Kwanini January Makamba unakataa kutambua nguvu na juhudi za hayati Magufuli kwenye JNPP?

Kama suala ni jina la JPM, na kutaka kufuta Legacy yake , msihangaike sana.

Kwanza Daraja Hilo lisiitwe Daraja la JPM.

Lakini pia kama ilivyofanyika Leo, Hizo Medali zenu na Tuzo , muwape wastaafu ambao hawajafa kwakua ni watu wazuri!!.


JPM wetu mtuachie Aishi Moyoni , Nadhani Kwa kufanya hivo sisi watanzania tutamsahau JPM na Nyinyi mtapanda chati 🤣
 
Si vibaya kutambua mchango wa mtu hata kama humpendi hasa kwenye masuala ya miradi kama hii kama waziri hakumtaja Rais aliyepita na ndie aliyeasisi kazi hiyo ni makosa makubwa na wanaweza kuwa wamejidhihirisha wao kuwa kwa nn mmoja ni maharage na mwingine ni makamba.Ss wananchi tunashangaa na wakati mwingine tunajiuliza kwa nn wako kwenye nafasi hizo.
 

Kipara na mzee wake wamejawa akili za kishirikina na roho mbaya
 
Eti mradi haribifu, pathetic!
 
Kile chuma kina walaza Milango wazi.
Na kwa mara ya kwanza leo Samia kamtaja JPM lakini kwa nusu sekunde na wapambe wake wote January na Maharage wamejitahidi sana kutoa maelezo yao ya karibu kurasa 20 bila kuwataja Kambarage na JPM. wana taabu na hata wamejaribu kumpandikiza Kikwete eti alijaribu kutaka kujenga huo mradi na Kambarage hawakumtaja kabisa wakati pale kuna kibanda alichoishi Kambarage akiuota huo mradi.
samia ana roho mbaya na ni dhahiri kabisa kiasi kwenye miradi yote aliyoianzisha JPM anataka legacy apewe yeye lakini ukienda hata Tegeta mitaani watakuambia nani ni nani
Samia ni roho mbaya sana hivyo kifo cha JPM kwake ni fursa
Poleni sana ila makofi wayopiga watu hapo Rufiji ni ujumbe tosha.
 
Samia hata kuwa na legacy yoyote hasa kutambulika na waliosoma bali hao machawa anaowateua kumuhamasishia,,, Miradi yote ya kimkakati kama Reli, Maji, Umeme, Madarasa, Mahospitali, Mabarabara na madaraja vyote vilikuwa ni mipango ya JPM ila Samia atakuwa kama mwanafunzi aliyepasi mitihani kwa kutizamia oneni jinsi anavyoshindwa kumtaja JPM akizungumzia hiyo miradi na hata wapambe na machawa wateule wake wana kazi ngumu ya kuongea bila kumtaja JPM
Kazi wanayo ila huku uswazi tunajua ukweli wa nani ni nani
 
Makini sana
 
Maharage Chande yeye analeta story za mkoloni,hawa vijana wapuuzi sana kama wanaowalea
 
Look at how he was very disorganized, uratibu ulikuwa hovyo, too poor he is too much of himself, he should have delegated the entire exercise. He knew nothing of what he was doing. Pure disjointed docket CS hovyo.
Excellent opinion
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…