Kwanini Israel haiwekewi vikwazo kama Urusi?

Kwanini Israel haiwekewi vikwazo kama Urusi?

We acha upuuzi, tarehe 7-10-2023 Magaidi wa kiislamu HAMAS si ndio waliomvamia Israel , magaidi hao wamefunzwana URSU na Iran, ndani ya dakika 20 wakaua waisraeli 1200 pamoja na Mtanzania mwenzako a;lafu aliyeuliwa ndiye awekewe vikwazo?
HAMS, IRAN NA URUSI ndio wa kuwekewa vikwazo.
Swali linahusu toka 1948 na ni Palestine nzima sio Hamas pekee.
 
wawekeane vikwazo wasiwekeane sisi hayatuhusu,yanayotuhusu ni kukodisha bandari zetu tupate hela bas mengne waachieni wao
 
wawekeane vikwazo wasiwekeane sisi hayatuhusu,yanayotuhusu ni kukodisha bandari zetu tupate hela bas mengne waachieni wao
Jukwaa la siasa lipo kafungulie uzi huo uko hakuna aliye kuzuia
 
Wayahudi wana control nchi zote za magharibi kisera. Wana control media, banks,academia hadi porn industry. Hii inamaanisha wao ni untouchable ☺️☺️,unyama wanafanya huku wanaimba wimbo wa antisemitism.
Anhaa kumbe ni hivyo basi sawa
 
Kwa sababu wanaoshambuliwa ni waislam. Siku wakishambuliwa wakiristo watawawekea vikwazo
Aliyeanzisha kurusha mabomu ni Israeli au palestina? Acha ushabiki,halafu kumbuka Palestina ndio Kuna wakristo wengi kuliko Israeli ambako dini kubwa ni uyahudi ikifwatiwa na uislam.
 
Back
Top Bottom