Kwanini Israel iwe na ruhusa kumiliki Nukes; ila Iran kwake iwe nongwa?

Kwanini Israel iwe na ruhusa kumiliki Nukes; ila Iran kwake iwe nongwa?

Wapi mamlaka za kumonitor nukes au Israel walishawahi kukuri Israel kuna nukes?
 
Tuelimishane.
Mi nachojuwa hata kumiliki bunduki kigezo cha Kwanza inatakiwa uwe na akili timamu.... ila kwa akili ya kawaida Tu na Kwa usalama WA dunia yetu we unamuona Iran ana akili timamu kuweza kumiliki nuclear?
Wewe MTU haoni hasara kushambulia kanchi kadogo kama Israel kwa mabomu 500 vipi akiruhusiwa kumiliki nyuklia?
So haruhusiw kwa sababu za kiusalama
 
kwa mtazamo wangu, Dunia inapambana na dola ya Kiislam ILA kwa bahati mbaya kila wakipigana nayo ndivyo inazidi kusambaa kwa kasi zaidi...
Sasa dola ya kiislam tukiweka ushabiki pembeni unadhani inaweza kuongoza dunia maana wao ndio makatili na wabaguzi wa Kwanza Leo hii nenda nnchi yoyote ya kiislamu kuna mambo mengi ya kikatili kwa wageni lkn wapo kimya lkn nenda kwenye nnchi za kikristo unaweza ukabaguliwa ila sio kufanyiwa ukatili na ikitokea ukienda kwenye mamlaka unasaidika
 
Israel haitishii kufuta majirani zake, iran inatishia kuifuta israel kwenye ramani ya dunia, haitaruhusiwa kumiliki nyuklia
Mpango wa siri wa kuifuta Iran uliuona ? Kutetea haki za wapalestina ni kosa?
 
Sasa dola ya kiislam tukiweka ushabiki pembeni unadhani inaweza kuongoza dunia maana wao ndio makatili na wabaguzi wa Kwanza Leo hii nenda nnchi yoyote ya kiislamu kuna mambo mengi ya kikatili kwa wageni lkn wapo kimya lkn nenda kwenye nnchi za kikristo unaweza ukabaguliwa ila sio kufanyiwa ukatili na ikitokea ukienda kwenye mamlaka unasaidika
Ukatili kama ?
 
Ni kama Bush alivyolazimisha ya Iraq ili wamuondoe Saddam kwa maslahi yao.

Iran sio tishio kwa Israel wala hana mda huo, Ila anaenda na wakati
Mbona wengine wehu wanazo hizo silaha.
Je wametengeneza ili zivute maji Mtoni?
 
waisrael nao ni watu na wanastahili kutetewa
Hamna tatizo kuwatetea ,kila mtu ana mtazamo wako...Pale ni kwamba Iran wanadai wanataka kusimamisha mifumo ya haki ambayo ni kinyumea na mifumo ya sasa ya dunia ,kama unavyoelewa mifumo ya dunia; kuanzia bank na pesa zake zote iko chini ya jews ,wao ni chanzo cha mambo mengi.

Adolf Hitler alitakaa hii mifumo na alisema pia inasababisha umaskini na kuleta mfumuko wa bei.
 
Tuelimishane.
Iran hana akili anaweza kuzitumia kwa kisingizio cha dini kama wanavyojilipua eti kufia dini! Ikishakua issue ya Maagizo ya mtume, hawa watu anafanya lolote ili aende mbinguni! (which does not exist anyway).

Hivyo inabidi azuiwe asiwe nazo!
 
Back
Top Bottom