Kwanini ishara, maajabu na miujiza mikubwa inafanywa na watu wanaoiamini Biblia tu?

Mazingaombwe ni nini? Kwanini unataka kushindana na neno la Mungu? Unataka muujiza uone wewe ndio upate kusimulia anza kwa kuamini tu maana hata mtumishi gani akimuombea mwenye uhitaji huku anawaka moto kama hana imani hii ni kazi bure! pia nikufafanulie uepukane na hii dhambi unayojiamini nayo…na asante kwa hii hoja ya kuhoji kwa nini wahubiri wa leo hawafanyi miujiza kama kurudisha kiungo kilichokatwa ni hoja ya kupotosha imani ya watu kwa kutumia mantiki za kibinadamu kumjaribu Mungu. Tunaweza kuitetea imani kwa kutumia maandiko…

1. Mungu Hajaribiwi
Mathayo 4:7 "Yesu akamwambia, Imeandikwa tena, Usimjaribu Bwana Mungu wako.”
Yesu mwenyewe alikataa kumjaribu Mungu hata alipokuwa na uwezo wa kufanya miujiza. Hii inatufundisha kuwa miujiza si kitu cha kuamuliwa na wanadamu kwa kupenda bali hufanyika kwa mapenzi ya Mungu.

2. Miujiza Sio kwa Show au Kujionyesha
Luka 11:16 “Wengine wakamjaribu, wakitaka ishara itokayo mbinguni.”
Lakini Yesu hakuwapa. Hii inaonyesha kuwa Yesu hakufanya miujiza kwa kushinikizwa au kwa lengo la kuwafurahisha watu waliokuwa na mashaka.. kwahiyo ni wewe kuchagua either uache mashaka umfuate Mungu kwa kutafute kweli, ila kwa hizi kejeli na dhihaka utasugua hapo..

3. Miujiza Hufanyika kwa Imani na Mapenzi ya Mungu
Marko 6:5-6 “Wala kutaka kushuhudia ili ukose la kusema hakuweza kufanya muujiza wowote huko, isipokuwa aliweka mikono yake juu ya wagonjwa wachache akawaponya. Akastaajabu kwa sababu ya kutokuamini kwao.”
Miujiza hutegemea imani na mapenzi ya Mungu, si kila mahali au kila mtu anastahili kuona muujiza.

4. Lengo la Miujiza ni Kumtukuza Mungu, Siyo Kutosheleza Mashaka ya Watu..
Yohana 20:30-31 “Basi kuna ishara nyingine nyingi alizozifanya Yesu mbele ya wanafunzi wake, zisizoandikwa katika kitabu hiki; lakini hizi zimeandikwa ili mpate kuamini...”
Miujiza ni kwa ajili ya kuthibitisha ujumbe wa Mungu, si kwa kushindana au kudhihirisha uwezo kwa masharti ya watu..

Kupinga miujiza kwa msingi wa "mbona hawarudishi mikono au miguu" ni kujaribu kumwekea Mungu masharti kama vile ni mwigizaji wa maajabu..Mungu hafanyi kazi kwa presha ya mashaka ya watu. Anajifunua kwa aliowachagua na kwa wakati anaotaka.
Waebrania 11:6 “Lakini pasipo imani haiwezekani kumpendeza Mungu...”

Hoja hiyo si hoja ya utafutaji wa kweli, bali ni ya kujaribu.. sasa endelea kumjaribu Bwana Mungu wako kijana mjuaji!
Umeandika mengi lakini hoja inabaki palepale. Is God restricted? Kusema usimjaribu bwana Mungu wako basi hata hayo nagonjwa mengine kuyaombea yapone ni kumjaribu Mungu? Where is your logic? Kuhoji kwa nini amputees hawaponywi ndio kumjaribu Mungu?
 
Ni hivi boss, anayeponya ni Mungu na si watu okay?? Kwa hiyo hizo mamlaka za kuponya wagonjwa zimeachiliwa na Mungu tu, na muda wa uponyaji ni Mungu hushusha hiyo neema, sio tu wanatembea nayo kama suruali wanaponya wanapojisikia au wanapo kuwa challenged! Mungu si wa namna hiyo! God is not restricted! Ana ruhusu tu mambo yatendeke ndio maana kuna watu wanapitia magumu sana na kuna watu hawapitii hayo, kuna watu wazima tu na hawamchi na na waishi maisha ya kifahari, na kuna watu maskini wanasali sana na bado wanalala njaa,magonjwa n.k
Sasa ukitaka kila unalowaza wewe litokee nahisi wote tungekuwa viburi sahizi hakuna shida ata moja na Mungu tungemuacha!

