Kwanini Israel iwe na ruhusa kumiliki Nukes; ila Iran kwake iwe nongwa?

Hiko ki nchi kidogo ndicho ki nchi cha wauaji na wanajifanya ma-last born, the bad thing ni pale majirani zake wote wakiamua kushambulia kwa pamoja😁
 
ndio mifumo ya dunia iliyopo asiyeifuata ataadhibiwa
 
Kila nikifikiria zile trillion 107 nakosa hata nguvu ya kuchangia hii mada.
 
Ukiona israel na US hawatulii basi ujue Iran yupo asilimia chache sana kukamilisha nukes
 
Si ile kunya anye kuku akinya bata kaharisha
 
Mbona kitovu cha muislamu Saudia hawapambani nacho?
 
Kichaa lazima adhibitiwe
Mbona wenzake Saud Arabia Qatar misri Jordan wametulia wanaishi na majiran peacefully

Huyo mwehu wenu lazima apigweee awe na adabu
 
Watu wasio na akili timamu kama akina makobazi wasiruhusiwe kumiliki vitu hatari,wako radhi dunia nzima iangamie ili tu wao wakazawadie mabikira jehanamu
 
Iran hana akili anaweza kuzitumia kwa kisingizio cha dini kama wanavyojilipua eti kufia dini! Ikishakua issue ya Maagizo ya mtume, hawa watu anafanya lolote ili aende mbinguni! (which does not exist anyway).

Hivyo inabidi azuiwe asiwe nazo!
Iran ilishawahi kumvamia nani?
 
Hiko ki nchi kidogo ndicho ki nchi cha wauaji na wanajifanya ma-last born, the bad thing ni pale majirani zake wote wakiamua kushambulia kwa pamoja😁
Haitokokuwa mara ya Kwanza kushambuliwa kwa pamoja hata SASA sio kwamba Iran Yuko vizur Sana no sema Israel anafundisha adabu taratibu kuwa mkubwa mkubwa tu
 
Mataifa yanapiga hesabu kuwa, ukiwa na nukes ni ulinzi mzuri na biti za adui. Imagine Iran walifikia 60% ya urutibishwaji, hii ni hatua kubwa ya kuweza kutengeneza bomu. Angalia mataifa yote yenye silaha za nyuklia yanavyoheshimiana kimtindo, concern inakuwa kubwa pindi mataifa yenye nyuklia yakianza kuingia kwenye migogoro ya kivita maana balaa lake linajulikana, hivyo Israel hataki atokee mbabe wa pili middle east na Iran anaona njia pekee ya kusurvive ni kuwa nazo tu na Kwa ujumla wote wapo sawa kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…