Paschal qamara
JF-Expert Member
- Aug 17, 2022
- 2,218
- 3,958
Kwani urusi ni waislamu mbona wamekewa vikwazo kwa kuanzisha vita vya kichokoziKwa sababu wanaoshambuliwa ni waislam. Siku wakishambuliwa wakiristo watawawekea vikwazo
Kamchokoza wapi?Hata Ukrain kaichokoza Urusi. Sema Palestina ni waislam
Nani magaidi ?
Ukraine kaichokozaje Urusi hata hakurusha jiwe urusi acha unafiki na uwongoHata Ukrain kaichokoza Urusi. Sema Palestina ni waislam
Wewe jamaa unasumbuliwa na mizuka ya kidiniMuulize Putin atakwambia vizuri
Mbona anapigwa?Ukraine kaichokozaje Urusi hata hakurusha jiwe urusi acha unafiki na uwongo
Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
Same reasons Marekani haiwekewi vikwazo wakati wenyewe ndio mashetani no 1.
Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app
Ukraine kaichokozaje Urusi hata hakurusha jiwe urusi acha unafiki na uwongo
Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
Urusi kuna waislam kama Palestine?Kwa sababu wanaoshambuliwa ni waislam. Siku wakishambuliwa wakiristo watawawekea vikwazo
Wewe unafikiri siku Russia akianza kubondwa na Ukraine, viongozi wa Ukraine watawekewa vikwazo?Kwanini nchi ya Israel na viongozi wake hawawekewi vikwazo kama ambavyo Russia amekewa kwa sababu ya Ukraine?
hujui chochote kaa kimyaUkraine kaichokozaje Urusi hata hakurusha jiwe urusi acha unafiki na uwongo
Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
Israel kashambuliwaKwanini nchi ya Israel na viongozi wake hawawekewi vikwazo kama ambavyo Russia amekewa kwa sababu ya Ukraine?
🤣🤣🤣🤣 duhhadi porn industry
Russia ilipora Crimea kama ambavyo Israel imepora westbank au Jerusalem. Cha ajabu Wapalestina wakipambana kuirudisha wanaitwa magaidi ila Ukraine ikipambana kuirudisha Crimea wanaitwa wazalendo huku Russia ikiwekewa vikwazo.Ukraine kaichokozaje Urusi hata hakurusha jiwe urusi acha unafiki na uwongo
Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
Nchi za magharibi ndiyo zinacontrol Israel,ni project yao,hebu fanya Israel isingekuwepo pale, mashariki ya kati ingekuaje!?Wayahudi wana control nchi zote za magharibi kisera. Wana control media, banks,academia hadi porn industry. Hii inamaanisha wao ni untouchable ☺️☺️,unyama wanafanya huku wanaimba wimbo wa antisemitism.
Kung'ang'ania ardhi ya mababu wa wayahudi waliporudi kwenye nchi yao ya asiliWewe niambie uchokozi wa Palestine toka 1948 ni upi ?
Hapajawahi kuwa na taifa linaloitwa Palestine?ila Ukraine ilikuwepoRussia ilipora Crimea kama ambavyo Israel imepora westbank au Jerusalem. Cha ajabu Wapalestina wakipambana kuirudisha wanaitwa magaidi ila Ukraine ikipambana kuirudisha Crimea wanaitwa wazalendo huku Russia ikiwekewa vikwazo.
Huu undumilakuwili ni kwa faida ya nani
Mababu wa wayahudi ndio wapi hao ?Kung'ang'ania ardhi ya mababu wa wayahudi waliporudi kwenye nchi yao ya asili
Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
Jerusalem na Judea and samariaMababu wa wayahudi ndio wapi hao ?
Hao ndio mababu wa Wayahudi ?