The system that U.S created made sure power and control can not be shared between jews and islam
Jews wanaamini wao wanahaki hapa duniani kuliko Mtu yeyote hapa Duniani isipo tu Baba yao U.S,
Israel iliwahi kushambulia meli ya vita ya Marekani kwa "bahati mbaya wakidhani ni meli ya Egypt" lakini marekani alimsameh japo kuwa israel aliwaua wamerekani kwenye hio meli ya vita, sababu ya kumsameh na kusimamisha uchunguzi hakuna,
LAKINI pia Hakuna Kidhibitisho ya kwamba Israel anazo NUKES hakuna Sehemu imeandikwa Israel anazo Nukes kwa maneno yao Ijapo kuwa Tunajua wanazo ni ngumu kumshambulia,kumfungulia kesi sababu Marekani yupo mbele na nyuma yake labda Trump abadili hiko kitu