Kwanini January Makamba unakataa kutambua nguvu na juhudi za hayati Magufuli kwenye JNPP?

Niliona wanatafuta pa kujificha,eti Maharage Chande anajifichia kwenye history ya mkoloni stigliers,aliyefia pale,bila kugusa jina la Magufuli, mwingine eti kajikita kutambua mchango wa wasiohusika kwa vimedali,hovyoo!
 
UKWELI NI KWAMBA MRADI HUO ULIANZISHWA NA SERIKALI YA AWAMU YA NNE NA SIO YA TANO.

NA HATA KAMA MAGUFULI ANGEUANZISHA YEYE, PIA HAWA MARAIS WALIOPITA WALISTAHILI TUZO KWANI MAGU ALIKUTA UCHUMI ULIOMWEZESHA KUFANYA HAYO
 
Kama yale maongezi ndio ya kitaalamu basi nchi hii tuna hasara kubwa sana
 
UKWELI NI KWAMBA MRADI HUO ULIANZISHWA NA SERIKALI YA AWAMU YA NNE NA SIO YA TANO.

NA HATA KAMA MAGUFULI ANGEUANZISHA YEYE, PIA HAWA MARAIS WALIOPITA WALISTAHILI TUZO KWANI MAGU ALIKUTA UCHUMI ULIOMWEZESHA KUFANYA HAYO
Hivi uongo huwa unawasidia nini nyie vijana?
 
Hakika
 
UKWELI NI KWAMBA MRADI HUO ULIANZISHWA NA SERIKALI YA AWAMU YA NNE NA SIO YA TANO.

NA HATA KAMA MAGUFULI ANGEUANZISHA YEYE, PIA HAWA MARAIS WALIOPITA WALISTAHILI TUZO KWANI MAGU ALIKUTA UCHUMI ULIOMWEZESHA KUFANYA HAYO
Mzee Mwinyi alisema JPM kafanya mambo makubwa ndani ya muda mfupi sana ambayo wao wangepewa mmoja mmoja basi ingewahitaji miaka 40.

Tafakari hayo maneno ya huyo mzee vinginevyo uko na hao ambao Mungu kaamua makusudi kuwatoa ufahamu kidogo waeijione kama wako uchi kumbe dunia yote wanashika midomo kwa aibu
 
kuna tetesi Jakaya kikwete alimlaumu sana mzee Mwinyi, kwamba ile kauli haikufaa kutoka hadharani
 
Mwigulu nchemba
January makamba
Na nape wanatakiwa wasirudi bungeni uchaguzi ujao sema majimbo wanayoongoza watu wake ni bendera fuata upepo hawana mbele wala nyuma.
Wewe kutowapenda hakukupi uhalali wa kuwatukana maelfu ya watu waliowapigia kura na kuwapelekea bungeni, chuki za namna hii hazimsaidii mtu zaidi ya kumletea ugonjwa wa moyo siku moja,
 
Niliona wanatafuta pa kujificha,eti Maharage Chande anajifichia kwenye history ya mkoloni stigliers,aliyefia pale,bila kugusa jina la Magufuli, mwingine eti kajikita kutambua mchango wa wasiohusika kwa vimedali,hovyoo!
Magufuli ni rais wa tano wa TZ kabla yake kuna wa kwanza mpaka wa nne, kwanini wasienziwe siku ile wakati wanao mchango uliomuwezesha JPM kufanya aliyoyafanya?.

Tatizo la media zetu ni kujaza watu ujinga mwingi mpaka wanasahau kuheshimu marais waliomtangulia JPM. Kuna akina Nyerere waliweka misingi ya taifa hutawasikia wakiiimbwa kila mahali.

Kuna Mkapa aliyeanzisha TRA na taasisi nyingi za kiuchumi hutamsikia akiimbwa kila mahali.

Kuna mzee Mwinyi aliyeipokea nchi ikiwa hoi kwa umaskini baada ya vita ya Kagera na kuifanya iinuke na ibadilika, hutamsikia akiimbwa kila mahali.

Lakini JPM rais wa tano anaimbwa kila kona wakati wataalam aliowatumia kujenga barabara na miradi mingine walisomeshwa bure katika awamu ya pili na ya tatu.

Namheshimu sana JPM kwa mengi aliyofanya lakini sikubaliani na ushamba wa kumpaisha mpaka inaonekana kama vile marais waliomfuatia hawakufanya lolote la maana, that is pathetic.
 
Jehanam anaenda yule jamaa yako anayefumuliwa mananii, amejitakia mwenyewe hakuna aliyemlazimisha.
Kwani wewe ulishafanya operesheni ya kurudisha marinda yako, maana umeanza kuliwa tigo ukiwa mdogo sana na unazeekana ushoga wako.
 
Tumechoka na hizo ishu za huyo mfu wenu, kama vipi mwambieni gwajiboy amuibue upya kwa vile anayo makarama ya kufufua wafu.
Hata kama unamchukia mtu kiasi gani usimdhihaki askishakufa. Jwanza hana hata nguvu tena ya kukuumiza endapo alikuumiza. Kumkashifu alokufa ni udhaifu mkubwa sana. Pia muombe Mungu usifwe au usife soon
 
Busara ndio hii sasa,ambae hataki shauri yake
 
Busara ndio hii sasa,ambae hataki shauri yake
Hakuna aliyemdhihaki. Wala hiyo sicho tunachojadili hapa. Hoja yenu ni kuwa mnataka atajwe tajwe! Watu wanaendelea na kazi zao, mnaanza kulalamika mnataka atajwe, hajatajwa, halafu mnarudi tena mnasema 'msimdhihaki akishakufa'. Yaani mnaanza nyie, mnakuja kumaliza nyie huku mkiwalaumu wengine! Acheni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…