Kwanini Iran na Wafuasi wa Iran, Palestine Duniani kote Wanamuogopa Sana Netanyahu?

Kwanini Iran na Wafuasi wa Iran, Palestine Duniani kote Wanamuogopa Sana Netanyahu?

Sasa kumuua Khamenei na leo mwanaye ni Ayatollah mmefanya nini sasa? Mlisema mnataka kuondoa utawala wa Ayatollah na pia kuchukua enriched uranium. Hayo mmefeli ila mmebaki kuji console na kifo cha mzee wa miaka 86 as if kifo chake kimebadili chochote!!
Kumuua ayatollah si lolote? Mbona walitangaza jihad Dunia nzima?
 
Nimefanya utafiti wa kina nimegundua Iran, Wafuasi wa Iran, Palestine na wote wenye mrengo huo Wanamuogopa Sana Netanyahu.

Mbona namuona mtu wa kawaida sana? Hiyo hofu yenu na kumuogopa inatokea wapi?

Huwa nasomaga page za huko Twitter, Instagram ikiwekwa habari ya Netanyahu utaoma wenye mrengo huo wakisonya na kutukana, wengine walitoa vilio.

Bibi kwa navyomuelewa Hana shida na nyie, yeye shida yake ni viongozi na Makamanda wa vikundi au nchi ambazo ni hasimu. Hapo huwa hana utani, anakutanguliza jehanamu haraka sana.

Netanyahu huwa haongei mara mbili mbili, akikuweka kwenye list basi huchukui muda unaenda jehanamu. Uliza kilichowakuta Khamenei, Larijani, Nasrallah, Haniyeh, Sinwar n.k. Hawa wote aliwashindilia mabomu. Lakini kama hujihusishi na uhalifu dhidi ya Israel, basi Netanyahu ni Rafiki mzuri sana

Ritz
Adiosamigo
THE BIG SHOW
Echolima1
100 others
zitto junior
mdogoee
hip hop uchwara
Mwalimu wa tuisheni
Imeloa
6 Pack
Khanji kapoor
gallow bird
hearly
HIMARS
dem boyz
View attachment 3620155

Hili Jamaa ni Jasusi, Commando, Ninja, Sterling n.k linatisha. Ni lijitu msitu. Limeshasomewa sana Albadili na Qurujuan bila mafanikio. Linachakaza , linapiga, linafirimba jamii hizo ulizotaja bila kulainishia. Ni kavu bila mate wala mafuta
 
Larijani mbona alijitokeza hadharani, na siku anauwawa alikua wazi kwenye mkutano wa hadhara so alijua kabisa ataonekana na atauwawa.

Hiv unadhani kuna watu wanaogopa kifo? Otherwise usingewahi sikia mtu anajilipua kwa kujitoa mhanga uarabuni
Aliuwawa akiwa wazi kwenye mkutano wa hadhara? Hii umeitoa kishk media? Mtu kauwawa alfajiri akiwa safe house, wewe unasema alikua hadharani🤣

Kama hawaogopi kufa Mbona Hadi Leo ayatollah mpya kashindwa hata kuonekana hadharani kwa wenzake, hata msiba wa baba yake hatokuwepo, eti kisa sababu za kiusalama. Sasa sababu za kiusalama za nini kama haogopi kufa?
 
Hili Jamaa ni Jasusi, Commando, Ninja, Sterling n.k linatisha. Ni lijitu msitu. Limeshasomewa sana Albadili na Qurujuan bila mafanikio. Linachakaza , linapiga, linafirimba jamii hizo ulizotaja bila kulainishia. Ni kavu bila mate wala mafuta
Wanamuogopa Sana, Kila akitajwa lazima watoe vilio🤣
 
Bila marekani Israel isingekuwepo. Ingeshakuwa vumbi. Huyo Netanyahu anajitutumua tu Kwa sababu uchaguzi umekaribia.
Haya maneno Yako ya jeuri hivi alikua nayo mkuu wa usalama wa Iran alikua anaitwa larijani, unajua yupo wapi kwa sasa? 🤣🤣
 
Haya maneno Yako ya jeuri hivi alikua nayo mkuu wa usalama wa Iran alikua anaitwa larijani, unajua yupo wapi kwa sasa? 🤣🤣
Mwisho wa siku kinachoangaliwa si mtu mmoja mmoja, bali Taifa kwa ujumla. Ni fahari kufa ukilonda nchi yako.

