Dini zote kubwa mwandishi myahudiFact ni kwamba Wayahudi ndio wanaotawala dunia kwa Sasa kwa kutumia fake identity.
Maskini huwa hana bodyguard wa kumlinda popote dunianiKwahyo kama ni hivo ni haki ya watu weusi sasa kulindwa maana ni jamii iliyoko nyuma kuliko zote.
Na mimi pia ni Myahudi mweusiMimi ni myahudi mweusi
Hamtaki kusikia ukweliThis is idiot anakabiliwa na mind colonialism
Hii ni sawa na kusema mm ni mwanaume rijari,kwa hyo utafaham rijari ni mtu wa aina gani??Mkuu nieleweshe myahudi mweusi kivipi?
Survival of the fittestFact ni kwamba Wayahudi ndio wanaotawala dunia kwa Sasa kwa kutumia fake identity.
Tuanzie kwenye World War 2, Nazi Germany iliua Wayahudi zaidi ya milioni 6 ndani ya miaka mitano tu. Walikuwa na kambi za maangamizi kama Auschwitz-Birkenau, Sobibor na Trebrinka. Hii picha ilipigwa na Allied Forces pale Evensee baada ya kuikomboa kambi hiyo kutoka mikononi mwa NaziMadhila ambayo watu weusi wamekutana nayo ni makubwa mno kuliko jews. Mkuu kuna nyakati waafrika walikuwa wanachomwa kama mishkaki na wazungu na watu wanapewa nyama wale. Acha kusema jews wamepitia mengi kuliko watu weusi kwasababu taarifa zao nyingi ni za kupika. Watu weusi hawapendwi na jamii yoyote ile duniani kuna black massacre ilitokea huko marekani ikiwa na lengo la kutokomeza watu weusi wote marekani.
UmetishaTuanzie kwenye World War 2, Nazi Germany iliua Wayahudi zaidi ya milioni 6 ndani ya miaka mitano tu. Walikuwa na kambi za maangamizi kama Auschwitz-Birkenau, Sobibor na Trebrinka. Hii picha ilipigwa na Allied Forces pale Evensee baada ya kuikomboa kambi hiyo kutoka mikononi mwa NaziView attachment 2407223
Huwezi sema Waafrika walinyanyaswa kuliko Wayahudi wakati Wayahudi hadi walihamishwa nchi kabisa. Kuanzia miaka ya 300s walipopigwa na kunyang'anywa Jerusalem walikuwa wanaishi wapi hadi 1948 walipoanzisha Jewish state pale Israel.
Watu weusi hawapendwi, ila hawana hata chembe ya kufikia level ya Wayahudi walivyochukiwa. Weusi walikuwa wanauzwa utumwani wakafanye kazi, walitumikishwa kwenye ardhi yao na kuibiwa rasilimali. Ukiachana na kufanywa watumwa hayo mengine wamefanyiwa Asians na Japanese ingawa haikudumu kwa muda mrefu. Wajapani walifanya Nanjing massacre, Japan ilifanya mass murder kwa Koreans, Chinese, Indonesians, Filipinos na Asians kibao na kuua more than 3 to 7 million people ndani ya miaka 15 tu. So kusema Waafrika walinyanyaswa zaidi ni kutojua historia ya races nyingine.
Waafrika tumezubaa na tunaishi tu, ila Wayahudi wakilala ndio basi tena hawana maisha wanapotezwa.
Wapo jews wazawa na pia wapo jews waarabu chiefHao wazungu waashkenazi siyo wayahudi original.Wapo wayahudi halisi,nenda Ethiopia utawakuta wengi Sana.
Nimeelewa lakini turudi kwenye mada yangu kwanini wapewe kinga kuliko watu weusi ilhali watu weusi ndio jamii inayochukiwa zaidi duniani na ipo hatarini kupotea kwa miaka 100 ijayo.Tuanzie kwenye World War 2, Nazi Germany iliua Wayahudi zaidi ya milioni 6 ndani ya miaka mitano tu. Walikuwa na kambi za maangamizi kama Auschwitz-Birkenau, Sobibor na Trebrinka. Hii picha ilipigwa na Allied Forces pale Evensee baada ya kuikomboa kambi hiyo kutoka mikononi mwa NaziView attachment 2407223
Huwezi sema Waafrika walinyanyaswa kuliko Wayahudi wakati Wayahudi hadi walihamishwa nchi kabisa. Kuanzia miaka ya 300s walipopigwa na kunyang'anywa Jerusalem walikuwa wanaishi wapi hadi 1948 walipoanzisha Jewish state pale Israel.
