safuher
JF-Expert Member
- Feb 11, 2019
- 11,837
- 17,412
Nimekusoma mkuu,na hiyo nadhani ndio imezalisha ile point ya pili.Kuhusu Western Education nimemaanisha Elimu ya kidunia isiyokuwa ya Dini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimekusoma mkuu,na hiyo nadhani ndio imezalisha ile point ya pili.Kuhusu Western Education nimemaanisha Elimu ya kidunia isiyokuwa ya Dini
nimesabuskraibuJamii za kiislamu wanapenda misaada sana as if they are always unable bodied. Ukienda Tabora, Ujiji, Zanzibar nk hata huduma za jamii ni duni hata kujenga misikiti tu hawawezi mpaka ajitokeze tajiri mmoja awajengee.
Ukienda jamii hizo utakuta maji ya visima ndo yamejaa halafu visima vyenyewe ni misaada tena vikichimbwa wanaviandika kabisa kwamba Imam flani ndo kajenga.
Jamani badilikeni vya bure ni manyanyaso halafu vinakufanya always uwe mnyonge.
endeleni kususiana kuzikana kwasababu ya jumuiyaNdugu zetu ni wavivu sn
Poa poaendeleni kususiana kuzikana kwasababu ya jumuiya
Sio waisilamu. Sema wavivu wote wana akili moja ya kutaka huruma.Jamii za kiislamu wanapenda misaada sana as if they are always unable bodied. Ukienda Tabora, Ujiji, Zanzibar nk hata huduma za jamii ni duni hata kujenga misikiti tu hawawezi mpaka ajitokeze tajiri mmoja awajengee.
Ukienda jamii hizo utakuta maji ya visima ndo yamejaa halafu visima vyenyewe ni misaada tena vikichimbwa wanaviandika kabisa kwamba Imam flani ndo kajenga.
Jamani badilikeni vya bure ni manyanyaso halafu vinakufanya always uwe mnyonge.
Kuanzia Bugando,KCMC, vyuo shule hadi makanisa mengi ya mainstream ni misaada ya Wazungu ,ukiacha ya Kuhani Musa na Kiboko ya Wachawi.Jamii za kiislamu wanapenda misaada sana as if they are always unable bodied. Ukienda Tabora, Ujiji, Zanzibar nk hata huduma za jamii ni duni hata kujenga misikiti tu hawawezi mpaka ajitokeze tajiri mmoja awajengee.