Brother Depo
JF-Expert Member
- Feb 26, 2026
- 593
- 797
Jana Netanyahu alikua Lebanon, hao Iran wako wapi? Hadi leo ayatollah mpya anaogopa hata kuonekana kwa wenzake huko Iran, hata kumzika baba yake hatokuwepoYeye ndiye anawaogopa Iran, ndiyo maana kila muda anaharara tu. Safari za chooni ni kila sekunde.
Leo nimecheka sana media ya sheikh kishk inaripoti Iran imeshambulia Israel🤣🤣🤣🤣Keshaapa kuwamaliza
Kwa ufupi ndo Waziri wa Israel ambaye siku zote kaonesha kupambana na magaidi
Magaidi? Mbona aliwasaidia Al Qaeda chini ya Ahmed Al Sharaa kuchukua urais wa Syria??Keshaapa kuwamaliza
Kwa ufupi ndo Waziri wa Israel ambaye siku zote kaonesha kupambana na magaidi
Nje ya mada, unazungumziaje hili suala la media ya sheikh kishk kuandika uongo kama huu?Magaidi? Mbona aliwasaidia Al Qaeda chini ya Ahmed Al Sharaa kuchukua urais wa Syria??
Huwa nacheka sana napoona watu mnanadhani US au Israel inapambana na magaidi wakati ndio wafadhili wakubwa.
Neta hana muda wa kucheka na kima yeyoteKwa Nini Iran na Wafuasi wa Iran, Palestine Duniani kote Wanamuogopa Sana Netanyahu??
Wanamuogopa kwa lipi? Bibi si anaondoka oktoba maana chama chake kimeshaporomoka. Sasa Iran itaendelea kuwepo miaka na miaka huyo Netanyahu anapita tu.Nimefanya utafiti wa kina nimegundua Iran, Wafuasi wa Iran, Palestine na wote wenye mrengo huo Wanamuogopa Sana Netanyahu.
Kuna yule olikua mkuu wa usalama anaitwa larijani, alikua na mikwara sana kule Twitter, kumbe Netanyahu anamlia timing TU. Mwisho wa siku akamshindilia mabomu🤣Neta hana muda wa kucheka na kima
Online kuna fake news nyingi tu ndio maana source za taarifa huwa tunatumia mainstream media pekee sio screenshot za insta au twitter.Nje ya mada, unazungumziaje hili suala la media ya sheikh kishk kuandika uongo kama huu?
View attachment 3620238
Haya maneno ya kuwapumbaza ndio yamefanya Hadi Leo hii mzee wetu khamenei kashindiliwa mabomu. Huyu Ayatollah wa sasa ni mjanja sana, hata kuonekana hadharani hataki maana anajua Netanyahu huwa hatanii🤣🤣Wanamuogopa kwa lipi? Bibi si anaondoka oktoba maana chama chake kimeshaporomoka. Sasa Iran itaendelea kuwepo miaka na miaka huyo Netanyahu anapita tu.
Mnachekesha sana, Iran will outlive Bibi and Trump so sioni cha kuwaogopa. Otherwise wasingekua na jeuri kurusha makombora Tel Aviv
Sheikh kishk ni sheikh mkubwa anayeaminika na umma. Sasa kama media inaweza kuongopa jambo kama hilo lililowazi vipi kwa mengine?Online kuna fake news nyingi tu ndio maana source za taarifa huwa tunatumia mainstream media pekee sio screenshot za insta au twitter.
Alafu kwanini kila mada ya Iran na Israel basi inakua ni sheikh sijui kobazi kwani nani kasema wanaopinga Israel wote ni waislam?
Mimi sio muislam mbona mada zangu zimejaa JF intelligence about Bible? Kuwa mkristo sio kigezo cha kutoona ujinga wa wayahudi
Marekani akikaa kando, huyo Israel atachakazwa vibaya mno, nadhani hata wewe unalifahamu hilo.Jana Netanyahu alikua Lebanon, hao Iran wako wapi? Hadi leo ayatollah mpya anaogopa hata kuonekana kwa wenzake huko Iran, hata kumzika baba yake hatokuwepo
Larijani mbona alijitokeza hadharani, na siku anauwawa alikua wazi kwenye mkutano wa hadhara so alijua kabisa ataonekana na atauwawa.Kuna yule olikua mkuu wa usalama anaitwa larijani, alikua na mikwara sana kule Twitter, kumbe Netanyahu anamlia timing TU. Mwisho wa siku akamshindilia mabomu🤣
Sasa hayo ya Kishki nayajulia wapi? Kwani mimi ni mke wake? Si ukawaulize wahusika.Sheikh kishk ni sheikh mkubwa anayeaminika na umma. Sasa kama media inaweza kuongopa jambo kama hilo lililowazi vipi kwa mengine?
Sasa kumuua Khamenei na leo mwanaye ni Ayatollah mmefanya nini sasa? Mlisema mnataka kuondoa utawala wa Ayatollah na pia kuchukua enriched uranium. Hayo mmefeli ila mmebaki kuji console na kifo cha mzee wa miaka 86 as if kifo chake kimebadili chochote!!Haya maneno ya kuwapumbaza ndio yamefanya Hadi Leo hii mzee wetu khamenei kashindiliwa mabomu. Huyu Ayatollah wa sasa ni mjanja sana, hata kuonekana hadharani hataki maana anajua Netanyahu huwa hatanii🤣🤣
Dah,Hadi leo ayatollah mpya anaogopa hata kuonekana kwa wenzake huko Iran, hata kumzika baba yake hatokuwepo
Mkuu, acha kujibizana na walokole maana unawapotezea muda wao wa kuimba pambio na kusifu 🙏.Sasa kumuua Khamenei na leo mwanaye ni Ayatollah mmefanya nini sasa? Mlisema mnataka kuondoa utawala wa Ayatollah na pia kuchukua enriched uranium. Hayo mmefeli ila mmebaki kuji console na kifo cha mzee wa miaka 86 as if kifo chake kimebadili chochote!!