Kwanini Iran na Wafuasi wa Iran, Palestine Duniani kote Wanamuogopa Sana Netanyahu?

Kama hakuna mbona mmeshindwa kuondoa serikali? Nchi ina watu million 100 kwamba ukiua viongozi 20 ndio iporomoke? Watu mnaota ndoto za mchana eeh Iran sio Iraq au Afghanistan.
Kama ukiua adui Yako mkubwa wengine haiwezi shindikana ni huruma TU ya Netanyahu ndio inaanya hao wengine unawaona Hadi sasa. Nitakueleza

Ile vita ya siku 12 Israel walisema Wana uwezo wa kumuua ayatollah muda wowote maana wanajua Kila hatua anayopiga, anapolala na anapojificha ila wanampa second chance. Mkabweka kuwa hawana uwezo huo na wakitaka wajaribu kumuua waone jihad itavyotangazwa....

Waisrael mwaka huu wakamuua, hakuna lolote ambalo limefanywa. Sasa wametoa second chance kwa Hawa walipo sasa, suburi maana wanarudi Tena mara ya 3 humo Iran, utaona vichwa watavyopita navyo🤣🤣
 
Kwa hiyo Aliuwawa hiyo siku? Surveillance drone zinamuona vipi au unataka kusema Iran hawana mifumo ya ulinzi judetect drone za kichunguzi?

Hawana uoga? Mbona Hadi Leo ayatollah mpya anaogopa kujitokeza hadharani, kajichimbia mashimoni huko hata kwenda kumzika baba yake anaogopa🤣🤣
 
Mbona Pezeshkian alisema Ayatollah yupo Qom na alikua anauguza majeraha ya bomu iliyomuua baba yake!! In fact alisema alimfanyia operation yeye mwenyewe.

Aogope nini sasa? Kwani si hata akifa anachaguliwa mwingine au shida iko wapi
Anauguza majeraha ya bomu? 🤣🤣🤣🤣

Wewe na pezeshkian ni macomedian?
 
Nazani kati ya Commando kiongozi aliyebaki dunian ambaye Hana utani ni NETANYAHU... nawaambiaga waislamu mnaweza kututukana wa akristo lakini wayahudi hawataki zarau na dhihaka wapo haraka sana kujibu mwisho wa yote UNAWEZA KUGUNDUA MUNGU WA UKWELI YUPO WAPI
 
Netanyahu huwa anaongea mara Moja TU🤣

Alimuambia ayatollah Khamenei kuwa anajua Hadi shuka anayolalia, alimwambia mkono wa Israel unafika popote ndani ya Iran. Walimpa second chance ajirekebishe ila yeye akaleta Dharau, mwisho wakamshindilia mabomu 20 ya tomahawk 🤣🤣
 
Je lengo la Israel na shosto yake Marekani kuivamia Iran ilikuwa kuua tu viongozi?
Hilo Mbona walishasema kabisa, walitoa na list. Huyo khamenei alionywa toka mwaka Jana kuwa awe na adabu la sivyo watammaliza kwa aibu. Akahisi utani, mwaka huu wakamvamia wakambamiza na kumshindilia mabomu 20 ya tomahawk 🤣

Iran walivyo wajinga walisema akiuliwa watatangaza jihad Dunia nzima. Mbona hakuna cha jihad wala lolote🤣🤣
 

Uwanja wenu kwasasa Walokole mjidai na mipasho ya kila namna!! Muhimu tu Israel isijichanganye tn kwa Iranian
 
Lengo hasa la USA na shosti yake Israel kuichokoza Iran ni lipi?
 
Kwani malengo ya vita ni kumuua Ayatollah au kuondosha utawala wa IRGC? kwahiyo kama Rais Trump angeuwawa kwenye kampeni ina maana Marekani ilikua dhaifu au ingeweza pinduliwa muda wowote? Hivi unajua waziri mkuu wa Israel Yitzak Rabin aliuwawa kwa kupigwa risasi 1995, je ina maana Israel ilikua dhaifu?

Nuclear mmeshindwa ichukua na ilikua moja ya lengo. Kama ni wanaume si washuke ardhini wafuate nuclear materials
 
Ayatollah mpya bado anatibiwa, kuja hadharani ukiwa bado hujapona ni risky.

Kuhusu larijani siku nimepost hiyo thread, asubuhi iliyofuata aliuwawa maana yake alijua tu akijitokeza atauwawa na alichagua hiyo njia maana alipinga mazungumzo kabisa.

Kuhusu kudetect ndege na drones. mifumo ipo sana tu ndio maana ndege za kutosha za US zilidondoshwa mfululizo.
 
Anauguza majeraha ya bomu? 🤣🤣🤣🤣

Wewe na pezeshkian ni macomedian?
Ndio anauguza majeraha hata Mossad na CIA zime confirm hajafa ila yupo na majeraha machache na walisema yupo Qom wala hakuna siri ya alipo
 
Uwanja wenu kwasasa Walokole mjidai na mipasho ya kila namna!! Muhimu tu Israel isijichanganye tn kwa Iranian
Wasijichanganye kivupi wakati Iran walisema wataishambulia Israel endapo Israel itashambulia Lebanon na Gaza, Mbona Iran Wameufyata?

Ayatollah mpya kashindwa kumzika baba yake sababu ya hofu ya usalama🤣🤣

Netanyahu huwa hatanii, shauri zenu atawamaliza wote
 
Lengo hasa la USA na shosti yake Israel kuichokoza Iran ni lipi?
Lengo ni kumbamiza bamiza TU kwa kadri wanavyotaka, ndio maana pamoja na kuwepo mazungumzo lakini majuzi marekani kaingia tena kuishambulia Iran

Leo nimemsikia waziri wa ulinzi wa Israel anasema ayatollah mpya yupo kwenye list ya wanaotakiwa kwenda jehanamu haraka 🤣🤣
 
Kama Wanaweza kuua viongozi wa juu ambao Wana ulinzi wa kutosha basi hakuna wanavhoweza kushinda.

Iran wao hawana intelijensia?
 
Anatibiwa vipi Tena? Si huwa mnatuambia anatoaga maelekezo na kusimamia nchi, haya hizo negotiation yeye ndio anaamua

Larijani kauliwa akiwa kwenye safe house, hakupenda kuuliwa ndio maana aliishi safe house. Sema Iran nao wachovu sana, safe house alafu sio safe🤣

Wameangusha ndege za kutosha? Hiki ni kichekesho, ndege imeanguka Moja alafu hata kumpata TU huyo rubani ndani ya nchi yenu mmeshindwa🤣🤣
 
Ndio anauguza majeraha hata Mossad na CIA zime confirm hajafa ila yupo na majeraha machache na walisema yupo Qom wala hakuna siri ya alipo
Anatibiwa vipi tena wakati waziri wa mambo ya nje wa Iran mheshimiwa Abbas Aragchi alisema yupo fit na afya njema, Mbona nyie wairan wa kisarawe mnatuchanganya?
 
Hamna shida, ngoja Iran iwadinye mashoga wawili; Israel na USA 😎.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…