Angalia hapa jinsi imani ilivyo muhimu ili watu wapate miujizaImani si tiketi ya miujiza, ni uhusiano na Mungu,hata Tomas aliona kabla ya kuamini, lakini bado Yesu alimfunulia. Karama si malipo ya imani, ni mapenzi ya Mungu.
Dini zimeingia Afrika mwaka gani? , na je watu wa zamani walikuwa wakimtukuza Mwenyezi Mungu kwa njia ipi?Hata wewe umesikia tu, maana sidhani kama ulikuwepo mwaka 1936 alipofariki.
Najua tofauti ya uganga na uchawi ila nafikiri tukianza kuelezana maana ya maneno hayo ya Kiswahili tutakuwa tumetoka nje ya lengo la mada. Au sio gallow bird?
Ulidai mtu hawezi kuwa na karama pasipo kuamini, nikakukosoa kwa kukwambia kuwa karama ni mapenzi ya Mwenyezi Mungu mwenyewe juu ya mtu fulani.Angalia hapa jinsi imani ilivyo muhimu ili watu wapate miujiza
Mt 13:58
Wala hakufanya miujiza mingi huko, kwa sababu ya kutokuamini kwao.
Sihangaiki mimi kutafuta Friji la mtumbaUnahangaika sana
Izi unazoandika ni ngonjera tu na hadithi.. Furahia maishaSihangaiki mimi kutafuta Friji la mtumba
Nautafuta kwanza ufalme wa Mungu, na haki yake; na hayo yote ntazidishiwa(Mathayo 6:33)
Notorious_Marcc unasoma Biblia ya wapi?Ulidai mtu hawezi kuwa na karama pasipo kuamini, nikakukosoa kwa kukwambia kuwa karama ni mapenzi ya Mwenyezi Mungu mwenyewe juu ya mtu fulani.
Ndiyo maana hata Petro kuna muda alianguka kiimani lakini bado kivuli chake kiliendelea kutenda miujiza (kuponya) , yote ni kwasababu alikuwa na karama ya Mungu(mapenzi ya Mungu).
Hahaa. Mungu anakupenda Friji la mtumba . Tubu dhambi zako uokoke. Ya kesho huyajui. Sikutishi lakini huendaIzi unazoandika ni ngonjera tu na hadithi.. Furahia maisha
Sizitaki mbichi hizo 😎Kila mtu anaweza kutenda miujiza. Ila tunafanya kwa kujua na kutokujua. Ni suala la kuamua tu; Wengine wafanye miujiza wengine waende bar wakalewe.
Hujajibu swali una uhakika gani Ng'wanamalundi alikua hamuombi MunguMimi sio Mkongwee kama wewe, ila habari nilizo nazo ni kwamba Ng'wanamalundi alifariki mwaka 1936 katika mazingira ya kichawi. Hakuwa anamuomba Mungu. Au kuna Ng'wanamalundi mwingine?
Hospitalini hakuna mgonjwa anayeigiza, wale wote ni serious sick people, Ile siyo sehemu ya maigizo ndiyo maana wachungaji wenu waigizaji hawawezi kusogea.Hata Yesu hakuponya watu wote kila mahali alipoenda.
Mt 13:58
Wala hakufanya miujiza mingi huko, kwa sababu ya kutokuamini kwao.
Wewe Ibn Unuq unafikiri watu wote MOI na KCMC wanamwamini Yesu? Hujui kuwa huko nako kuna Atheists wasiotaka hata kuombewa?
Karama hii apewayo mtu inaweza kuibiwa na mtu mwingine kwa njia za giza???Duh, The redemeer unamsahihisha Yesu aliyesema hivi:
Mk 16:17
"Na ishara hizi zitafuatana na hao waaminio; kwa jina langu watatoa pepo; watasema kwa lugha mpya."
Unapewaje karama ya miujiza kama huamini?
Asante sana Marcy kwa swali lakoKarama hii apewayo mtu inaweza kuibiwa na mtu mwingine kwa njia za giza???
Sawa mkuu kwa ufafanuzi.Usisahau kuna kifo cha kimwili na kiroho, my friend Percival
Waliokufa kiroho ni wengi na wanafufuliwa almost daily kote duniani. Na huo ndio ufufuo muhimu zaidi kuliko wa kimwili. Maana hata ukifufuliwa kimwili utakufa tena tu. Lakini ukifufuliwa kiroho hata ukifa utaendelea kuishi.
Yn 11:25-26
Yesu akamwambia, Mimi ndimi huo ufufuo, na uzima. Yeye aniaminiye mimi, ajapokufa, atakuwa anaishi; naye kila aishiye na kuniamini hatakufa kabisa hata milele. Je! Unayasadiki hayo?
Hata Yesu hakuponya viwete wote wa Israeli. Ili mtu apate uponyaji sharti kwanza aamini. Usifikiri viwete wote wanamwamini Yesu au wanaamini kwamba wanaweza kupona kwa Jina la Yesu.sikia wew nenda mtaa wa lumumba pale kuna viwete wa kutosha hebu kawaponeshe tuone