Kila jambo unaloliona hapa duniani lina kusudi kutokea! Mungu akitaka mtu amtumikie anaweza kumpitisha popote pale! Unaweza ata kuoa mtu usiemtaka, unaweza kuishi maisha ya chini kabisa, unaweza kupelekwa sehemu kabisa, ili Mungu ajitukuze kwenye maisha yako! Ndio maana wengi huogopa kuokoka kwa sababu kuna stage inaitwa kutengenezwa, hapa unaweza kutolewa mali zako zote na kuanza upya ni ngumu ili ukilishinda hili jaribu huwezi kutikiswa na yanayokuja kirahisi,

mantiki yangu ni nini? Ni kwamba ata hao wasio na miguu sjui mikono, huenda wako katika vipindi kama hivi Mungu hana mipaka ya kuponya, lakini kila jambo hufanyika kwa kusudi na wakati wake. Miujiza sio maonyesho ya nguvu bali ni sehemu ya mpango wa Mungu. Si kila mtu ataponywa kama tunavyotaka, lakini Mungu hujua kwanini ameruhusu hali hiyo. Si kila ulemavu ni laana wengine ni njia ya Mungu kujitukuza..

Ukihitaji na mstari ukasome Yohana 9:1-3
Yesu alipoulizwa kwanini mtu alizaliwa kipofu, akajibu;
"Wala huyu hakufanya dhambi, wala wazazi wake, bali kazi za Mungu zidhihirike kwake.”

Hii inaonyesha kuwa si kila ugonjwa au ulemavu ni kwa sababu ya dhambi au laana
ni kwa kusudi la Mungu.

Maswali yote tunayojiuliza, tusubiri mwisho tutamuuliza majibu anayo yeye, hakuna Mungu-mtu hapa duniani ambaye alienda mbinguni akarudi na majibu.. soma biblia uielewe utii basi, mengine hayakusaidii wala hayakuongezei kitu zaidi ya kuwa mjuaji na kutafuta viwanja vya mabishano tu, na hakuna kitu utagain!
 
Nani mwenye experience ya afterlife? Tuongee maisha haya tunayoyaishi tuachane na political propaganda za Warumi katika jitihada zao za kuwafanya watu kuwa watii kwa watawala kutumia imani inayosema the best will come after you die! Huyu Mungu anayeponya wagonjwa wa kisukari, ukimwi ....etc hana huruma kwa amputees?? Maana hakuna amputee yeyote amepata kuponywa. Mmebaki na miujiza ya kuponywa uvimbe, kansa, ukimwi. ...., basi. Usikimbie ukweli, face the truth.
 
Sikukimbii na najibu kutoka na ninavyojua, ningekuwa prophet hakika ningekuwa na majibu ya maswali yako! Na ukilazimisha kusikia unachotaka kukisikia itakuwa ngumu bro..
 
Ni hivi boss, anayeponya ni Mungu na si watu okay?? Kwa hiyo hizo mamlaka za kuponya wagonjwa zimeachiliwa na Mungu tu, na muda wa uponyaji ni Mungu hushusha hiyo neema, sio tu wanatembea nayo kama suruali wanaponya wanapojisikia au wanapo kuwa challenged! Mungu si wa namna hiyo! God is not restricted! Ana ruhusu tu mambo yatendeke ndio maana kuna watu wanapitia magumu sana na kuna watu hawapitii hayo, kuna watu wazima tu na hawamchi na na waishi maisha ya kifahari, na kuna watu maskini wanasali sana na bado wanalala njaa,magonjwa n.k
Sasa ukitaka kila unalowaza wewe litokee nahisi wote tungekuwa viburi sahizi hakuna shida ata moja na Mungu tungemuacha!

