Kwanini January Makamba anachukiwa kiasi hiki, kipi amewakosea watanzania?

Kosa lake aliingia 3 bora
 
Si naskia alikuwa mtukutu sana ata Forest hill Moro alikuwa mtukutu naskia alishapigwa Hadi risasi ya mguu nawaambia siwapangi
 
January anapenda kuzungumza mambo ki intellectual zaidi, sijawahi kuona intellectual mwingine zaidi ya Nyerere na Lissu aliyekubalika sana katika siasa za Tanzania.

Siasa za Tanzania zinapenda zaidi watu Oya Oya, waswahili swahili na comedians.
 
January anapenda kuzungumza mambo ki intellectual zaidi, sijawahi kuona intellectual mwingine zaidi ya Nyerere na Lissu aliyekubalika sana katika siasa za Tanzania.
Mkuu kuzungumza ki intellectual ndy aina gani ya mazungumzo hiyo, nijuze tafadhali
 
Mkuu kuzungumza ki intellectual ndy aina gani ya mazungumzo hiyo, nijuze tafadhali
Mwerevu wa taarifa, takwimu na mambo mengi mbalimbali na mwenye kuwasilisha kwa uhodari wa hali ya juu.
 
Mwerevu wa taarifa, takwimu na mambo mengi mbalimbali.
Vyema, sasa kama ni kweli ni mwerevu wa takwimu na mambo mengine, mbona hiyo ni sifa nzuri kabisa na anapaswa kuheshimiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…