Kwanini January Makamba anachukiwa kiasi hiki, kipi amewakosea watanzania?

Kwanini January Makamba anachukiwa kiasi hiki, kipi amewakosea watanzania?

Hana lolote ni mroho wa madaraka halafu hawezi uongozi ni kama wa singida TU hawatoboi!
Hawezi uongozi? Inamaana akilinganishwa na raisi wa sasa kwa hoja na uweledi wa kiutendaji unauhakika atashindwa?
 
Wapinzani nao wakati mwingine hawaeleweki, ndyomaana watu hawana inani nao, wanashangilia anguko la watu wengine wakisahau jukumu lao la msingi
Kwa wanasiasa wa upinzani wanahisi January ndiye mmojawapo wa wahusika wakuu kupika matokeo ya 2015 ambayo wanaamini wangeshinda na pia kuvurugwa kwa tally centre yao.
Sasa mtu kama huyo wataachaje kumchukia?!
 
Aliye vuruga uchaguzi wa 1995 nani ?
 
Huyu makamba si ndo huyu alitupandishia bei ya umeme kutoka 27k hadi malaki?
huyu ndo aliye mshauri samia iwe hivyo. wala nisijifiche sipendi wapubavu sampuli yake.
 
Kwa wanasiasa wa upinzani wanahisi January ndiye mmojawapo wa wahusika wakuu kupika matokeo ya 2015 ambayo wanaamini wangeshinda na pia kuvurugwa kwa tally centre yao.
Sasa mtu kama huyo wataachaje kumchukia?!
Kumbe wanahisi tu, nilidhani wana uhakika na ushahidi kuhusu hilo
 
Nimepitia sehemu mbalimbali katika mitandao nimegundua Mh Januari makamba anachukiwa na watu wengi, japo wapo wanao mkubali.

Wengi wanadai jamaa ni Fisadi, sasa katika serikali hii nani ambaye sio Fisadi? Nani ambaye hali kwa urefu wa kamba yake?

Wengine wanasema ni mlozi, sasa katika serikali hii nani haendi kwa sangoma? Wengine wanaenda mpaka Mombasa kuchinja Ngamia na vifaranga.

Nimegundua ipo nguvu kubwa inaelekezwa kumchafua, sijui alikosea wapi.
Sio kazi ya kombo kweli??
 
Huyu makamba si ndo huyu alitupandishia bei ya umeme kutoka 27k hadi malaki?
huyu ndo aliye mshauri samia iwe hivyo. wala nisijifiche sipendi wapubavu sampuli yake.
Kama hiyo ndyo sababu, basi unapaswa kuwachukia wote pamoja na rais aliye pitisha hilo wazo la bei ya umeme
 
Huyu makamba si ndo huyu alitupandishia bei ya umeme kutoka 27k hadi malaki?
huyu ndo aliye mshauri samia iwe hivyo. wala nisijifiche sipendi wapubavu sampuli yake.
Umeme wa 27K unaishi Dubai??
Nyaya za kuletea umeme kutoka kwenye nguzo, kifaa cha luku na labour charges ufanyiwe kwa 27K??
 
Umeme wa 27K unaishi Dubai??
Nyaya za kuletea umeme kutoka kwenye nguzo, kifaa cha luku na labour charges ufanyiwe kwa 27K??
Kaa kimya kama hujui kitu mkuu. jpm tulikuwa tunalipaje? mbona huwa unapenda kuanzisha mdahalo
usiokuwa na manufaa
 
Watu wengi hawakumuelewa kabisa na chuki ilianzia alipopinga ujenzi wa bwawa la umeme la Nyerere kisa linaharibu mazingira.
 
Kaa kimya kama hujui kitu mkuu. jpm tulikuwa tunalipaje? mbona huwa unapenda kuanzisha mdahalo
usiokuwa na manufaa
 
Kuna wengine wanamchukia kwa sababu ya dada yake, wengine kwa sababu ya baba yake, yani full tafrani
Hili ni kweli binafsi kitu kikubwa nachopenda kwa January akiamua kutulia anatulia kimya kama hayupo hata akitolewa kwenye nafasi yake ni tofauti kabisa na asilimia kubwa ya viongozi wetu wengine wakichomolewa wataanza hayo mapambio mpaka warudishwe.

January hajali hata ishu yake yeye na Nape wakati wa Magufuli alipiga kimya Nape ni mwendo wa kuweweseka.

January ni mtu fulani ambaye siasa za kichawa kipindi cha awamu hizi mbili Magufuli na Samia sio za aina yake kabisa.

Siasa za awamu hizi mbili zinawafaa wakina Makonda, chalamila,ummy na aina ya watu hao......

"KINACHO MUHUKUMU JANUARY NI KUUTAKA URAIS FULL STOP".
 
Back
Top Bottom