Larijani, Kasim Suleiman nk wameuawa, lakini Iran bado iko imara na inaendea kuwadinya maadui zake bila wasi.
 
Nimefanya utafiti wa kina nimegundua Iran, Wafuasi wa Iran, Palestine na wote wenye mrengo huo Wanamuogopa Sana Netanyahu.

Mbona namuona mtu wa kawaida sana? Hiyo hofu yenu na kumuogopa inatokea wapi?

Huwa nasomaga page za huko Twitter, Instagram ikiwekwa habari ya Netanyahu utaoma wenye mrengo huo wakisonya na kutukana, wengine walitoa vilio.

Bibi kwa navyomuelewa Hana shida na nyie, yeye shida yake ni viongozi na Makamanda wa vikundi au nchi ambazo ni hasimu. Hapo huwa hana utani, anakutanguliza jehanamu haraka sana.

Netanyahu huwa haongei mara mbili mbili, akikuweka kwenye list basi huchukui muda unaenda jehanamu. Uliza kilichowakuta Khamenei, Larijani, Nasrallah, Haniyeh, Sinwar n.k. Hawa wote aliwashindilia mabomu. Lakini kama hujihusishi na uhalifu dhidi ya Israel, basi Netanyahu ni Rafiki mzuri sana

Ritz
Adiosamigo
THE BIG SHOW
Echolima1
100 others
zitto junior
mdogoee
hip hop uchwara
Mwalimu wa tuisheni
Imeloa
6 Pack
Khanji kapoor
gallow bird
hearly
HIMARS
dem boyz
View attachment 3620155
Siku CCM ijichanganye iue Muisrael
 
Online kuna fake news nyingi tu ndio maana source za taarifa huwa tunatumia mainstream media pekee sio screenshot za insta au twitter.

Alafu kwanini kila mada ya Iran na Israel basi inakua ni sheikh sijui kobazi kwani nani kasema wanaopinga Israel wote ni waislam?

Mimi sio muislam mbona mada zangu zimejaa JF intelligence about Bible? Kuwa mkristo sio kigezo cha kutoona ujinga wa wayahudi
The fact kwamba we ni mkristo lakini unashindwa kuona ni namna gani uislam ni threat kubwa sana kwa watu wote ulimwenguni ,wakiwemo waislamu wenyewe; inadhirisha ni kiasi gani una akili ndogo sana na upeo mdogo wa kuchambua mambo. Bahati nzuri uliyonayo ni hujaishi kwenye Nchi zinazofuata uislam kama ulivyoandikwa kwenye quran,na infact nadhani ni Afghanistan peke yake ndo inafata pure islam katika nchi zote za dunia,nchi nyingine zinazodai kufuata sharia zina sugar coat tu ,hata wao wameushindwa
 
Mwisho wa siku kinachoangaliwa si mtu mmoja mmoja, bali Taifa kwa ujumla. Ni fahari kufa ukilonda nchi yako.

Larijani, Kasim Suleiman nk wameuawa, lakini Iran bado iko imara na inaendea kuwadinya maadui zake bila wasi.
Taifa hujengwa na viongozi imara. Kama viongozi imara wanapukutishwa kama kumbikumbi basi hakuna taifa hapo ni suala la muda
 
Taifa hujengwa na viongozi imara. Kama viongozi imara wanapukutishwa kama kumbikumbi basi hakuna taifa hapo ni suala la muda
Kama Iran siyo Taifa lisiloimara kwa nini linawapiga threesome Marekani na shoga yake Israel?

Mbona kule Venezuela mambo yalikuwa chap?

Itoshe tu kusema Iran inawafumua tu marinda maadui zake.
 
Kama Iran siyo Taifa lisiloimara kwa nini linawapiga threesome Marekani na shoga yake Israel?

