Kwanini jamii za kiislamu wanapenda sana kupokea kuliko kutoa? Hawaoni kama wanaharibu utu wao?

waruturuki na wa oman wanawajengea misikiti kila mtaa lkn zahanati na shule hawagusi hata kidogo
 
Matu ru wewe tabora njaa yaani njaaa kama watu wa misaada tutupu akuna nafuu ya maisha lakini njombe rukwa akuna njaa mpuu zi wewe.
Utake usitake kote huko nimetembea ni yale yale.
Kama kwako njaa ni chakula peke yake basi pole yako.
Kama vyakula tu Tabora vipo kila kona hakuna njaa ya chakula Tabora na vyakula bei rahisi.
Ila kama umasikini wa kifedha na masuala mengine huko Njombe masikini vizuri tu.
Ndio maana malaya wamejazana huko.
 
Kwenye biblia mmefundishwa ukitoa sadaka itafunwe na nani?
Na padre au yeyote mpakwa mafuta. Ndo mana hawaoi wala hawana familia ili kula madhabahuni tu. Akienda kinyume na kiapo chake atakutana na mungu wake wakati mi sipo
 
We tulia dozi ikuingie toto ra tabora njombe akuna njaa kijana tumekulia uku miaka mingi rukwa wakimbizi kutoka tabora ndo usiseme yaani mtu watabora akigusa mikoa ya kusini mwa tz arudi kwao paka wee.
 
Sisi siyo wachoyo ndugh yangu. Kutoa ni wajibu wetu. Pasre akizitumia vibaya atajuana yeye na mungu wake siyo mimi tena. Jukumu langu nakuwa nimeshatimiza
Ukipiga tathmini waislam ndio wanaongoza kwa charity katika hii nchi.
Wakristo sadaka zenu ni zinabaki kanisani na zinaliwa na kanisa,hazina mchango wa moja kwa moja katika jamii hata kidogo.
Ila waislam sadaka zetu zina michango katika jamii sana tena sana tu.
Mfano tu Temeke,visima takriban vya shule zote za msingi za serikali vimejengwa na alhikma foundation ya Nurdin Kishki.
Morogoro visima vijiji vingi vimechimbwa na Islamic foundation ya Arif Nahdi.
Hata lilipotokea tetemeko la ardhi Kagera HATUKUONA TAASISI YA KIKANISA HATA MOJA IKIJA KUTOA MSAADA PALE KWA WAATHIRIKA,ila ISLAMIC FOUNDATION walikua wakwanza kufika na kutoa misaada kabla hata ya serikali.
Na cha ajabu taasisi zenu za kidini ninyi wakristo zinapata ruzuku toka serikalini.
 
We tulia dozi ikuingie toto ra tabora njombe akuna njaa kijana tumekulia uku miaka mingi rukwa wakimbizi kutoka tabora ndo usiseme yaani mtu watabora akigusa mikoa ya kusini mwa tz arudi kwao paka wee.
Piga kelele weeee ila utake usitake Tabora hakuna njaa ya chakula.
Bali kuna uhaba wa kazi na utafutaji pesa,ambao hata huko Njombe upo na nimeukuta vizuri tu.
Ndio maana wadada wa huko maji mara moja kwa sababu ya ukata wa kifedha.
 
Kwani hiyo misikiti na visima wanajengewa na wakristo? Si ni misaada toka kwa waislamu wenzao? Hao wagogo na ombaomba wengine waliojazana darisalama na kwingineko mijini wote ni waislamu?labda kama uko na ugomvi na waislamu
 
Jamani wandugu kuna huyu mlevi kauvamia uzi sijui katokea wapi.
Anayemfahamu aje kumtoa anachafua uzi watu tunaongea kwa hoja yeye linatukana hovyohovyo kama tuko bar
Cha kuongezea Catholic churches zote ZINA RUZUKU TOKA SERIKALINI TOKA ENZI ZA MWALIMU JULIUS NYERERE.
HADI SASA,akibisha tumletee ushahidi.
 
Piga kelele weeee ila utake usitake Tabora hakuna njaa ya chakula.
Bali kuna uhaba wa kazi na utafutaji pesa,ambao hata huko Njombe upo na nimeukuta vizuri tu.
Ndio maana wadada wa huko maji mara moja kwa sababu ya ukata wa kifedha.
Hoja yako umeifunga mwenyewe apo juu☝,
 
Ulete ushahidi wakati makanisa niyetu?.
Makanisa ambayo yanajengwa na wazungu na ruzuku ya serikali!?
Au haujui kuwa serikali inatoa ruzuku ya zaidi ya bilioni moja kila mwezi kwenda taasisi ya CATHOLIC Tanzania?
Niambie kuna taasisi gani ya kiislam inapata ruzuku toka serikalini?
 
Wanajiweza wapi ilhali taasisi za kikristo kibao zinapewa ruzuku na serikali.
Ikiwemo wakatoliki,makanisa 99% ni ruzuku za serikali.
Huyo anayedai hivyo serikali yake imepokea vingi vya hao waislam anaowadai hawajiwezi.
 
Uislam umezania uarabuni ambako kuna mila na utamaduni wa utwana na ubwana, mabwana kusaidia watwana. Jaribu kusoma hadithi nyingi zenye chimbuko la huko, uone jinsi kulivyo na simulizi nyingi za matajiri wakubwa kuandaa sherehe, au kusaidia watu n.k. Huko ndiko utakuta simulizi za watwana kuangukia mabwana ili wasiwadhuru, au tajiri kuamuaru jamii ipikiwe chakula nk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…