Kwanini Israel iwe na ruhusa kumiliki Nukes; ila Iran kwake iwe nongwa?

Kwanini Israel iwe na ruhusa kumiliki Nukes; ila Iran kwake iwe nongwa?

Mi nachojuwa hata kumiliki bunduki kigezo cha Kwanza inatakiwa uwe na akili timamu.... ila kwa akili ya kawaida Tu na Kwa usalama WA dunia yetu we unamuona Iran ana akili timamu kuweza kumiliki nuclear?
Wewe MTU haoni hasara kushambulia kanchi kadogo kama Israel kwa mabomu 500 vipi akiruhusiwa kumiliki nyuklia?
So haruhusiw kwa sababu za kiusalama
Hiko ki nchi kidogo ndicho ki nchi cha wauaji na wanajifanya ma-last born, the bad thing ni pale majirani zake wote wakiamua kushambulia kwa pamoja😁
 
Hamna tatizo kuwatetea ,kila mtu ana mtazamo wako...Pale ni kwamba Iran wanadai wanataka kusimamisha mifumo ya haki ambayo ni kinyumea na mifumo ya sasa ya dunia ,kama unavyoelewa mifumo ya dunia; kuanzia bank na pesa zake zote iko chini ya jews ,wao ni chanzo cha mambo mengi.

Adolf Hitler alitakaa hii mifumo na alisema pia inasababisha umaskini na kuleta mfumuko wa bei.
ndio mifumo ya dunia iliyopo asiyeifuata ataadhibiwa
 
Kila nikifikiria zile trillion 107 nakosa hata nguvu ya kuchangia hii mada.
 
Ukiona israel na US hawatulii basi ujue Iran yupo asilimia chache sana kukamilisha nukes
 
Si ile kunya anye kuku akinya bata kaharisha
 
kwa mtazamo wangu, Dunia inapambana na dola ya Kiislam ILA kwa bahati mbaya kila wakipigana nayo ndivyo inazidi kusambaa kwa kasi zaidi. Wangetamani isiwepo kabisa ILA ndio hivyo tena haiwezekani.
Nchi ikionekana tu strong na isipo waabudu hao wa magharibi, wanaitengenezea scandal na kupiga debe ili kushawishi waungwe mkono; "Give a dog a bad name and hang him"
Mbona kitovu cha muislamu Saudia hawapambani nacho?
 
kwa mtazamo wangu, Dunia inapambana na dola ya Kiislam ILA kwa bahati mbaya kila wakipigana nayo ndivyo inazidi kusambaa kwa kasi zaidi. Wangetamani isiwepo kabisa ILA ndio hivyo tena haiwezekani.
Nchi ikionekana tu strong na isipo waabudu hao wa magharibi, wanaitengenezea scandal na kupiga debe ili kushawishi waungwe mkono; "Give a dog a bad name and hang him"
Kichaa lazima adhibitiwe
Mbona wenzake Saud Arabia Qatar misri Jordan wametulia wanaishi na majiran peacefully

Huyo mwehu wenu lazima apigweee awe na adabu
 
Watu wasio na akili timamu kama akina makobazi wasiruhusiwe kumiliki vitu hatari,wako radhi dunia nzima iangamie ili tu wao wakazawadie mabikira jehanamu
 
Iran hana akili anaweza kuzitumia kwa kisingizio cha dini kama wanavyojilipua eti kufia dini! Ikishakua issue ya Maagizo ya mtume, hawa watu anafanya lolote ili aende mbinguni! (which does not exist anyway).

Hivyo inabidi azuiwe asiwe nazo!
Iran ilishawahi kumvamia nani?
 
Hiko ki nchi kidogo ndicho ki nchi cha wauaji na wanajifanya ma-last born, the bad thing ni pale majirani zake wote wakiamua kushambulia kwa pamoja😁
Haitokokuwa mara ya Kwanza kushambuliwa kwa pamoja hata SASA sio kwamba Iran Yuko vizur Sana no sema Israel anafundisha adabu taratibu kuwa mkubwa mkubwa tu
 
Mataifa yanapiga hesabu kuwa, ukiwa na nukes ni ulinzi mzuri na biti za adui. Imagine Iran walifikia 60% ya urutibishwaji, hii ni hatua kubwa ya kuweza kutengeneza bomu. Angalia mataifa yote yenye silaha za nyuklia yanavyoheshimiana kimtindo, concern inakuwa kubwa pindi mataifa yenye nyuklia yakianza kuingia kwenye migogoro ya kivita maana balaa lake linajulikana, hivyo Israel hataki atokee mbabe wa pili middle east na Iran anaona njia pekee ya kusurvive ni kuwa nazo tu na Kwa ujumla wote wapo sawa kabisa.
 
Back
Top Bottom