Makamba ameongea kitaalamubzaidi (Professionalism) kuliko kisiasa za kutaka umashuhuri (populism). Maharage Alisha ongelea historia, na Makamba akijua Rais atakuja kuongea, kwa hiyo alijua mipaka yake.
Alipoteuliwa Makamba, ilikuwa ni strategic shift, kutoka populism tendencies kwenda more pragmatic and professional way of doing things.
Ndio maana umesikia mradi umeenda vizuri sana, na Ile LNG, ambao ni mradi mkubwa kuliko yote Afrika Mashariki tangu Uhuru, unaelekea kufanikiwa. Nishati ni zaidi ya TANESCO. Mama alitaka mtu mtaalamu zaidi wankuongea na mashirika na washirika wa kimataifa kwa weledinl zaidi ndio maana Makamba akateuliwa!