Kwanini jamii za kiislamu wanapenda sana kupokea kuliko kutoa? Hawaoni kama wanaharibu utu wao?

nimesabuskraibu
 
katoliki nio vinara wa kupokea hadi wanavimbiwa na kutosaidia kabisaa

mfano mdogo tuh wao ni wamiliki wa shule zilizojengwa kwa sadaka za waumini kisha kuwekewa ada kubwa kwajili ya matajiri,lakini wao kusaidia kaya masikini ndani ya waumini wao kwa kutoa hata nafasi mbili kuwasomesha watoto wao ni tabu
 
Sio waisilamu. Sema wavivu wote wana akili moja ya kutaka huruma.
 
Kuanzia Bugando,KCMC, vyuo shule hadi makanisa mengi ya mainstream ni misaada ya Wazungu ,ukiacha ya Kuhani Musa na Kiboko ya Wachawi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…