Kuna Siri gani na neno "bird" ...maana naziona nyingi humu jamviniMwanamalundi unamjua!?
Duh, The redemeer unamsahihisha Yesu aliyesema hivi:Miujiza ufanywa na mtu yeyeto aliyepewa karama za miujiza haijalishi anaeamini au la
Unamaanisha yule mzururaji na mcheza ngoma ambaye tukio la kifo chake liliitwa "hang'witulo gwa shigela."??Mwanamalundi unamjua!?
Una uhakika gani mwana malundi hakufanya miujiza kwa uwezo wa Mungu?.. alitembea juu ya maji,alikausha miti mibichi kuwa kuni,alifukua majabali kwa mkono...Unamaanisha yule mzururaji na mcheza ngoma ambaye tukio la kifo chake liliitwa "hang'witulo gwa shigela."??
Kama ni huyo basi wewe gallow bird hujui hata kutamka jina lake: Tamka hivi: "Ngw'anamalundi" 😎
Huyo alikuwa anatumiwa tu na shetani kutenda miujiza feki. Shetani ana uwezo wa kuiga, kudanganya, na kuonyesha ishara za ajabu ili kuwapotosha watu wasimwamini Mungu wa kweli.
Kumbuka wale waganga wa Misri walijaribu kufanya miujiza kama ya Musa(Kutoka 7:10–12). Hata wachawi wa leo wanafanya miujiza ya kipepo pepo. Muulize Mshana Jr kabla hajaokoka alikuwa akifanya nini.
Miujiza ninayoizungumzia katika mada hii ni miujiza inayotokana na uweza wa Mungu.
Hahahahahaha una uhakika gani Ng'wanamalundi hamuombi Mungu wake??Unamaanisha yule mzururaji na mcheza ngoma ambaye tukio la kifo chake liliitwa "hang'witulo gwa shigela."??
Kama ni huyo basi wewe gallow bird hujui hata kutamka jina lake: Tamka hivi: "Ngw'anamalundi" 😎
Huyo alikuwa anatumiwa tu na shetani kutenda miujiza feki. Shetani ana uwezo wa kuiga, kudanganya, na kuonyesha ishara za ajabu ili kuwapotosha watu wasimwamini Mungu wa kweli.
Kumbuka wale waganga wa Misri walijaribu kufanya miujiza kama ya Musa(Kutoka 7:10–12). Hata wachawi wa leo wanafanya miujiza ya kipepo pepo. Muulize Mshana Jr kabla hajaokoka alikuwa akifanya nini.
Miujiza ninayoizungumzia katika mada hii ni miujiza inayotokana na uweza wa Mungu.
Wanaosimulia habari zake wanasema ujuzi wake wa kucheza ngoma aliupata kwa bibi mganga wa kienyeji. Hivyo ni wazi hata miujiza yote aliyoifanya ni ya kichawi.Una uhakika gani mwana malundi hakufanya miujiza kwa uwezo wa Mungu?.. alitembea juu ya maji,alikausha miti mibichi kuwa kuni,alifukua majabali kwa mkono...
Kwa hiyo umesikia tu!?.. unajua tofauti ya uganga na uchawi?Wanaosimulia habari zake wanasema ujuzi wake wa kucheza ngoma aliupata kwa bibi mganga wa kienyeji. Hivyo ni wazi hata miujiza yote aliyoifanya ni ya kichawi.
Hata wewe umesikia tu, maana sidhani kama ulikuwepo mwaka 1936 alipofariki.Kwa hiyo umesikia tu!?.. unajua tofauti ya uganga na uchawi?
Hata Yesu hakuponya watu wote kila mahali alipoenda.Hayo mnayoyafanya ni maigizo ya wazi.
Kama kweli mnaweza kuponya mbona hospitali zina wagonjwa wanateseka kila siku - hamuwaoni? Umewahi kutembelea MOI au KCMC wewe?