Sure, so israel hatokuwa affected akishambuliwa na wote maana yeye ni more powerful ikiwa wapo few in numbers?Haitokokuwa mara ya Kwanza kushambuliwa kwa pamoja hata SASA sio kwamba Iran Yuko vizur Sana no sema Israel anafundisha adabu taratibu kuwa mkubwa mkubwa tu
Hahaha,Nongwa tu. Awamu ijayo hata sisi Tanzania chini ya uongozi wa Jemedari Mh Samia tutaanza utaratibu wa kujengwa vinu vya Nuclear.
Unaweza kumpa kichaa rungu?Tuelimishane.
The system that U.S created made sure power and control can not be shared between jews and islamTuelimishane.
๐ ๐ ๐ Mpewe Uhuru Mje kutengeneza Nukes ๐ ๐ kuna raia pembeni yangu kacheka sanaNongwa tu. Awamu ijayo hata sisi Tanzania chini ya uongozi wa Jemedari Mh Samia tutaanza utaratibu wa kujengwa vinu vya Nuclear.
Hii siyo kweli,Iran sio tishio kwa Israel wala hana mda huo, Ila anaenda na wakati
Hili swali ndilo linaloleta vita hii,iran anaonewa na wanampiga kwa silaha za marekani,ujuzi wa marekani na fedha za marekani.Hii dunia haina haki na niabyao ni kumuua ayatollah ali khamenei na kuweka itawala wa vibaraka.Wamarekani hawakupenda kabisa kupinduliwa mohamed rezza pahlavi ambae alikuwa shah wa irani kibaraka wao.Mnapiga nchi mliyoiwemewa vikwazo vya kila aina,anyway hii ndio duniaTuelimishane.
Kuna baadhi ya serikali katika mataifa kadhaa hapa duniani ni organised criminal waliojificha katika kivuli cha nchi.Tuelimishane.
Sure, so israel hatokuwa affected akishambuliwa na wote maana yeye ni more powerful ikiwa wapo few in numbers?
Atapata effect sema ukiangalia hii vita utagundua namna Israel anavyo react ni kama ana uhakika wa kushinda harafu Yuko more advanced kwenye vita kuliko Iran ni kama kituko ww unatuma mabom 400+ mwenzio anakuja na ndege anashambulia anasepa tena anakwambia kabisa nataka kupiga sehemu flan na anafanikiwaSure, so israel hatokuwa affected akishambuliwa na wote maana yeye ni more powerful ikiwa wapo few in numbers?
Hayo makundi ya kigaidi wanaoyafadhili tayari Congress la US waliwekwa kitu moto na kukiri kuwa wao ndio wanatoa helaHii siyo kweli,
Asingekuwa anamiliki na kufadhili makundi ya magaidi yenye lengo la kushambulia Israel kama Hamas, Hezbollah, Houthi, iS, nk.
Na charter ya Hamas ipo wazi kuwa lengo lao kuu ni kuiangamiza na kuifuta Israel kwenye uso wa dunia
Kichaa hawezi akaachiwa ashike rungu katikati ya sokoKwanini Israel iwe na ruhusa kumiliki Nukes; ila Iran kwake iwe nongwa?
Nchi yoyote kiislamu ikimiliki nukes ni hatari kwa sababu ya culture zao yaani mafundisho ya dini yao yanachochea sana fujo kuliko amani so kumiliki nukes sawa na kuwakabidhi vichaa marugu.Tuelimishane.
Saudia ni Tajir sana, Uran sahivi amezidi hata na Israel....Saudi Arabia na Iran, ni ipi ni nchi tajiri?
Tupewe uhuru mara ngapi jombaa ?๐ ๐ ๐ Mpewe Uhuru Mje kutengeneza Nukes ๐ ๐ kuna raia pembeni yangu kacheka sana
Ase machawa muwe mnatumia akili kidogo angalau kidogo na kujiheshimu mkiwa mnaongea vitu vingine mnajamba hoho badala ya kuongea kama mwanaume
Mkuu mimi ni mwananchi mzalendo๐๐๐ , far from chawacracyHahaha,
Mkuu, wewe pia ushakuwa chawa?!