Kwanini jamii za kiislamu wanapenda sana kupokea kuliko kutoa? Hawaoni kama wanaharibu utu wao?

Kwanini jamii za kiislamu wanapenda sana kupokea kuliko kutoa? Hawaoni kama wanaharibu utu wao?

Hivi unajua kuwa Ummy Mwalimu alilalamikia KCMC licha ya kupewa ruzuku ya bilioni moja kila mara ila wanatibu watu kwa gharama kubwa??
Ilhali lengo la serikali kutoa ruzuku ni kuweka uwepesi wa gharama za matibabu?
Hivi unalifahamu hilo!?
KCMC haijaanza wakati Ummy ni waziri..tofautisha suala la uwepo wa huduma za matibabu na gharama za matibabu..ingekuwa ni rahisi kuanzisha hospitali za level ya KCMC serikali ingeweka hizo hospitali kila wilaya!
 
Ona mpuuzi
Naweza kusema mropokaji mwingine umekuja,ila usijali tutakufundisha ili uelewe.
1)Uislamu unaamini katika kufanya kazi ila pia unahimiza kusaidiana pale inapobidi,ndio maana unaona waislam wengi ni watu wa socialization.Kama ingekua uislamu unaamini katika kusaidiwa tusingeelekezwa biashara katika Qur'an.
2)Uislam umeruhusu kisasi kama fundisho kwa yule mwenye kutenda wenzake mabaya.
Hivyo kisasi kina maana yake.
3)Uislam umehimiza kupenda majirani zako tena ikisisitiza kila upande wako nyumba arobaini hao ni majirani zako,ukipika mjuzi ongeza maji umgawie na jirani yako pasi na kujali dini wala kabila wala utaifa.Hapa umepuyanga.
4)Uislam umekataza majigambo na ubinafsi,ndio maana dini yetu inasema MPENDELEE MWENZIO KULIKO UNAVYOJIPENDELEA WEWE.

Tukija katika hizo nchi ulizotaja Somalia na zinginezo zina vurugu kwasababu ya kugombania madaraka wala tatizo sio dini.
Pia usisahau kuna MYANMAR,UKRAINE,RUSSIA,MADAGASCAR zote hizo sio nchi za kiislam ila zina mapigano japo kama MADAGASCAR yanazuka na kutulia.
Je hilo unalizungumziaje!?
Ulivyokua mfinyu wa fikra umechanganya masuala ya kisiasa na kidini.

Unasema waislam wavivu na wabinafsi ilhali TANZANIA MATAJIRI WAKUU WAISLAM
-MOHAMMED DEWJI MUISLAM.
-SAID SALIM MUISLAM.
-GHALIB SAID GSM MUISLAM.
-ASAS MILK MUISLAM.
-OIL COM MUISLAM.
Matajiri wakubwa Tanzania waislam halafu unawaita wavivu na wabinafsi.
Mbona hukutaja nchi kama QATAR,KUWAIT,BAHRAIN,OMAN,EGYPT,MOROCCO,MALAYSIA NA INDONESIA.
MBONA HIZO HUKUZITAJA!?
Ona mjinga mmoja huyu analeta matajili ya india na omani yanasema ni watanzania.😂
 
Jamii za kiislamu wanapenda misaada sana as if they are always unable bodied. Ukienda Tabora, Ujiji, Zanzibar nk hata huduma za jamii ni duni hata kujenga misikiti tu hawawezi mpaka ajitokeze tajiri mmoja awajengee.

Ukienda jamii hizo utakuta maji ya visima ndo yamejaa halafu visima vyenyewe ni misaada tena vikichimbwa wanaviandika kabisa kwamba Imam flani ndo kajenga.

Jamani badilikeni vya bure ni manyanyaso halafu vinakufanya always uwe mnyonge.
Kijana usichoelewa ni kuwa visima na misikiti ni sadaka endelevu (jariah) Kiislam. Waislam wanashindana kujenga misikiti na kuchimbisha visima.

