Bob Manson
JF-Expert Member
- May 16, 2021
- 4,158
- 7,787
- Thread starter
-
- #101
Hawezi uongozi? Inamaana akilinganishwa na raisi wa sasa kwa hoja na uweledi wa kiutendaji unauhakika atashindwa?Hana lolote ni mroho wa madaraka halafu hawezi uongozi ni kama wa singida TU hawatoboi!
Kwa wanasiasa wa upinzani wanahisi January ndiye mmojawapo wa wahusika wakuu kupika matokeo ya 2015 ambayo wanaamini wangeshinda na pia kuvurugwa kwa tally centre yao.Wapinzani nao wakati mwingine hawaeleweki, ndyomaana watu hawana inani nao, wanashangilia anguko la watu wengine wakisahau jukumu lao la msingi
Nani sio ntu ya dili CCM ?Itakua Ntu Ya Dili
Aliye vuruga uchaguzi wa 1995 nani ?Kwa wanasiasa wa upinzani wanahisi January ndiye mmojawapo wa wahusika wakuu kupika matokeo ya 2015 ambayo wanaamini wangeshinda na pia kuvurugwa kwa tally centre yao.
Sasa mtu kama huyo wataachaje kumchukia?!
Sijui, sijawahi kufuatilia hiloAliye vuruga uchaguzi wa 1995 nani ?
Hatumchukii, ila hatumpendi tu. Umeridhika na jibu hili?Sio lazima, lakini ukimchukia uwe na sababu
Kumbe wanahisi tu, nilidhani wana uhakika na ushahidi kuhusu hiloKwa wanasiasa wa upinzani wanahisi January ndiye mmojawapo wa wahusika wakuu kupika matokeo ya 2015 ambayo wanaamini wangeshinda na pia kuvurugwa kwa tally centre yao.
Sasa mtu kama huyo wataachaje kumchukia?!
Nipe sababu kwanini hamumpendiHatumchukii, ila hatumpendi tu. Umeridhika na jibu hili?
Sio kazi ya kombo kweli??Nimepitia sehemu mbalimbali katika mitandao nimegundua Mh Januari makamba anachukiwa na watu wengi, japo wapo wanao mkubali.
Wengi wanadai jamaa ni Fisadi, sasa katika serikali hii nani ambaye sio Fisadi? Nani ambaye hali kwa urefu wa kamba yake?
Wengine wanasema ni mlozi, sasa katika serikali hii nani haendi kwa sangoma? Wengine wanaenda mpaka Mombasa kuchinja Ngamia na vifaranga.
Nimegundua ipo nguvu kubwa inaelekezwa kumchafua, sijui alikosea wapi.
Kama hiyo ndyo sababu, basi unapaswa kuwachukia wote pamoja na rais aliye pitisha hilo wazo la bei ya umemeHuyu makamba si ndo huyu alitupandishia bei ya umeme kutoka 27k hadi malaki?
huyu ndo aliye mshauri samia iwe hivyo. wala nisijifiche sipendi wapubavu sampuli yake.
Umeme wa 27K unaishi Dubai??Huyu makamba si ndo huyu alitupandishia bei ya umeme kutoka 27k hadi malaki?
huyu ndo aliye mshauri samia iwe hivyo. wala nisijifiche sipendi wapubavu sampuli yake.
Nani kakuambia rais namkubali? haifaiKama hiyo ndyo sababu, basi unapaswa kuwachukia wote pamoja na rais aliye pitisha hilo wazo la bei ya umeme
Kaa kimya kama hujui kitu mkuu. jpm tulikuwa tunalipaje? mbona huwa unapenda kuanzisha mdahaloUmeme wa 27K unaishi Dubai??
Nyaya za kuletea umeme kutoka kwenye nguzo, kifaa cha luku na labour charges ufanyiwe kwa 27K??
Hapendeki. Amekuwa akishiriki siasa chafu hapa nchini, na yeye ni mfaidika wa siasa za dhuluma.Nipe sababu kwanini hamumpendi
Daaah ila watanzania😀Bob Manson unaweza kuona hapa kuna watu wanamchukia kwa sababu anakunja mashati kama Obama ili aonekane mwanazuoni.
Kuna wengine wanamchukia kwa sababu ya dada yake, wengine kwa sababu ya baba yake, yani full tafraniDaaah ila watanzania😀
Kaa kimya kama hujui kitu mkuu. jpm tulikuwa tunalipaje? mbona huwa unapenda kuanzisha mdahalo
usiokuwa na manufaa
Hili ni kweli binafsi kitu kikubwa nachopenda kwa January akiamua kutulia anatulia kimya kama hayupo hata akitolewa kwenye nafasi yake ni tofauti kabisa na asilimia kubwa ya viongozi wetu wengine wakichomolewa wataanza hayo mapambio mpaka warudishwe.Kuna wengine wanamchukia kwa sababu ya dada yake, wengine kwa sababu ya baba yake, yani full tafrani