Mbona kule Venezuela mambo yalikuwa chap?

Itoshe tu kusema Iran inawafumua tu marinda maadui zake.
Huko Iran si waliua Ayatollah na viongozi wengine kibao ndani ya muda mfupi TU siku ya kwanza. Au ushasahau?
 
inadhirisha ni kiasi gani una akili ndogo sana na upeo mdogo wa kuchambua mambo
Una akili ndogo wewe unayedhani threat ya Islam itamalizwa kwa vita na mabomu bila kujua hao wakimbizi wa vita in fact ndio wanaenda ulaya ambako ndio ukristo umeshajifia kwa sasa. Ulaya tu mamilion ya wasyria wameingia huko na wanazaana si mchezo, same to wakimbizi wa Palestine wamejaa huko Sweden, UK, France n.k kwahiyo vita inachangia sana kuongeza population ya waarabu ulaya.

Ukristo USA na ulaya umepotea kabisa, wanaoenda kanisani ni below 30%, wengi hawana dini kwahiyo threat kwa ukristo ni atheists na pagans na ndio hao wanalazimisha ushoga, utoaji mimba, usawa uliopitiliza, kupinga tohara ya kiume n.k hao ndio threat kwa ukristo na humanity ila nyie mko busy na waislam na waarabu. Hao wamarekani mnadhani ndio wazuri?? Mnajua magonjwa mangapi wametuletea?

Aisee wake up bro upo brainwashed sana
 
quran,na infact nadhani ni Afghanistan peke yake ndo inafata pure islam
Na ambacho hujui sasa hiyo serikali ya Taleban inafadhiliwa na USA. Na haikuanza leo imefadhiliwa tokea operation cyclone ya 1970s na mpaka leo US inapeleka dollar physically kupitia ndege za UN ili kuisaidia serikali ya Taleban wanaotekeleza sharia hizo unazoziona mbaya.

Sasa threat hapo ni Afghanistan au ni hao US walioanzisha na wanaoendelea kufadhili magaidi wa Taleban?

The U.S. is the largest international donor to Afghanistan, having provided about $2.6 billion in funding to the UN, other international organizations (PIOs), and nongovernmental organizations (NGOs) operating in Afghanistan since August 2021,” said the SIGAR report.

Soma zaidi
 
Taifa hujengwa na viongozi imara. Kama viongozi imara wanapukutishwa kama kumbikumbi basi hakuna taifa hapo ni suala la muda
Kama hakuna mbona mmeshindwa kuondoa serikali? Nchi ina watu million 100 kwamba ukiua viongozi 20 ndio iporomoke? Watu mnaota ndoto za mchana eeh Iran sio Iraq au Afghanistan.
 
Aliuwawa akiwa wazi kwenye mkutano wa hadhara? Hii umeitoa kishk media? Mtu kauwawa alfajiri akiwa safe house, wewe unasema alikua hadharani🤣

Kama hawaogopi kufa Mbona Hadi Leo ayatollah mpya kashindwa hata kuonekana hadharani kwa wenzake, hata msiba wa baba yake hatokuwepo, eti kisa sababu za kiusalama. Sasa sababu za kiusalama za nini kama haogopi kufa?
Punguzu ujuaji mbona thread nilipandisha siku ya maandamano ambayo larijani na Pezeshkian walihudhuria? Kwani hakujua surveillance planes na drones hazimuoni? Iran hawana uoga
 
Kama hawaogopi kufa Mbona Hadi Leo ayatollah mpya kashindwa hata kuonekana hadharani kwa wenzake, hata msiba wa baba yake hatokuwepo, eti kisa sababu za kiusalama. Sasa sababu za kiusalama za nini kama haogopi kufa?
Mbona Pezeshkian alisema Ayatollah yupo Qom na alikua anauguza majeraha ya bomu iliyomuua baba yake!! In fact alisema alimfanyia operation yeye mwenyewe.

Aogope nini sasa? Kwani si hata akifa anachaguliwa mwingine au shida iko wapi
 
Back
Top Bottom