Kila jambo unaloliona hapa duniani lina kusudi kutokea! Mungu akitaka mtu amtumikie anaweza kumpitisha popote pale! Unaweza ata kuoa mtu usiemtaka, unaweza kuishi maisha ya chini kabisa, unaweza kupelekwa sehemu kabisa, ili Mungu ajitukuze kwenye maisha yako! Ndio maana wengi huogopa kuokoka kwa sababu kuna stage inaitwa kutengenezwa, hapa unaweza kutolewa mali zako zote na kuanza upya ni ngumu ili ukilishinda hili jaribu huwezi kutikiswa na yanayokuja kirahisi,

mantiki yangu ni nini? Ni kwamba ata hao wasio na miguu sjui mikono, huenda wako katika vipindi kama hivi Mungu hana mipaka ya kuponya, lakini kila jambo hufanyika kwa kusudi na wakati wake. Miujiza sio maonyesho ya nguvu bali ni sehemu ya mpango wa Mungu. Si kila mtu ataponywa kama tunavyotaka, lakini Mungu hujua kwanini ameruhusu hali hiyo. Si kila ulemavu ni laana wengine ni njia ya Mungu kujitukuza..

Ukihitaji na mstari ukasome Yohana 9:1-3
Yesu alipoulizwa kwanini mtu alizaliwa kipofu, akajibu;
"Wala huyu hakufanya dhambi, wala wazazi wake, bali kazi za Mungu zidhihirike kwake.”

Hii inaonyesha kuwa si kila ugonjwa au ulemavu ni kwa sababu ya dhambi au laana
ni kwa kusudi la Mungu.

Maswali yote tunayojiuliza, tusubiri mwisho tutamuuliza majibu anayo yeye, hakuna Mungu-mtu hapa duniani ambaye alienda mbinguni akarudi na majibu.. soma biblia uielewe utii basi, mengine hayakusaidii wala hayakuongezei kitu zaidi ya kuwa mjuaji na kutafuta viwanja vya mabishano tu, na hakuna kitu utagain!
Umesema vema kwa kiasi fulani. Sasa inakuwaje mtu anatoa matangazo watu waende kushuhudia miujiza as if hiyo nguvu au mamlaka anayo mfukoni mwake? Nasema hiyo ni miujiza feki. Wawaponye amputees ubishi uishe. I will side with them. I promise!
 
Sawa, Mungu akutetee ukamilishe hitaji lako! Huenda ukakutana na mtumishi unaemtaka wewe!
 
Mimi siyo amputee. Nimesema hicho kiwe kipimo cha ukweli wa miujiza. Mambo ya uvimbe na kansa yanatumiwa na matapeli kutangaza miujiza ya uongo. Matapeli wa imani nimewapa mtihani kama nabii Eliya alivyowapa manabii wa Baali. Wote wamekimbia . Wamebaki kujitetea kwa majibu na hoja za kijinga tu. Ponyeni amputees tumalize ubishi!
 
Hahah! Ubishi hauwezi kuisha mkuu ata nini kifanyike! We endelea kusubiri nabii atakaye kutoa huko, hata mi nikishuhudia ntakutumia ushuhuda!
 
Hakuna. Hapo wamekwama. Karne zote imeshindikana. Kuna simulizi moja tu ya wakatoliki ya amputee aliyeponywa nayo credibility yake ni finyu. Hawa wanamazingaombwe wa kikristo hawatatenda muujiza huo. Watabaki na mazingaombwe yao hayo hayo tu wala si miujiza inayotoka kwa Mungu. Eti unasema ubishi hautaisha hata iweje? Seriously? Amputee apone halafu ubishi ubaki?? You are not serious!!
 
Sawa Sawa
 
Umesema vema kwa kiasi fulani. Sasa inakuwaje mtu anatoa matangazo watu waende kushuhudia miujiza as if hiyo nguvu au mamlaka anayo mfukoni mwake? Nasema hiyo ni miujiza feki. Wawaponye amputees ubishi uishe. I will side with them. I promise!
Wakitoa matangazo watu waende kushuhudia miujiza, huwa wanaongea tu kwa imani.
Ebr 11:1-3
Basi imani ni kuwa na hakika ya mambo yatarajiwayo, ni bayana ya mambo yasiyoonekana.
 
Siyo imani, ni kupumbaza akili za watu. Ukifika huko unahubiriwa habari za utoaji kwa asilimia 90. Tangazo linasema hakuna kiingilio lakini ukifika huko ndio utajua kumbe kuna kiingilio. Mahubiri ya kipumbavu yanayolenga kuwajenga watu kisaikollojia wampe mhubiri pesa zao. Then watakuja na mazingaombwe yao ya kutoa mapepo na kuponya uvimbe. Imani yetu ya kikristo imevamiwa na matapeli. Inasikitisha sana. Watu wetu nao sijui akili wamezifukia wapi!
 
Back
Top Bottom