Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Leta ushahidi la sivyo huu utabki uzandiki
Huko CCM inaelekea kuna mvurugano wa chinichini, mara viongozi wa CHADEMA waseme VP na PM hawakualikwa. Kazi kwelikweli!
Mimi nakumbuka wakati Edward Lowassa alipopewa nafasi kwenda Ikulu wakati huo akiwa bado kiongozi ndani ya CHADEMA aliongea mengi kumpongeza JPM but what was so conspicuous alisema anampongeza sana mno kwa kuanzisha Stiglers gorge. Baadhi yetu ndio hapo tulipoanza kutafiti hiyo Stiglers gorge ndio nini.Ukweli lazima usemwe, kuna tatizo gani kutambua juhudi za hayati Magufuli kwenye mradi huu wa umeme (JNHP), hasa kwenye hotuba zenu?
Wazo lilikuwa la Mwalimu Nyerere akashindwa, awamu zilizofuata kuanzia ya pili mpaka ya NNE, hawakuwa na habari na mradi huo, waliupa kisogo.
Hayati Magufuli kwa nguvu kubwa na ujasiri usio na shaka akaamua kutekeleza wazo hilo.
Miongoni mwa waliohujumu juhudi hizi ni waziri wa sasa wa nishati, January Makamba kwa kisingizio cha uharibifu wa mazingira, ikapelekea kuondolewa baraza la mawaziri.
Leo hotuba ya mkurugenzi mkuu Maharage Chande na waziri wake wamejificha kwenye kichaka cha mipasho hasa waziri Makamba.
Nijielekeze kwenye usanii wa waziri Makamba kutambua juhudi za watangulizi kwenye ujenzi wa bwawa hilo, katengeneza zawadi za kutambua michango ya mzee Mwinyi ,na Jakaya, wana mchango gani ikiwa mradi waliupa kisogo?
Makamba junior kawapa medali za kinafiki sana, hata wao wamejisikia aibu sana kupewa medali za ushiriki wao kwa mradi wakati hawajashiriki hata kidogo.,dhambi kubwa sana ikiambatana na unafiki wa hali ya juu.
Huyu kijana ndio anawaza kuwa rais wa hii nchi. Tuna hasara kubwa kama taifa.
Nimpongeze rais Samia kwa kujaribu kuusema ukweli kuhusu kazi kubwa ya hayati Magufuli katika kufanikisha mradi huu.
Kumekuwa na syndicate kupoteza Juhudi za hayati Magufuli kwa kuzimeza kijumla jumla na wasiostahili. Mojawapo ni hilo tukio la kinafiki la kutambua mchango wa hao watanguli kuhusu bwawa hili, wakati si washiriki.
Namalizia kwa kumwambia waziri Makamba na walio nyuma yake kwamba watanzania hawadanganyiki tena, Magufuli aliwafumbua macho.
Huu mchezo wa kujaza vijana mitandaoni kumdhihaki, mmeona leo jinsi likitajwa jina lake makofi na shangwe kama lote.
Nikiashiria kwamba kimwili hatuko naye ila kifikra tukonae, acheni majungu dhidi ya marehemu.
Aahhh ulitaka na kamera zikuonyeshe kua Makamba kaomba msamaha ??.JPM alikuwa Rais na alikuwa na kila kitu watu wote walimfata kumuomba msamaha nikuulize ulimuona Makamba akienda kuomba msamaha?
Aliyewaibia kura chadema 2015 akampa JPM kwenye mfumo wa NEC ni nani kama sio huyo MakambaItakua kweli , huyu jamaa Kwa Sasa ni mtoto pendwa .
Alafu ana ujanja ujanja Fulani ivi ambao Kwa Sisi akili kubwa, tunamuona mjinga.
Anamtanguliza Samia mbele, yeye anakua nyuma
Angempa mngemaliza naye mwaka huku mnamtukana.Umeishia kutengeneza tu ngao twa kinafiki kutambua wazee wa kiswahili tu,mbona Baba yako umemsahau kumpa medani?
Siasa umeanza juzi unalijua daraja la mkapa limeishia wap nani analisemea kwa SasaMakamba ni mdudu tu kwa JPM. Jina la Magufuli litasurvive test of time na litaimbwa vizazi na vizazi. Familia ya makamba itasahaulika na kupotea kama moshi kwenye hewa
Hahaha duuh kwamba Makamba ndio alifanya JPM akashinda?.Aliyewaibia kura chadema 2015 akampa JPM kwenye mfumo wa NEC ni nani kama sio huyo Makamba
Na ndio mana walipogombana jamaa aligoma kuomba msamaha
Makamba sio nappe Mzee uchaguzi ujao anawaibia tena kura na kumpa Samia hahaha
Mwishowe utauliza sasa na walikula nini mchana.Ni raia wenye level gani ya elimu?..
Usilete mambo ya hoyahoya hapa.
Mwaka 2011 nilikaa na Jakaya kikwete mahali alinambia tunataka Tanzania ya viwandaNimemsikia kinana akisema, utekelezaji wa mradi ni ilani ya ccm bila kumtaja mfanikishaji. Huu ni uovu, watende haki kumkumbuka jpm
Wale na JPM waligombana Kwa ajili ya prideMama Sa100 aliniboa sana alipowarudisha wanafki Makamba, Nape na Madelu kwenye baraza la mawaziri.
NakaziaMbona Yesu na Muddy hamuwachoki, si wafu wale?
Kwanini sasa tupangiane?
January Makamba hapendi unafiki na Watz jinsi walivyo ukisimamia Ukweli jiandae kukosolewa
January Makamba hapendi unafiki na Watz jinsi walivyo ukisimamia Ukweli jiandae kukosolewa
Kama Makamba angekuwa ndio Rais Nina hakika ilo bwawa lisingejengwa lingeishia hapo Kwa jinsi walivyokuwa hawamatchUkweli siku zote humweka mtu huru,bila JPM huyo Makamba angeenda leo kutoa hiyo hotuba? Kwanini hakwenda kipindi cha Awamu ya nne?
Wewe mradi wa magufuli?kwa hiyo miradi mingi iliyofanyika nchi hii Kila rais aseme mradi wake kwa hiyo huu ni mradi wa ajabu Sana kwenye inchi yetu?Unafiki wa kudandia mradi wa Magufuli na kujifanya master mind for nothing