Watu weusi hawapendwi, ila hawana hata chembe ya kufikia level ya Wayahudi walivyochukiwa. Weusi walikuwa wanauzwa utumwani wakafanye kazi, walitumikishwa kwenye ardhi yao na kuibiwa rasilimali. Ukiachana na kufanywa watumwa hayo mengine wamefanyiwa Asians na Japanese ingawa haikudumu kwa muda mrefu. Wajapani walifanya Nanjing massacre, Japan ilifanya mass murder kwa Koreans, Chinese, Indonesians, Filipinos na Asians kibao na kuua more than 3 to 7 million people ndani ya miaka 15 tu. So kusema Waafrika walinyanyaswa zaidi ni kutojua historia ya races nyingine.
Waafrika tumezubaa na tunaishi tu, ila Wayahudi wakilala ndio basi tena hawana maisha wanapotezwa.
Mabwege wamefanana balaaaaa.Tuanzie kwenye World War 2, Nazi Germany iliua Wayahudi zaidi ya milioni 6 ndani ya miaka mitano tu. Walikuwa na kambi za maangamizi kama Auschwitz-Birkenau, Sobibor na Trebrinka. Hii picha ilipigwa na Allied Forces pale Evensee baada ya kuikomboa kambi hiyo kutoka mikononi mwa NaziView attachment 2407223
Huwezi sema Waafrika walinyanyaswa kuliko Wayahudi wakati Wayahudi hadi walihamishwa nchi kabisa. Kuanzia miaka ya 300s walipopigwa na kunyang'anywa Jerusalem walikuwa wanaishi wapi hadi 1948 walipoanzisha Jewish state pale Israel.
Watu weusi hawapendwi, ila hawana hata chembe ya kufikia level ya Wayahudi walivyochukiwa. Weusi walikuwa wanauzwa utumwani wakafanye kazi, walitumikishwa kwenye ardhi yao na kuibiwa rasilimali. Ukiachana na kufanywa watumwa hayo mengine wamefanyiwa Asians na Japanese ingawa haikudumu kwa muda mrefu. Wajapani walifanya Nanjing massacre, Japan ilifanya mass murder kwa Koreans, Chinese, Indonesians, Filipinos na Asians kibao na kuua more than 3 to 7 million people ndani ya miaka 15 tu. So kusema Waafrika walinyanyaswa zaidi ni kutojua historia ya races nyingine.
Waafrika tumezubaa na tunaishi tu, ila Wayahudi wakilala ndio basi tena hawana maisha wanapotezwa.
Nazani wazungu wanawaonea wivu wayahudi, kwa sababu inaonekana kama wayahudi wamewazidi akili wazungu kwa namna flani hivi. Alafu mbaya zaidi wanajiita taifa teule, hili jambo linakera sanawazungu hawawapendi wayahudi
jews ni jamii ambayo ina watu vichwa yani wana High IQ . uwepo wao unawanufaisha mataifa makubwa dunian kama U.S na Uingereza.Jamii ya wayahudi imekuwa ni jamii inayolindwa sana duniani kiasi kwamba ukiongea neno lolote lenye kiashiria kibaya au cha kibaguzi dhidi yao hata kama ni cha ukweli lazima wakushughulikie.
Ila jamii ya watu weusi kutwa kucha inabaguliwa lakini hatua hazichukuliwi na inaonekana ni sawa tu. Refer the kanye west saga. Na mara zote matamshi yoyote yale juu ya wayahudi lazima wayahusishe na holocaust iliyotokea kule ujerumani nyakati za adolf Hitler.
Inavyoonekana wayahudi wameshika maeneo na sekta nyeti duniani. Ni kwanini hi jamii ilindwe hivo? Na je ni kweli watu wanawachukia wayahudi na zipi sababu ya watu kuwachukia?
Maana hata waarabu hawawapendi wayahudi, wazungu hawawapendi wayahudi ni watu weusi pekee duniani wanaowapenda wayahudi ila bado watu weusi ndio jamii inayochukiwa kuliko zote duniani na hakuna hatua zakuilinda jamii ya watu weusi isipotee duniani.
Argentina wametokomeza weusi wote kwa kuwauaMadhila ambayo watu weusi wamekutana nayo ni makubwa mno kuliko jews. Mkuu kuna nyakati waafrika walikuwa wanachomwa kama mishkaki na wazungu na watu wanapewa nyama wale. Acha kusema jews wamepitia mengi kuliko watu weusi kwasababu taarifa zao nyingi ni za kupika. Watu weusi hawapendwi na jamii yoyote ile duniani kuna black massacre ilitokea huko marekani ikiwa na lengo la kutokomeza watu weusi wote marekani.
Huwezi kuwa na IQ kubwa kisa race,uyahudi ni dini na si rangi ya ngozi au kabila,hao unadhani ni wayahudi ni wazungu tu wa ulaya masharikijews ni jamii ambayo ina watu vichwa yani wana High IQ . uwepo wao unawanufaisha mataifa makubwa dunian kama U.S na Uingereza.
ukikuta wanajeshi 50 wa kimarekani basi jua kati ya ao 50 kuna moja myahudi ... wanawatunza sana hawa watu coz wapo tokea zama na zama na washatajwa mpaka kwenye vitabu vya dini kama " TAIFA TEULE"