA na shosti yake Israel kuichokoza Iran ni lipi?
Kama Wanaweza kuua viongozi wa juu ambao Wana ulinzi wa kutosha basi hakuna wanavhoweza kushinda.Kwani malengo ya vita ni kumuua Ayatollah au kuondosha utawala wa IRGC? kwahiyo kama Rais Trump angeuwawa kwenye kampeni ina maana Marekani ilikua dhaifu au ingeweza pinduliwa muda wowote? Hivi unajua waziri mkuu wa Israel Yitzak Rabin aliuwawa kwa kupigwa risasi 1995, je ina maana Israel ilikua dhaifu?
Nuclear mmeshindwa ichukua na ilikua moja ya lengo. Kama ni wanaume si washuke ardhini wafuate nuclear materials
Anatibiwa vipi Tena? Si huwa mnatuambia anatoaga maelekezo na kusimamia nchi, haya hizo negotiation yeye ndio anaamuaAyatollah mpya bado anatibiwa, kuja hadharani ukiwa bado hujapona ni risky.
Kuhusu larijani siku nimepost hiyo thread, asubuhi iliyofuata aliuwawa maana yake alijua tu akijitokeza atauwawa na alichagua hiyo njia maana alipinga mazungumzo kabisa.
Kuhusu kudetect ndege na drones. mifumo ipo sana tu ndio maana ndege za kutosha za US zilidondoshwa mfululizo.
Anatibiwa vipi tena wakati waziri wa mambo ya nje wa Iran mheshimiwa Abbas Aragchi alisema yupo fit na afya njema, Mbona nyie wairan wa kisarawe mnatuchanganya?Ndio anauguza majeraha hata Mossad na CIA zime confirm hajafa ila yupo na majeraha machache na walisema yupo Qom wala hakuna siri ya alipo
Hamna shida, ngoja Iran iwadinye mashoga wawili; Israel na USA 😎.Lengo ni kumbamiza bamiza TU kwa kadri wanavyotaka, ndio maana pamoja na kuwepo mazungumzo lakini majuzi marekani kaingia tena kuishambulia Iran
Leo nimemsikia waziri wa ulinzi wa Israel anasema ayatollah mpya yupo kwenye list ya wanaotakiwa kwenda jehanamu haraka 🤣🤣