Pia katika kutowa ni (faradhi) Kiislam, maana yake ni jambo la lazima kwa Muislam kutowa Zaka siyo la hiyari. Moja ya nguzo za Kiislam ni zaka.

Sadaka za kawaida nje ya zaka ndiyo usiseme, kila jambo jema kwa Muislam kumfanyia mwengine ni sadaka iliyohimizwa.

Au ulitaka mpaka wafanye harambee za kuchangishana ndiyo uelewe kuwa wanatowa?

Hivi wale wagogo ambao ni maarufu kwa kuomba omba ni Waislam wale?

Si kila umuonae kavaa Kiislam anaomba omba ukadhani ni Muislam, ile ni zuga na njia ya mkato kwa wasio Waislam kujipatia sadaka za Waislam.
 
Tofautisha vita ya nchi kuvamiwa na nchi nyingine na vita ya ndani ya nchi wao kwa wao..
Yote uliyotaja ni nadharia tu, matendo ndio husema zaid kuliko maandishi..
Magerezani wengi ni wa imani gani, umewahi kujiuliza?
Hao matajiri unaowataja ni sawa na unapoambiwa wenye shule, vyuo na hospitali nyingi hapa nchini ni nani? Mfano hospitali ya Bugando na biashara za GSM nani kati yao ana mchango mkubwa kwa nchi..wewe kwa akili yako!
Onhoo MYANMAR ni vita ya nchi na nchi!?
MYANMAR ina vita ya wenyewe kwa wenyewe,raia wanaungana kupingana na military junta of Myanmar,huna unalojua mweupe kichwani.
Bugando ina cover sehemu moja ya afya,tena Bugando nayo inakula pesa ya serikali,kila mwisho wa mwezi kuna fungu la serikali linaingia kwao.
GSM au Azam group imeajiri mamilioni wa WATANZANIA ambao ni walipa kodi ambao hizo kodi zao zinawasaidia hadi katika matibabu.
Pia GSM ama Azam wana mchango mkubwa wa kodi na mapato ya hili taifa kwa uwekezaji wa viwanda na uwekezaji mwingine walioweka katika hii nchi.
Je unalijua hilo!?
You have alot of things to learn dude.
 
Kijana usichoelewa ni kuwa visima na misikiti ni sadaka endelevu (jariah) Kiislam. Waislam wanashindana kujenga misikiti na kuchimbisha visima.

Pia katika kutowa ni (faradhi) Kiislam, maana yake ni jambo la lazima kwa Muislam kutowa Zaka siyo la hiyari. Moja ya nguzo za Kiislam ni zaka.

Sadaka za kawaida nje ya zaka ndiyo usiseme, kila jambo jema kwa Muislam kumfanyia mwengine ni sadaka iliyohimizwa.

Au ulitaka mpaka wafanye harambee za kuchangishana ndiyo uelewe kuwa wanatowa?

Hivi wale wagogo ambao ni maarufu kwa kuomba omba ni Waislam wale?

Si kila umuonae kavaa Kiislam anaomba omba ukadhani ni Muislam, ile ni zuga na njia ya mkato kwa wasio Waislam kujipatia sadaka za Waislam.
Ijumaa nimefatwa na kundi la maustaaz wana daftri wanapita mitaani kuomba hela ya madrassa nikawapa buku 5 sijui kama ilifikia watoto au walitia ndani Mungu anajua zaidi.
 
