Kwanini Israel haiwekewi vikwazo kama Urusi?

jibu kwa hoja , usituletee udikteta wa kipumbav , kama huna hoja kaa kimya , humu sio kwenu kwamba tukisikilize ww wkt huandika hoja zako
wakati watu wanatoa tunajadili kuhusu urusi kuivamia ukrein ulikua wap we mpumbavu
saiv ndo unajifanya kutafuta nini chanzo!
baki na wehu wako
 
aandamane kuunga mkono utekaj wa watz wenzetu ? hv sisi watu weusi tumelogwa ?
Tunawapenda Wapalestina na waisraeli kuliko wamasai wa loliondo, Wasudani kusini, wacongo wanao uawawa kila kukicha, waethiopia kila gereza wamejazana hapa Tanganyika.
 
British hawakukuta nchi ya Palestine walikuta ottoman empire na Israel hawakukuta Palestine walikuta British mandatory

Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
Jerusalem ilikua inaitwa Palestine haikuwahi kuitwa Israel hata ikiwa chini ya Ottoman
Dhahabu hata ikichafuka haipotezi thamani yake
Oooh kwahiyo mnapopinga ushoga wakati Israel inakubali hamuoni mnapingana na wateule? Kwanini msiige taifa teule katika hilo?
 
Kwa sababu ni Taifa teule la Mungu! Dunia yote ilikombolewa kupitia wao!
Tulikombolewa kupitia Yesu sio Israel.... ndio maana Bible inasema hakuna tena myahudi wala myunani, mke wala mme, we are all equal chini ya Mungu. Ni nyie wabongo mmejaa shobo tu na hao wazungu.
 
Kwanini nchi ya Israel na viongozi wake hawawekewi vikwazo kama ambavyo Russia amekewa kwa sababu ya Ukraine?
unaijua israel vizuri au unaisikia tu? Hakuna kenge yeyote duniani ataweza kupitisha azimio la kuwekewa vikwazo kama marekani na washirika wake hawatakubali
 
Mwaka 1948 israhell ndio ilianza kuivamia Palestine
 
Jerusalem ilikua inaitwa Palestine haikuwahi kuitwa Israel hata ikiwa chini ya Ottoman

Oooh kwahiyo mnapopinga ushoga wakati Israel inakubali hamuoni mnapingana na wateule? Kwanini msiige taifa teule katika hilo?
Biblia iliyoandikwa miaka zaidi ya 3000 iliyopita inatambua miji yote ya Israel yelusalem ikiwemo,ambayo mpaka Sasa ipo na wafalme wao,niambie hao wapelestina wametoka wapi?,nitajie mfalme wao hata mmoja tu,uje tujadili.
 
Kumbe ya 2005 ina maana 2016 alipopigwa na hez walishindwa kuiokomboa hio ardhi ya waarabu wenzao?
Vita na hezbollah ilikua 2006 na ilikua kaskazini ila Westbank ipo Eastern side ya Palestina. Sasa cha ajabu huko hakuna Hamas wala vita kama Gaza ila.kila.mwaka wanapokwa ardhi
 
HAMAS has been the de facto governing body in the Gaza Strip since 2007, when it ousted the Palestinian Authority from power. Primarily in Gaza; also maintains a presence in the West Bank; Palestinian refugee camps in Lebanon; and key regional capitals, such as Doha, Qatar, and Cairo, Egypt.
Vita na hezbollah ilikua 2006 na ilikua kaskazini ila Westbank ipo Eastern side ya Palestina. Sasa cha ajabu huko hakuna Hamas wala vita kama Gaza ila.kila.mwaka wanapokwa ardhi
 
Hamas ni chama cha siasa wale wanaopigana ni Al Qassam Brigade ambao hawapo huko West Bank ila Gaza huko wapo. Sasa niambie ni sababu zipi Israel wanazo kuharass West Bank na kuwapora ardhi kila mwaka
 
Hicho kizungu umekielewa?
Hamas ni chama cha siasa wale wanaopigana ni Al Qassam Brigade ambao hawapo huko West Bank ila Gaza huko wapo. Sasa niambie ni sababu zipi Israel wanazo kuharass West Bank na kuwapora ardhi kila mwaka
 
Kwanini nchi ya Israel na viongozi wake hawawekewi vikwazo kama ambavyo Russia amekewa kwa sababu ya Ukraine?

Yani Israeli ishambuliwe na magaidi halafu tena iwekewe vikwazo?!

Tumia ubongo wako kufikiri vizuri kijana…
 
Wapi Ukraine alienda Russia kuua na kubaka wanawake na watoto kama walivyofanya hamas?
 
Palestinians walikua wapangaji tu ile ardhi ni ya wayahudi tangu enzi na enzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…