KCMC haijaanza wakati Ummy ni waziri..tofautisha suala la uwepo wa huduma za matibabu na gharama za matibabu..ingekuwa ni rahisi kuanzisha hospitali za level ya KCMC serikali ingeweka hizo hospitali kila wilaya!
KCMC imejengwa kipindi cha Nyerere na serikali pia ilitoa mchango wa fedha wa kujengwa hiyo hospitali wakishirikiana na taasisi zingine za kikatoliki za ndani na nje.
Pia uliwekwa makubaliano ya kuiruzuku KCMC,point yangu sijui kama utaipata maana inaonekana we mgumu kuelewa.
Hiyo KCMC kama sio serikali kuwekeza tokea 1960s isingekuwa hapo ilipo.
Screenshot_2024-07-14-15-11-32-09_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
 
Ona mpuuzi

Ona mjinga mmoja huyu analeta matajili ya india na omani yanasema ni watanzania.😂
Kuna aina ngapi ya uraia!?
Au umeanza ubaguzi tena!?
Said Salim Bakhressa anahesabika kama raia wa nchi gani!?
Nahisi nazungumza na kilaza.
 
Umewai sali?That's up to you,ila ruzuku serikalini mnapokea kila mwaka.Ila cha ajabu hamkuwahi kujenga hata kisima kwa jamii.Ila taasisi za kiislam zisizopewa ruzuku zimesaidia sana jamii za kitanzania na ushahidi upo.

slamic is poor.
According to you.
But world knows the richest people are Muslim from Arab nations and indo-chinese nations.
Even Africa richest are muslims,as well as Tanzania richest are muslims.
Ally Dangote is a Muslim,and is a richest person in the continent of Africa.
Or do you want evidence for that!?
 
Kijana usichoelewa ni kuwa visima na misikiti ni sadaka endelevu (jariah) Kiislam. Waislam wanashindana kujenga misikiti na kuchimbisha visima.

Pia katika kutowa ni (faradhi) Kiislam, maana yake ni jambo la lazima kwa Muislam kutowa Zaka siyo la hiyari. Moja ya nguzo za Kiislam ni zaka.

Sadaka za kawaida nje ya zaka ndiyo usiseme, kila jambo jema kwa Muislam kumfanyia mwengine ni sadaka iliyohimizwa.

Au ulitaka mpaka wafanye harambee za kuchangishana ndiyo uelewe kuwa wanatowa?

Hivi wale wagogo ambao ni maarufu kwa kuomba omba ni Waislam wale?

Si kila umuonae kavaa Kiislam anaomba omba ukadhani ni Muislam, ile ni zuga na njia ya mkato kwa wasio Waislam kujipatia sadaka za Waislam.
Wanashangaza sana hawa.
Hapo wanasema waislam hawapendi kutoa wanapenda kupokea ilhali matajiri wa kiislam wamewajengea visima vingi na kuwasaidia sehemu nyingi hadi katika sekta za kiuchumi hapa Tanzania.
Halafu hao wakristo wanaopokea ruzuku za serikali ambazo zinatokana na kodi za raia wa kiislam na kikristo hawajawahi kutoa mchango wowote katika jamii zaidi ya kujenga makanisa na kunenepesha mapadri wao.
Mfano lile tetemeko la Kagera,nilitegemea kwasababu Tanzania Islamic Foundation wamefika na kutoa misaada,basi nilitarajia hata ndugu zetu wa upande wa pili watakuja,ila HAKUNA taasisi ya kikristo wala tajiri wa kikristo aliyewasili Kagera kutoa misaada.
 
Kweli kabisa, Marehem Mzee Sabodo aliwakabidhi pesa za visima kina Mbowe, wamezilamba, cheza na wachaga wewe?
 
Jamani badilikeni vya bure ni manyanyaso halafu vinakufanya always uwe mnyonge.
Kwanza sio kweli watu wanachukia luomba au kupokea tu ni jamii ya waislamu ,ndio maana makabila yanayo ongoza kwa kuomba mengi yanatoka kanda ya kati ambayo ni dhehebu lile ,ambalo mtumishi wa Mungu Dr Kimaro aliwahi kusema jamii hiyo ni wezi kuliko waislamu na kuamua kufanya kazi na waislamu kwa sababu wana hofu ya Mungu
 
Back
Top Bottom